Umeona eeeh...kibabu changu hana maswal..say wat u want and u have it no stress....vijana ni mpaka ujaze questioner na unaweza pewa nusu
Acha kutuibia hapa!!!!!
Ndo nyie mnaotembea na baba zenu nyie.
mmmh demu wa kwako ..kumpa hela mpaka uje jf????kama huna mwambie huna.,,unayo basi mpe.
Eeendiwo..kunatatizo kwani??unaumia au:what:
Ukiona unapewa vingi sana ni wazi na wewe unatoa vingi including TIGO.
Inawezekana ana shida na hiyo hela,so may be talk to her na ujue anataka hela yote hiyo ya nini..
Mbona hela ya kawaida kabisa jamani?
kama ulishawahi kumpa elfu 200, ndo laki mbili hiyo kama hujui
Bora akuombe...shida mwanamke akisema 'nikopeshe' na wewe ukaamini 'umemkopesha'...
Miezi 5 hamjaonana, hlf bado ni demu wako?
Ndo mawazo yako yalipofikia....inaonyesha dhair..mpaka utoe pesa nying ni lazima dem akupe tigo...looh...babu wa watu nikimpa tigo si ndo atanifia na pressure....si lazima tigo mkuu ndo tuhongwe..change ua mindsetπ±
Chezea mini-kabang ww ??? chomoa-nijambe hyo ...lazma utam mwagia hela tu. Navyosikia ukianza hyo michezo ya kuzibua mtaro huachi. Hahahaha
Mkuu hapo umelenga, yaani Mimi mwanamke akinikopa najua hiyo nimempa tu.
Sijawahi kurudishwa deni na mwanamke.
Hehe...aisee....jaribu then uje kunipa feedbackπ
Hehehehe... Elfu 2 pia waihesabia na ww..?! Anyway,umuulize hiyo pesa anataka kufanyia nini ili uwe comfortable kuitoa..
Ntafute nijaribu (nikutifue wewe mtaroni huko), utafaidije... lol