Mpenzi wangu kanitambulisha mume wake mtarajiwa

Tuliza akili kwanza.
Unapata wapi ujasiri wa kuendelea kumuita mpenzi?
 
Huna haja ya kuchanganyikiwa kijana,huwez jua mbelen ingekuwaje me naona amkuepusha na mengi ambayo usingeweza tarajia kaa chini piga kitabu maisha yasonge
 
Wakuu habari za muda huh...

Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya kitalii

Ila Jana kanitumia picha WhatsApp akiwa na jamaa mwengine na kunitambulidha kuwa ni mume wake mtarajiwa...

Wakuu nimechanganyikiwa na ujumbe huu.. Binafsi bado nampenda Sana na sijategemea hili kwa muda huu.. Mimi ni mwanaChuo mwaka Wa pili UDSM na kuhusu mapezi nilikua namtimizia barabara mpaka mwenyewe anafurahia show.

Najiuliza nini kimemsibu!!!

Naomba ushauri wakuu
bora kakuchana kweli kuliko kukuweka njia panda.songa mbele wapo wengi tu na utapata zaidi ya hao
 
Wakuu habari za muda huh...

Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya kitalii

Ila Jana kanitumia picha WhatsApp akiwa na jamaa mwengine na kunitambulidha kuwa ni mume wake mtarajiwa...

Wakuu nimechanganyikiwa na ujumbe huu.. Binafsi bado nampenda Sana na sijategemea hili kwa muda huu.. Mimi ni mwanaChuo mwaka Wa pili UDSM na kuhusu mapezi nilikua namtimizia barabara mpaka mwenyewe anafurahia show.

Najiuliza nini kimemsibu!!!

Naomba ushauri wakuu
Soma kwanza mkuuuu kuna suplimentary
 
Huna malengo kauona ndo maana ht mm km mtu Hana malengo ntafanya hvy
 
No longer mkuu ...kila kitu kipo wazi hapo ... mwenyewe naugulia maumivu kimya kimya hapa
 
Back
Top Bottom