Mpenzi wangu kanitambulisha mume wake mtarajiwa

Mpenzi wangu kanitambulisha mume wake mtarajiwa

Brother kwanza pole. Cha pili nakuomba usitafute sababu ya kwanini jambo hilo limetokea. Utapoteza muda wako mwingi kwa x kuliko kusoma.. utakuja ku disco.
Mwache aende piga kitabu man.... piga shule.. ukija toka atakutafuta mwenyewe... trust me
 
Mabibo kunakuwaga na lose ball nyingi Sana.
Wadau huwaga wanaziogopa tu.
Fanya mchakato upate mtoto mmoja ili kupooza roho yako usije ukajinyonga
 
Kijana mbona hayo mambo ya kawaida? Ana mimba yako? Ana mtoto wako? Yeye ndo anacheti chako cha form 4/6? Yeye anashikilia uahai wako? Yeye ndi binti pekee, kama uko mwaka wa pili sidhan kama ungemuoa kwa my little experince, nakukumbusha we si wa kwanza kuachwa na wala si wa mwisho kuachwa. Tafuta mwingine ukishatulia wala usijali. Hawa viumbe huwa hawana kanuni la kujisifia we umepewa kibali na Mwenyezi Mungu waweza kutongoza at any moment
 
Pole sana, huyo alikuwa nae huenda hata kabla hujaanzisha mahusiano na wewe. Mlikuwa mnachangia. Mpotezee songa mbele, anza maisha mapya.
 
Mapenzi ni zaidi ya kumtimizia hyo show. Fungua moyo kwngne hamna namna
 
usingeitaja UDSM tusingeelewa nini? ndo maana umetemwa kakuona kama bado hauko serious!!!!
 
Wakuu habari za muda huh...

Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya kitalii

Ila Jana kanitumia picha WhatsApp akiwa na jamaa mwengine na kunitambulidha kuwa ni mume wake mtarajiwa...

Wakuu nimechanganyikiwa na ujumbe huu.. Binafsi bado nampenda Sana na sijategemea hili kwa muda huu.. Mimi ni mwanaChuo mwaka Wa pili UDSM na kuhusu mapezi nilikua namtimizia barabara mpaka mwenyewe anafurahia show.

Najiuliza nini kimemsibu!!!

Naomba ushauri wakuu
Dogo endelea na maisha acha ujingaa😀😀..
 
Pole kijana. Pia una bahati ya pekee yaani bahati ya mtende kuishi jangwani.Hadi kukurushia picha inaonesha yuko serious na tukio analolifanya...

Kijana usifee moyo kwani wanawake wengi tu tena wamaana zaidi yake.Piga shule kwanza hao akina Mwajuma ndala ndefu wako kibao.tena unaweza ukawapata sana ukiwa na maisha yako mazuri bila kutumia gharama

Atarud analea baada ya kukutana na vijana wa mwendokasi ktk mapenzi.
 
Ukitaka umkomoe mkaushie,usimbembeleze wala kulia lia kama atakutafuta mwenyewe nakukuomba msamaha poa akikausha na wewe kausha hakukupenda huyo tafuta replacement maisha yaendelee,ukipanic ukaanza kumbembeleza ndo utaharibu kabisa. Ataona unamshobokea na maringo yatazudi.mlie badi,jenga nchi. hao viumbe bila ubabe wa hapa na pale watakusumbua tu hamna namna
 
Wakuu habari za muda huh...

Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya kitalii

Ila Jana kanitumia picha WhatsApp akiwa na jamaa mwengine na kunitambulidha kuwa ni mume wake mtarajiwa...

Wakuu nimechanganyikiwa na ujumbe huu.. Binafsi bado nampenda Sana na sijategemea hili kwa muda huu.. Mimi ni mwanaChuo mwaka Wa pili UDSM na kuhusu mapezi nilikua namtimizia barabara mpaka mwenyewe anafurahia show.

Najiuliza nini kimemsibu!!!

Naomba ushauri wakuu
Yaani umenichekesha kwakweli we umekariri show tu hahahaa tafuta pesa kwanza ngono waachie mbwa kwanza
 
Polee sana ndugu yangu wanawake wengi wanasura mbili naonaga coment za watu humu wanadai mwanamke anaupendo wa kweli pia anahuruma ukweli ni kwamba wanajidanganya tu huruma ya mwanamke ipo pale anapotongozwa na mwanaume tu hakuna mwanamke anayemkataa mwanaume fanya uchunguzi ukikataliwa mara ya kwanza usikate tamaa lazma utakubali tu. Najua maumivu unayopata ila ndoivyo kumpa mwanamke pesa ambaye sio mkeo ni sawa na kuchukua pesa ulizotafuta kwa tabu na kuzitumbukiza chooni ebu angalia leo anakutumia picha yupo na jamaa kashasahau yote ya nyuma
 
Wew ni mwanachuo una onyesha show ya kibabe lkn mwenzio kakutana na wachimba madini wenye pesa za kufuru Arusha utashindana nao?
Mkuu usitese nafsi yako angalia ustaarabu wako mwingine bora amekufungua mapema kuwa huna chako
Wakuu habari za muda huh...

Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya kitalii

Ila Jana kanitumia picha WhatsApp akiwa na jamaa mwengine na kunitambulidha kuwa ni mume wake mtarajiwa...

Wakuu nimechanganyikiwa na ujumbe huu.. Binafsi bado nampenda Sana na sijategemea hili kwa muda huu.. Mimi ni mwanaChuo mwaka Wa pili UDSM na kuhusu mapezi nilikua namtimizia barabara mpaka mwenyewe anafurahia show.

Najiuliza nini kimemsibu!!!

Naomba ushauri wakuu
 
Piga book upate uelewa zaid... wa kugundua uongo na ukweli juu ya mahusiano.......

Tatizo dogo tu ilo... unaleta humu...
Saka mwingine... ila mara hii utajifunza kupima kina cha maji kwa kutosa mguu mmoja kwanza....

Mwanamke aelewek anpenda nin... unajitoa jasho buure kitandani kumbe mwenzako anpenda pesa....

Unampa pesa kumbe anataka mikito...

Ishi katika mahusiano kwa kutumia lifestyle yako halisi... usiact kisa tu umteke mwanamke... utahangaika saaana mwisho utakua van dame moviee kibaoo
 
Back
Top Bottom