Mpenzi wangu kanizidi umri

Mpenzi wangu kanizidi umri

Ahahah ahahaha! am gonna puke,hahahah! that was just just just superb lol,that meniac got no brains i tell ya! hahah how can you say English is a christian language!? haah for the love of pete,he lost his bearings...Oh my ribs.

That is Matola son of .......!?
I'm not sure!

Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
That is Matola son of .......!?
I'm not sure!

Teh teh teh teh!

i laughed to the point where my ribs were hurting,you gave him a list of names! nasty names...ouch!
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na maelezo yako! hata mimi girlfriend wangu kanizidi miezi lakini tunaelewana vizuri sana...umenena vyema kwakweli.

Hata mimi wa kwangu kanizidi miaka 35! Lkn ananibembeleza kwa raha zangu!
Mama jicho jicho! Utafkiri kala kungu!
Akijipakaa zile rangi za midomo anafanana na mama k muuza gongo lkn bata tunakula Pamoja!

Anaitwa mama Matola

Kama unabisha muulize mwanangu wa kufikia Matola atakupa majibu.

Cc THE BIG SHOW
 
Matola Njoo huku

Baba yako wa kufikia kahtaan anakuita,eti anasema kakununulia Pampers...!!

Unapendwa sana,yani unadekezwa kias hiko??

:israel: 😛hoto:
 
Last edited by a moderator:
Thread imeshavamiwa na wafuasi wa shetani wana mmu mkae kwa tahadhari suicide bombers wanaweza kujilipuwa muda wowote ili waende peponi kule walikoahidiwa mabikira 100.
 
Thread imeshavamiwa na wafuasi wa shetani wana mmu mkae kwa tahadhari suicide bombers wanaweza kujilipuwa muda wowote ili waende peponi kule walikoahidiwa mabikira 100.

Teh teh teh!

huna habari na wewe ukifa utageuzwa bikira wa jahannamu ili kina firauni na Hitler na nyerere wajipumzikie!

Kwi kwi kwi!
Mwanangu una visa wewe!
 
Thread imeshavamiwa na wafuasi wa shetani wana mmu mkae kwa tahadhari suicide bombers wanaweza kujilipuwa muda wowote ili waende peponi kule walikoahidiwa mabikira 100.

We mtoto Matola uwe na heshima kwa baba yako wa kufikia huyo kahtaan

Utasababisha mama apewe talaka bure,si unajua sisi ndoa zetu ukizingua tuh unarudishwa kwenu??

Utakufa njaa,sijui mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi wa kwangu kanizidi miaka 35! Lkn ananibembeleza kwa raha zangu!
Mama jicho jicho! Utafkiri kala kungu!
Akijipakaa zile rangi za midomo anafanana na mama k muuza gongo lkn bata tunakula Pamoja!

Anaitwa mama Matola

Kama unabisha muulize mwanangu wa kufikia Matola atakupa majibu.

Cc THE BIG SHOW
Baba Tora!

Mbona toto lako linafanana na mama yake mpaka mwendo teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Ritz, sura lako baya linamtisha mtoto wa watu Matola masikini anajificha nyuma milango na babake wa kufikia kahtaan yuko ku job saa hizi.

Mkuu Averoes,
Hishma yako ikupate, siamini maneno yako maana mie nimedokezwa na kama umesoma comment yangu nimemtaka Matola anisaidie mawasiliano ya babaake wa kufikia kahtaan ili nimfikishie posa ya Ritz, khalafu weye wanena ati amuogopa?!!

Lakini yaezekana maana kalelewa mwana yule maana mato kama akuita lala hivi ..!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom