Mpenzi wangu kanikataa live leo

Mkuu una hela kweli?? Kama huna hela basi mwenzako analiwa na wenye hela na anakudanganya anakulia hizo pesa zako ndogo ndogo. Piga chini fasta wala usirudi nyuma atakutesa sana.
 
Wewe pambana na mpenzi wako. Sisi tunatafuta kwanza dawa ya covid 19.

Afrika nzima waathirika ni 2400
 
Ila hayo mapenzi yenu ya kishule shule... Hako ka anna kanaliwa na wengine tu kijana. Vibinti vya hivyo uwa vinaliwa na wenigne kirahisi we unahudumia tu
Jamaa ashakula hasara dunia ya leo kuna mwanamke haliwi?? Anakula vyako harafu anakwambia wewe eti jizuie?? Hahahaa
 
Kwa taarifa yako mtoa mada ni kwamba huyo binti bado ana Bikra, hajawahi kufanya hicho kitu unachokitaka. Kitendo cha kukubali kuwa falagha na wewe ni wazi anakupenda. Tatizo lipo kwako wewe mwanaume, unakosa maarifa ya plan A, B, C ya kumaliza mchezo.
 
Mwanamke havui chupi mwenyewe siku ya kwanza weka akilini, ata wa viti virefu nae havui hadi umvue nae dah.

Huruma iliniponza sana kwa mademu na kuwamini, na pia ugumu wa kutotoa pesa kwa demu dah unapata changamoto kubwa sijawahi ona, siku moja nitakuja niziandike zilizo nitokea.
 
mleta mada umenchekesha na kunkumbusha mbali sana nlikuwa na dem mkali mno sema mimi nlikuwa napiga nlivyoenda zangu chuo baada kama ya mwezi akanibwaga dah nlichanganyikiwa nakumbuka nilikuwa naongea bafuni mwenyewe,baada kama ya miaka 3,akanitafuta full kuniomba msamaha kikubwa alimoenda alitendwa na jamaa hakuwa anampa kama nlichokuwa nampa mimi,nikajifanya gentle nikamrudia full mahaba then akanitunuku siku hyo hakika nilimpa penzi ambalo nina hakika hakuwahi kulipata kwa siku 2 nzima baada ya hapo sku inayofata nikamwambia naenda job,kilichofata hapo ni mesage nzuri tu mimi na wewe basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],kilichofata hapo ni kesi mpka mzee kaja home,tumeenda mpka kwenye dawati la jinsia polisi leo ukimuona amekonda kama moja mwenzie nanenepa malipi hapa hapa duniani ukiniumiza its just the matter of time nami ntakuumiza mara 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…