IT IS OVER!!
sasa hapo unataka tukushauri nin?
haya kuanzia sas uko single na usha achwa, cha kufanya futa mawasiliano naye yoote, halafu hasira hamishia kwenye GPA, usi rush kutafuta mpenzi mwingine kwa sasa subir akili itulie umsahau huyu ambaye ataolewa.
nakutakia heri katika masomo yako.
ki ufupi hakuna ushauri mwingine mzuri zaid ya huu, sasa we jifanye hutaki kufanya haya niliyo kushauri aendelee kukutumia malicha ya mume wake whatsup, utapotea ohoo!!
Acha kujitoa ufahamu dogo,ukitegemea akusubiri...wewe uko mwaka...wa pili na.yeye ashaanza kazi...wanawake wanapevuka mapema...zaidi yeye akikusubiri hadi uanzemaisha utamuona...kama...mzeeeWakuu habari za muda huh...
Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya kitalii
Ila Jana kanitumia picha WhatsApp akiwa na jamaa mwengine na kunitambulidha kuwa ni mume wake mtarajiwa...
Wakuu nimechanganyikiwa na ujumbe huu.. Binafsi bado nampenda Sana na sijategemea hili kwa muda huu.. Mimi ni mwanaChuo mwaka Wa pili UDSM na kuhusu mapezi nilikua namtimizia barabara mpaka mwenyewe anafurahia show.
Najiuliza nini kimemsibu!!!
Naomba ushauri wakuu
Mkuu.. Tulikua typo sawa kabisa na sote tulifurahia uhusiano wetu..Lakini hujatwambia mahusiano yenu hapo kati(Tokea alipoenda Arusha na alipotuma hiyo picha).Kama mliendeleza au kama ndo mazima.
Kwanza kabisa,navyojua mwanamke kama hana mpango na wewe utajua tu.
Labda we ulimpenda yeye akawa anapoteza mda tu,
Labda hakukuona yule aliyekuwa anafikilia! Ukizingatia mwanachuo we ni wa kugegeda siyo wa kujenga maisha,
Lakini pia,niulize, ndo mara yako ya kwanza kuaachwa? Kama jibu ni ndio,jifunze sasa.Mwanaume haachwi.Umenipata?Ukiona dalili tu,chomoa faster.
Lakini pia,ndo maana nimekuuliza uhusiano wenu uliendeleaje!Kama anakupima uvumilivu wako(japo hilo siyo jambo la kuleta kwenye utani)?Mi nafikili lipe mda kidogo,fatilia mwenendo wake,mdeshi kumtembelea huko huko na kukaa nae wiki.Akikubali tulia,akigoma, nyoosha mikono.