kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
huwaga hasemi
Ikiwa hasemi utaaccount vipi sasa matumizi....?
huwaga hasemi
to me sioni kama ina shida otherwise ukubali kuwa mtaji coz utazitoa mara kwa mara kiwango kikubwa bila kujua zinafanyiwa nini?kama hataki kuulizwa za nini?atafute kwa jasho lake na kutumia za kwake
kama ulishawahi kumpa elfu 200, ndo laki mbili hiyo kama hujui
Demu wangu huyu nimekuwa naye takriban miaka 3 sasa nimekuwa nikimpa pesa elfu 20, 50, elfu 200 siku zingine simpi kabisa namwambia hali ngumu kwa vile najua anafanya kazi .
Jana kaniomba laki 2 nikashtuka kwa vile hajawahi kuniomba kiasi kikubwa kama hicho nikamjibu aje tuonane vile hatujaonana miezi 5 (nilikuwa nimesafiri) hofu yangu nikimpa atazoea kuniomba pesa nyingi.
Ushauri tafadhali.
hofu yangu atazoea kwa kujua ninazo nyingi na atakuwa anaomba zaidi.
Maskin hata sijatamani...ila nikijazibua ntakushtua:sly:
nilikuwa najiuliza sana hii elfu 200 ndo ipi?
wanafahamu majukumu yao si kitandani si shopping,kwani kwa vijana huwa mnafata nini?wazee hawa complain kwasababu wanajua hizo pesa ndo zilizokupeleka kwake tofauti na vijana
The boss em nkopeshe lakii tano aisee....swaiba
Kama unazo Mkuu we mpe tu. Umesema mwenyewe kuwa huyu ni demu wako wa miaka mitatu, na umeeleza kiasi cha fedha ambacho huwa unampa na inaonekana huwa anaridhika. Pia umesema wazi kuwa ukiwa huna huwa unamwambia na anaelewa sasa mtu kama huyo kwa nini umnyime? Lazima atakuwa na shida kubwa ndio maana amekuomba, kama angekuwa gold-digger angekuwa ameshakuomba hela kubwa kwa muda mliokuwa naye.
Anh bob ushauri gan huo demu ni demu tu ata mkikaa miaka 100 uyo si MKE.......!!!
ndo mana wanaume wengi wako maskini kisa misifa laki 2 unampa demu jamani kweli
Pesa nyingi sana iyo kule kijijini wanakodisha shamba kwa msimu ekari elfu 25 ka vp bora uende ukachkue ekari 8 ulime vitunguu
Kwanza muanzisha thread ameomba ushauri kuwa ampe kiwango hicho au la, hakuuliza kama ampe pesa wakati sio mkewe. Pili kama umesoma vizuri post ya mwanzisha thread ni kuwa huwa anampa hela mara kwa mara ingawa si kwa kiwango hicho kwa hiyo suala la kusema asimpe kwa kuwa sio mkewe sio sahihi kwani tayari amekuwa akimpa. Tatu, kwamba hizo ni hela nyingi ni suala la mtazamo tu, hata angekuwa anampa shilingi 500 kuna watu wangeziona nyingi, lakini yeye anazitoa kwa kuwa anamjali demu wake.
Mwisho mimi ushauri wangu umeanza na "kama unazo", maana yake ni kuwa ampe kama tu ana uwezo huo.
Jiandae itakuwa inaongezeka usishangae siku utakapopigwa mzinga wa milioni tano