Mpenzi wangu kanitambulisha mume wake mtarajiwa

Mpenzi wangu kanitambulisha mume wake mtarajiwa

Huna haja ya kuchanganyikiwa futa mawasiliano nae coz huyo tayari mke wa mtu, kaa tulia kwanza then anza upya maisha yapo tu
 
Mpotezee utapata mwingine tena materialized. Komaa na buku dogo.
 
Usijidanganye...mwanamke kukwambia kafurahia show siyo kwamba ndiyo awezi kukuacha.......fanya mambo mengine
 
Hamna namna we chukua kamba jitundike mtini, hapo utakuwa umekwepa fedheha ya kibuti
 
Unataka nini cha zaidi kama amekwambia amepata mwanaume mwingine? Au unataka mkaolewe wote wewe na huyo dada yako? Mimi simo
 
Pole sana mkuu kwa kuachwa.
Cha kufanya sasa we mpotezee usimtafute kabisa physically wala kwny simu. We ugulia ndani kwa ndani kwa nje uonekane kawaida umekubaliana na hali hiyo,itafika kipindi utasahau tuu.
 
Wakuu habari za muda huh...

Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya kitalii

Ila Jana kanitumia picha WhatsApp akiwa na jamaa mwengine na kunitambulidha kuwa ni mume wake mtarajiwa...

Wakuu nimechanganyikiwa na ujumbe huu.. Binafsi bado nampenda Sana na sijategemea hili kwa muda huu.. Mimi ni mwanaChuo mwaka Wa pili UDSM na kuhusu mapezi nilikua namtimizia barabara mpaka mwenyewe anafurahia show.

Najiuliza nini kimemsibu!!!

Naomba ushauri wakuu
soma shule acha ujinga
 
Amekuheshimu sana

Wanawake nao wana mwanamume kama rafiki wa kucheza naye na hataki umuoe,
Pia wana mwanamume wanayetaka awe mume.

Kuna vigezo hapo
Wewe hukuwa na vigezo vya kumuoa siyo kwamba hakupendi
Labda bado unasoma, au hujapata kazi, au huna shahada au una umri mdogo au hujawekeza, yaani unakipato kidogo
Amekuheshimu huyo, mchangie ktk harusi yake na ikiwezekana hudhuria sherehe yake pia

Amekuheshi sana. Mwache
 
Inuka na endelea na safari na wala usigeuke nyuma..that's how real men are bro
 
Wakuu habari za muda huh...

Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya kitalii

Ila Jana kanitumia picha WhatsApp akiwa na jamaa mwengine na kunitambulidha kuwa ni mume wake mtarajiwa...

Wakuu nimechanganyikiwa na ujumbe huu.. Binafsi bado nampenda Sana na sijategemea hili kwa muda huu.. Mimi ni mwanaChuo mwaka Wa pili UDSM na kuhusu mapezi nilikua namtimizia barabara mpaka mwenyewe anafurahia show.

Najiuliza nini kimemsibu!!!

Naomba ushauri wakuu
Show haimfanyi mpenzi akae.
Ili ukue na mwanamke, unapaswa kumpa.....
Umpe House akupe Home.
Umpe Love akupe Heart.
Umpe Pesa um Maintain.
Na........
Kisha umtosheleze kwa kitanda.

Kwakua bado hauja timiza vigezo hivyo nilivyo vitaja, nakushauri usome kwanza, achana na mapenzu
 
Umewaza nn mkuu
Kama demu akikutambulisha kwa mwanaume mwingine kuwa wanamahusiano achana nae wala usimhoji. Anaekupenda hata kama anatoka nje hawezi fanya huo upuuzi. Sasa jamaa yetu kusoma hawezi na picha hazioni tutamsaidiaje hapo sasa?
 
Chakwanza jifunze kuhimili stress, jifunze kumtoa moyon najua itakuwa ngum ila ipo cku utazoea Ila chamsingi soma sana upate ma GPA yakutosha kama ya 5 ivi alafu ukimalza chuo Jikite kwenye utafutaji wakat huo unasubiri ajira lakin katika kutafuta pesa usiwe na mawazo yakuwa et nikipata pesa watakuja wenyewe hao ambao huwa wanakuja wenyew sio kuwa wamekupenda, ni hilo tu kwasasa tulia kijana ipo siku Mungu atakupatia wakwako.
 
Hivi unaanzaje kuchanganyikiwa kwa mtu ambaye kakuacha mwenyew!! Songa mbele kijana mapenzi ni kama movie za kijapani
 
Just move on young man....it is over. Tena mshukuru kakujulisha mapema kuliko kuendelea kula hako kaboom kako.

"Kumtimizia mapenzi barabara mpaka anafurahia show" is not ALL that ladies want in marriage. Hata kama that was the case, huenda jamaa mpya/aliyekuwepo kitambo anasimamia show vizuri zaidi
 
Ilinikuta mm 2014,dem wa miaka 4 kakimbia siku 1 aliupload picha facebook,halafu alivyonaroho mbaya alini unfriend...wanakuwaga na roho ngumu hawa viumbe
 
Back
Top Bottom