Mpenzi wangu kanizidi umri

Mpenzi wangu kanizidi umri

Yaaani ni marufuku kwangu kuwa na mwanaume niliyemzidi umri..!!
 
Mie nimezoea kusikia wanawake ndio wanadanganya umri ila kama na wanaume nao wapo, baaaaaaaaash!!!!!!!!!!!!! Application ya mkutano wa Beijing imeanza.
 
Ndugu wana jf mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenz wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyon kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakin yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuish kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naomben mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzid umri mke!

kumbe utaratibu unaujua sasa ikawaje ukamtongoza alhali ukijua yeye ndo kakuzidi umri na kama haitoshi ukamdanganya kwamba wewe ndo umemzidi
 
Ni hivi kama wewe ni kichwa ngumu owa tu wala hamna shida, ila yeye akifikisha miaka 40 wewe utakuwa na 36 sasa hapo ndio utaanza kudet na mademu wenye miaka 25.

Only time will tell kwa sasa wewe huna tofauti na kipofu huwezi kuliona hili.

Na ukitaka kuamini maneno yangu chunguza umri wa wazazi wako kama wako hai halafu wangaalie muonekano the mwambie mama yako mzazi kwamba unataka kuoa mwanamke lakini amekuzidi miaka minne ila wewe unampenda tu kama alivyo halafu uone atakachokujibu.
Upo sawa kabisa na mtu akifuata ushauri wako atafika mbali. Tatizo la JF wengi wetu ni vijana chini ya 24 kama mimi- Unajua matatizo yetu. Wengine ni akinadada zaidi ya 25 nao wanaona wanachelewa kuolewa wao kikubwa ni pete tu. Wengine wanawabemenda vijana hivyo kwao umri si kitu, bali UKWELI ni kuwa mwanaume kuoa mwanamke mnayelingana au aliyekuzidi hata siku moja ni majanga uzeeni. Hutaki acha.
 
umri sio tatizo kama kwel mnapendana,kuwa muwaz bhana isije leta tatizo baadae,mbona me nina 21 lakn natembea na mwanaume 14,namuita ivo coz anajua meng on bed.
huyo ni mwanaume au mtoto?
 
nina umri kama wa kwako mke wangu wangu kanipita miaka mitatu,,,huu ni mwaka wa tatu kwenye uhusiano sijaona tabu yoyote na suala la umri sikumficha.
kwahiyo ulimuoa ukiwa na miaka 25 yeye yeye 28?
 
Sio kweli, mie mpenzi wangu ana miaka 30 mie nina 37, mbona maisha yanaenda kama kawaida na kushauriana kuko palepale, ni mwanume kujitambua tu kwamba yeye ni mwanaume na ndio ana say ya mwisho, over!

Una miaka 37 hujaolewa na una mpenzi ana miaka 10!!

This is totally completely mental case.endelea kujifariji tu.

Kamwe hutokuwa mke wa huyo kijana anayeonekana yupo na wewe kwa sababu amepigika na wewe unamsaidia vipoketi money, akiweza kusimama kwa miguu yake na kuamuwa kuoa ataingia sokoni na kuchukuwa msichana wa miaka 24 mpaka 29.

Pole sana kama una umri huo na hujitambui, mume wa kukuoa ni divorce man au aliyefiwa na mke na hapungui umri wa miaka 50. wake up now.
 
Maisha ni namna unavyoyaendesha wewe,ukipenda kuishi na aliyekuzidi umri ishi nae ilimradi kuwepo na heshima na maelewano kati yenu.

labda fafanua kidogo kwenye bluu tafadhali!
 
Hahaaa mimi na miaka 24.5 lakini napenda madada wa kianzia miaka 27_30 kwa hyo umri siyo kigezo we kula maneno.
 
unataka kuoa mtu halafu unamdanganya kitu kama umri?!

Nna mashaka kuna mengine mengi umedanganya lakini sio mjadala wa sasa tuyaache.

Mimi umri wake sioni kama ni tatizo kama ni mtu ambaye wewe umeona anakufaa kwa tabia, fikra zake n.k na una mpenda, naye pia amekuridhia ulivyo na kukupenda age becomes just a number.
 
Kwan umri wake umeandikwa uson au?acha hizo
 
kumbe utaratibu unaujua sasa ikawaje ukamtongoza alhali ukijua yeye ndo kakuzidi umri na kama haitoshi ukamdanganya kwamba wewe ndo umemzidi

A brilliant question without a question mark! Najua hawezi kukujibu.
 
yaani umeongea point kabisa ndugu yangu namshangaa anamdanganya umri mwenzio
inawezekana hata mambo mengine pia kamdanganya hy hafai kuwa mume wake huyo mdada
ninglikuwa mm huyo mdada, ningelimwambia mapema tuachane
unataka kuoa mtu halafu unamdanganya kitu kama umri?!

Nna mashaka kuna mengine mengi umedanganya lakini sio mjadala wa sasa tuyaache.

Mimi umri wake sioni kama ni tatizo kama ni mtu ambaye wewe umeona anakufaa kwa tabia, fikra zake n.k na una mpenda, naye pia amekuridhia ulivyo na kukupenda age becomes just a number.
 
Back
Top Bottom