[emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali mkuu....nshawahi fanya hvyoSasa umechanganyikiwa nn mkuu
Apo ndo onesha uanamme wako..
Waweke dp watsAp na wapost fb na insta hku unawawish ndoa njema
This would be a nice slap on their faces.. Mwanaume unakomazwa hivyo..ili dhahabu iwe dhahabu lazma ipitishwe kwenye motoSasa umechanganyikiwa nn mkuu
Apo ndo onesha uanamme wako..
Waweke dp watsAp na wapost fb na insta hku unawawish ndoa njema
hhhahaahaaaaaaaaaaaaaaKawahi room kwenye hostel mpya
[emoji2] [emoji2]Show haimfanyi mpenzi akae.
Ili ukue na mwanamke, unapaswa kumpa.....
Umpe House akupe Home.
Umpe Love akupe Heart.
Umpe Pesa um Maintain.
Na........
Kisha umtosheleze kwa kitanda.
Kwakua bado hauja timiza vigezo hivyo nilivyo vitaja, nakushauri usome kwanza, achana na mapenzu
Ndio hivyo mkuu[emoji2] [emoji2]
Hichi ulichofanyiwa ndio the samething utakachokuja kumfanyia boya mwingine uchumi wako ukitengamaa, ni vigumu mwanamke unayejitosa kwake akawa hana mtu, anachofanya mwanamke ni kuangalia future yake, wewe unaweza kumpotezea muda ukifika muda wa kuowa unaowa mwanamke mwingine hii nayo si sawa.Wakuu habari za muda huh...
Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya kitalii
Ila Jana kanitumia picha WhatsApp akiwa na jamaa mwengine na kunitambulidha kuwa ni mume wake mtarajiwa...
Wakuu nimechanganyikiwa na ujumbe huu.. Binafsi bado nampenda Sana na sijategemea hili kwa muda huu.. Mimi ni mwanaChuo mwaka Wa pili UDSM na kuhusu mapezi nilikua namtimizia barabara mpaka mwenyewe anafurahia show.
Najiuliza nini kimemsibu!!!
Naomba ushauri wakuu