Mpenzi wangu kaniomba 200,000


Mpe pesa kijana ndo mapenzi ya kiafrika hayo maana hata yeye hana uhakika kama utamuoa bora akuchune ili hata ukimwaga abaki na historia nzuri kutoka kwako
 
Ha ha elfu mbili nayo imo kwenye calculations?? Ha ha u made my day.... Ulimpa ya nini sasa hiyo buku mbili??? Ha ha ha aisee nimecheka kwa nguvu mno duh

hahahahaha labda ya vocha jamaa atakuwa mchumi sana huyu lol
 
mhhh kicheche hyo kama anafanya kazi na wewe anasrahili akutoe hata out mara moja
 
mmmh demu wa kwako ..kumpa hela mpaka uje jf????kama huna mwambie huna.,,unayo basi mpe.
 
Bora akuombe...shida mwanamke akisema 'nikopeshe' na wewe ukaamini 'umemkopesha'...
kwa mme na mke kukopeshana haiumizi kichwa,kazi kwa mapenzi u-boyfriend na u-girlfriend
 
mkuu ni jambo la busara kwa mpenzi wako kukuomba hela maana yeye anaona ni wewe ndo wake katika shida na raha....au unataka hela kubwa aombe kwa wengine na za vocha aombe kwako!!??..... ila kaa nae kwanza mwongee vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…