Mpenzi wangu kanikataa live leo

Mpenzi wangu kanikataa live leo

Habari za humu ,nimekuwa na mfululizo wa thread lakini na wewe utajifunza kupitia hiki kisa kilicho nitokea leo tarehe 25.03.2020 mida ya mchana.

Nisipoteze muda twende kisa chenyewe kama kawaida.

Nilikuwa na mpenzi wangu anaitwa Anna tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana cha kushangaza hatujawahi kufanya mapenzi toka tuwe kwenye mahusiano yetu.

Nimekuwa nikimwambia tufanye anakataa anasema yaye hapendi kufanya mapenzi muda huu, sababu nyingi nyingi haziishi mara asema anahamu lakini anajizuia
Amekuwa na tabia ya kutoniamiani mara aniambie ninawasichana wengine tofauti na yeye,

Imekuwa tabu kila nikimwambia kuhusu sex anaruka mita 100 na kama unataka achukie mwambie kuhusu sex ,amekuwa akitumia vitu vyangu kama vile pesa nk lakini yeye nikimwabia hata siku moja anitunuku nipunguze ganzi ananikatlia na kuniambia eti nijizuie.

Na ni binti niliye kuwa namwamini sana nikijua kama tukiendelea hivi tutafika hadi kuoana maana ni binti ambae anaonekana mpole lakini nimemsoma ni mtu ambae anaficha hisia zake za matendo .

Juzi tarehe 23.03.2020 alinitumia ujumbe kupitia mtu fulani kuwa amenimisi sana maana nisiku kama 3 nyuma tulikuwa hatujaonana basi kesho yake tukaonana lakini baada ya kuonana hakuonesha uchangamfu kabisa ndo kumuuliza kulikoni anasema siku hizi hunijali,ndo kumuliza kivipi sikujali hakuwa na majibu ya kueleweka akawa amesepa hata hatujaongea vizuri dah nikabaki nimejiinamia nabofya simu tu .

Nikajisemea moyoni huyu tunapo elekea sijui tu basi nikawa nimesepa home.

Leo tarehe 25.03.2020 mida ya mchana nimekutana nae nikamuita akanilia buyu nikasema poa isiwe noma nikaamua kumfata nikamsimamisha maeneo tukabonga lakini alionekana hana mood yoyote nikamuuliza kulikoni mbona hivi, akanijibu wewe siku hizi hunijali ,kuna vitu akawa haviongei.

Nikamwambia mbona mahusiano yetu siyaelewi yanaelekea wapi, naona kama hueeweki nikaamua kumwambia we niambie tu ukweli kama hunipendi nijue kabisa nawala usinifiche.

Akafununguka akaniambia tuachane kila mtu ajue lake, mi nikamwambia poa wewe usiwaze kuwa na amani moyoni, mimi sitaki tena kumubembeleza maana inavoonekana nahisi atakuwa na jamaa huko ambalo linampa kiburi,

Nimeapa sitotoa msamaha wowote juu yake labda ikitokea anakuja kujitetea maana naona ni kama dharau ambayo ananifanyia na mwisho wa siku ntaonekana lofa.

Nishatoa maamuzi ya kiume na uzuri nilikuwa nampenda lakini nikaweka balance ya upendo nilijua hata tutapo kuja achana nisiumie.

Kuanzia jioni ya leo ameanza kunichunia.

Mpaka hapa sijajua nikipi kilicho mfanya achukue maamuzi ya haraka kama hayo ambayo sikuyategemea.

Sijui alinishauri nani...

©Bin Shaib Classic 2020
Mkuu una hela kweli?? Kama huna hela basi mwenzako analiwa na wenye hela na anakudanganya anakulia hizo pesa zako ndogo ndogo. Piga chini fasta wala usirudi nyuma atakutesa sana.
 
Bin Shaib Classic 2020
Wewe pambana na mpenzi wako. Sisi tunatafuta kwanza dawa ya covid 19.

Afrika nzima waathirika ni 2400
 
Ila hayo mapenzi yenu ya kishule shule... Hako ka anna kanaliwa na wengine tu kijana. Vibinti vya hivyo uwa vinaliwa na wenigne kirahisi we unahudumia tu
Jamaa ashakula hasara dunia ya leo kuna mwanamke haliwi?? Anakula vyako harafu anakwambia wewe eti jizuie?? Hahahaa
 
Kwa taarifa yako mtoa mada ni kwamba huyo binti bado ana Bikra, hajawahi kufanya hicho kitu unachokitaka. Kitendo cha kukubali kuwa falagha na wewe ni wazi anakupenda. Tatizo lipo kwako wewe mwanaume, unakosa maarifa ya plan A, B, C ya kumaliza mchezo.
 
Mwanamke havui chupi mwenyewe siku ya kwanza weka akilini, ata wa viti virefu nae havui hadi umvue nae dah.

Huruma iliniponza sana kwa mademu na kuwamini, na pia ugumu wa kutotoa pesa kwa demu dah unapata changamoto kubwa sijawahi ona, siku moja nitakuja niziandike zilizo nitokea.
 
mleta mada umenchekesha na kunkumbusha mbali sana nlikuwa na dem mkali mno sema mimi nlikuwa napiga nlivyoenda zangu chuo baada kama ya mwezi akanibwaga dah nlichanganyikiwa nakumbuka nilikuwa naongea bafuni mwenyewe,baada kama ya miaka 3,akanitafuta full kuniomba msamaha kikubwa alimoenda alitendwa na jamaa hakuwa anampa kama nlichokuwa nampa mimi,nikajifanya gentle nikamrudia full mahaba then akanitunuku siku hyo hakika nilimpa penzi ambalo nina hakika hakuwahi kulipata kwa siku 2 nzima baada ya hapo sku inayofata nikamwambia naenda job,kilichofata hapo ni mesage nzuri tu mimi na wewe basi ,kilichofata hapo ni kesi mpka mzee kaja home,tumeenda mpka kwenye dawati la jinsia polisi leo ukimuona amekonda kama moja mwenzie nanenepa malipi hapa hapa duniani ukiniumiza its just the matter of time nami ntakuumiza mara 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom