ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 151
demu wangu huyu nimekuwa naye takriban miaka 3 sasa nimekuwa nikimpa pesa elfu 20, 50, elfu 200 siku zingine simpi kabisa namwambia hali ngumu kwa vile najua anafanya kazi
jana kaniomba laki 2 nikastuka kwa vile hajawai kuniomba kiasi kikubwa kama hicho nikamjibu aje tuonane vile hatujaonana miezi 5 (nilikuwa nimesafiri) hofu yangu nikimpa atazoea kuniomba pesa nyingi
ushauri tafadhali.
Elfu 200 ni pesa ya wapi?? we unambania eeh...wenzako wanasema laki si pesa ..we kaa unatoa macho uone kama hawajambeba wenye nazo!!
Last edited by a moderator: