Mpenzi wangu kanitambulisha mume wake mtarajiwa

Mpenzi wangu kanitambulisha mume wake mtarajiwa

Wew ni mwanachuo una onyesha show ya kibabe lkn mwenzio kakutana na wachimba madini wenye pesa za kufuru utashindana nao?
Mkuu usitese nafsi yako angalia ustaarabu wako mwingine bora amekufungua mapema kuwa huna chako
Hebu mwambie apige kitabu huyo...
 
Muachie Mungu endelea na masomo njaa ndugu yangu ni hatari sana siku hizi zinawakimbiza tuwapendao
 
You can't raise the dead from the tombs....
Move on
 
Wakuu habari za muda huh...

Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya kitalii

Ila Jana kanitumia picha WhatsApp akiwa na jamaa mwengine na kunitambulidha kuwa ni mume wake mtarajiwa...

Wakuu nimechanganyikiwa na ujumbe huu.. Binafsi bado nampenda Sana na sijategemea hili kwa muda huu.. Mimi ni mwanaChuo mwaka Wa pili UDSM na kuhusu mapezi nilikua namtimizia barabara mpaka mwenyewe anafurahia show.

Najiuliza nini kimemsibu!!!

Naomba ushauri wakuu
Kwani huyo mama yako?. Ulimtimizia vyote alikwambia anataka pesa?. Nyie vijana mna safari ndefu akikanyagwa na wajanja anarudi mwenyewe haulizwi.
Endelezeni ushololo mtaisoma namba.
 
subiri udisko ndo utajua kipi kilikuwa muhimu kwako... mapenzi au shule!!!!
 
Siku yake ya harusi. Unampa zawadi ya picha zake za utupu ulizompiga back in days, nadhani itakusaidia kupunguza maumivu.
 
Everything has an expired date mkuu...hata mapenzi pia...kwahyo tafuta penzi jingine...kama kweli ulimpenda ungeshamuoa mkuu..mwaka mwingi sana kwa urafiki..mwache akatulie na wanaojuwa thamani ya mke....UA ZURI linawekwa NDANI...wewe ULILIFANYA kama UZIO WA NYUMBA..mwenzio amelifanya PAMBO CHUMBANI..mwache mkuu...tafuta wa kukaa nae urafiki hata miaka 6 wapo mkuu..usivunjike moyo..utawapata wasiotaka Kuolewa mkuu....
 
Pole sana hii ndio dunia,lazima upitie magumu,ili moyo,mwili,roho na akili viimarikena km hutaki vitaimarika kwa lazima.
 
Pole sana, take it easy...!! Kapambane na GPA ubukue..

[HASHTAG]#LetHerGo[/HASHTAG]
 
Daah mimi nimemtaimu yeye maana ndiko aliko kuwa anaelekea....
 
Back
Top Bottom