Mpenzi wangu kanizidi umri

Mpenzi wangu kanizidi umri

Ndugu wana jf mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenz wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyon kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakin yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuish kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naomben mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzid umri mke!

ana Umri gan kichuna wako
 
Duu kwani yeye amekuzidi miaka mingapi......broo mimi mbona nina miaka 26......lakini nimeshawahi kuwa na mpenzi ana miaka 78....je wewe amekupita miaka mingapi

^^
Mmm! Sijui nivae miwani? Ni 26 au 62? Ni 78 au ?
^^
 
umri sio tatizo kama kwel mnapendana,kuwa muwaz bhana isije leta tatizo baadae,mbona me nina 21 lakn natembea na mwanaume 14,namuita ivo coz anajua meng on bed.
 
Kama una miaka 21 unategemea huo ubongo wako unawaza nini zaidi ya ngono? hivi wewe unajuwa hata future ni nini? foolish age inakusumbuwa ukikuwa utayaelewa haya mambo.
 
Ndugu wana jf mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenz wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyon kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakin yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuish kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naomben mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzid umri mke!
nina umri kama wa kwako mke wangu wangu kanipita miaka mitatu,,,huu ni mwaka wa tatu kwenye uhusiano sijaona tabu yoyote na suala la umri sikumficha.
 
Kama una miaka 21 unategemea huo ubongo wako unawaza nini zaidi ya ngono? hivi wewe unajuwa hata future ni nini? foolish age inakusumbuwa ukikuwa utayaelewa haya mambo.

eh polepole kaka,nimekukosea nn labda?!.
 
Mimi mpenz wangu kunizidi umri hapana..honestly hata tukiwa na umri sawa hapana!...Inatakaiwa nimzidi miaka at least minne na at most 7 banah..!
 
Age matters, whether you like it or not!!!!
Wanawake wanapevuka haraka na miili yao, hata akili zao zinakomaa haraka.., Mzidi angalau 4-10 yrs.
 
Ndugu wana jf mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenz wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyon kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakin yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuish kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naomben mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzid umri mke!
Sasa mnapendana au ushaona makunyanzi unataka utoke nduki?Hapo ushauri gani unautaka au tukushauri mganga gani anaongeza umri?Ebu jielezee vizuri sababu ushasema mnapendana na wewe ulidanganya basi endelea kudanganya.
 
kwa hiyo tukusadie nini? tumpunguze umri?
acha kuwa kama kiazi mambo yako mengine hayatuhusu
 
umri sio tatizo kama kwel mnapendana,kuwa muwaz bhana isije leta tatizo baadae,mbona me nina 21 lakn natembea na mwanaume 14,namuita ivo coz anajua meng on bed.

Umelaaniwa wewe...Kwanza huo ni unyanyasaji kingono.!
 
Wakuu nawashukuru wote kwa ushauri wenu mlioutoa kwa kweli nimefarijika sana, kuna wadau wameuliza miaka aliyonizid jibu ni minne yaan mi nina miaka 27 now yeye 31.
 
we mwongo sana uliona sifa mwanzoni baada ya kumgegeda weweeeeeeeeeeeee ndo unakuja kuomba ushauri usiendelee kumpotezea muda huyo binti wa watu.... mwache apate bwana anaye mfaaaa na si mwongo kama kiberenge wewe nyambafu
 
Ndugu wana jf mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenz wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyon kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakin yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuish kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naomben mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzid umri mke![/QUOTE
Ng'ombe hazeeki maini ndugu
 
Ndugu wana jf mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenz wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyon kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakin yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuish kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naomben mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzid umri mke!

Ng'ombe hazeek maini ndugu
 
Wakuu nawashukuru wote kwa ushauri wenu mlioutoa kwa kweli nimefarijika sana, kuna wadau wameuliza miaka aliyonizid jibu ni minne yaan mi nina miaka 27 now yeye 31.

mbona tofaut ni ya kawaida tu wala ucwaze,endelea nae tu.labda kama una lingne
 
Back
Top Bottom