Mpenzi wangu kanizidi umri

Mpenzi wangu kanizidi umri

Teh teh teh! Tatizo toto limefuata tabia za mama yake linajiita Asha Mohamed Bin Kahaatan.

Mkuu, nakuona unavyomtia majiti ya rohoni huyo Binti wa kufikia wa Dr. kahtaan teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Asha Mohamed bin kahtaan teh teh teh...

Mkuu, nakuona unavyomtia majiti ya rohoni huyo Binti wa kufikia wa Dr. kahtaan teh teh teh!

Matola yu wapi babaako wa hiari kahtaan?

Naomba uni-pm, maana nina maagizo yake muhimu sana, tafadhali au naeza kukuachia weye?!!

Baba Tora!

Mbona toto lako linafanana na mama yake mpaka mwendo teh teh teh.

Ritz, sura lako baya linamtisha mtoto wa watu Matola masikini anajificha nyuma milango na babake wa kufikia kahtaan yuko ku job saa hizi.

Teh teh teh! Tatizo toto limefuata tabia za mama yake linajiita Asha Mohamed Bin Kahaatan.

Mkuu Averoes,
Hishma yako ikupate, siamini maneno yako maana mie nimedokezwa na kama umesoma comment yangu nimemtaka Matola anisaidie mawasiliano ya babaake wa kufikia kahtaan ili nimfikishie posa ya Ritz, khalafu weye wanena ati amuogopa?!!

Lakini yaezekana maana kalelewa mwana yule maana mato kama akuita lala hivi ..!!

Nyamani eeee! Mbona mwanangu wa nje ya ndoa Matola mnamchapa kiasi hiki??

Huyu mtoto hua akikasirishwa sana ana tabia ya kukojoa kitandani usiku!
Sasa nyie kwa maneno yenu haya.
mtasababisha nyonda wangu apate tabu ya kufua shuka.

Hebu mpeni amani kidogo, ameshashika adabu yake!

Hebu we Matola njoo uombe msamaha hapa!
Au utakuja sababisha mi nikufukuze pale nyumbani kwa kutuchafulia mashuka!
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi wa kwangu kanizidi miaka 35! Lkn ananibembeleza kwa raha zangu!
Mama jicho jicho! Utafkiri kala kungu!
Akijipakaa zile rangi za midomo anafanana na mama k muuza gongo lkn bata tunakula Pamoja!

Anaitwa mama Matola

Kama unabisha muulize mwanangu wa kufikia Matola atakupa majibu.

Cc THE BIG SHOW

Teh teh teh lol! 35years!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh lol! 35years!

Mkuu umri usikuogopeshe!
Tena kama shida yako ni kulelewa kama mfalme basi oa yale majimama menye umri zaidi ya 50!

Utasahau balaa zote za Dunia!

Manake kwanza kila siku lazima UOGESHWE! Na kupakwa mafuta!
Nguo uvishwe! Na nywele lzm uchanwe!

Na kwenye masuala ya maakuli ndio usiseme!

Ikija ile shughul london! Hapo ndio usiongee tena!

Manake usipokuwa makini unaweza kupelekwa mpaka juu ya dari!

Teh teh teh!

Niulize mimi mkuu!
 
Back
Top Bottom