20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,255
Umeona eeehhh yaani kwanza anakupa vidolali hata havihesabu na wala hujamwomba ukimwomba fasta 'Kacheki Account yako ya Standard Chartered Bank' nishaweka pesa maana niko nje ya nchi he he tuvijana hutu eti laki mbili anapiga kelele halafu anataka mwanamke???
Aisee, umenifanya nijiulize, wanajiuza au?