mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
Hapo sasa umejifunza kitu... Demu utaongoza siku ya kwanza.... Siku ya pili mkionana anakupa jibu lako... Siku ya tatu anaitwa getho anapigwa mikasi.... Akikataaa Kukupa mambo unamfukuza gheto unamwambia asikujue na kila unapokutana nae njiani unabadisha njia kama vile umeona gari la taka.... Akiwa na akili atakutafuta utakula kilaini sana
Na usirudi tenaKweli mkuu mimi na move on ,siwezi nikawa namgharamikia harafu sioni nyavu.
Hamjawahi kufanya mapenzi alafu unasema mpenzi wako?Habari za humu ,nimekuwa na mfululizo wa thread lakini na wewe utajifunza kupitia hiki kisa kilicho nitokea leo tarehe 25.03.2020 mida ya mchana.
Nisipoteze muda twende kisa chenyewe kama kawaida.
Nilikuwa na mpenzi wangu anaitwa Anna tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana cha kushangaza hatujawahi kufanya mapenzi toka tuwe kwenye mahusiano yetu.
Nimekuwa nikimwambia tufanye anakataa anasema yaye hapendi kufanya mapenzi muda huu, sababu nyingi nyingi haziishi mara asema anahamu lakini anajizuia
Amekuwa na tabia ya kutoniamiani mara aniambie ninawasichana wengine tofauti na yeye,
Imekuwa tabu kila nikimwambia kuhusu sex anaruka mita 100 na kama unataka achukie mwambie kuhusu sex ,amekuwa akitumia vitu vyangu kama vile pesa nk lakini yeye nikimwabia hata siku moja anitunuku nipunguze ganzi ananikatlia na kuniambia eti nijizuie.
Na ni binti niliye kuwa namwamini sana nikijua kama tukiendelea hivi tutafika hadi kuoana maana ni binti ambae anaonekana mpole lakini nimemsoma ni mtu ambae anaficha hisia zake za matendo .
Juzi tarehe 23.03.2020 alinitumia ujumbe kupitia mtu fulani kuwa amenimisi sana maana nisiku kama 3 nyuma tulikuwa hatujaonana basi kesho yake tukaonana lakini baada ya kuonana hakuonesha uchangamfu kabisa ndo kumuuliza kulikoni anasema siku hizi hunijali,ndo kumuliza kivipi sikujali hakuwa na majibu ya kueleweka akawa amesepa hata hatujaongea vizuri dah nikabaki nimejiinamia nabofya simu tu .
Nikajisemea moyoni huyu tunapo elekea sijui tu basi nikawa nimesepa home.
Leo tarehe 25.03.2020 mida ya mchana nimekutana nae nikamuita akanilia buyu nikasema poa isiwe noma nikaamua kumfata nikamsimamisha maeneo tukabonga lakini alionekana hana mood yoyote nikamuuliza kulikoni mbona hivi, akanijibu wewe siku hizi hunijali ,kuna vitu akawa haviongei.
Nikamwambia mbona mahusiano yetu siyaelewi yanaelekea wapi, naona kama hueeweki nikaamua kumwambia we niambie tu ukweli kama hunipendi nijue kabisa nawala usinifiche.
Akafununguka akaniambia tuachane kila mtu ajue lake, mi nikamwambia poa wewe usiwaze kuwa na amani moyoni, mimi sitaki tena kumubembeleza maana inavoonekana nahisi atakuwa na jamaa huko ambalo linampa kiburi,
Nimeapa sitotoa msamaha wowote juu yake labda ikitokea anakuja kujitetea maana naona ni kama dharau ambayo ananifanyia na mwisho wa siku ntaonekana lofa.
Nishatoa maamuzi ya kiume na uzuri nilikuwa nampenda lakini nikaweka balance ya upendo nilijua hata tutapo kuja achana nisiumie.
Kuanzia jioni ya leo ameanza kunichunia.
Mpaka hapa sijajua nikipi kilicho mfanya achukue maamuzi ya haraka kama hayo ambayo sikuyategemea.
Sijui alinishauri nani...
Bin Shaib Classic 2020
Yeah hatujawahi kufanya, kwahiyo wewe kama hamjawahi kufanya huwezi kumuita mpenzi?
Bila shaka ninaamini, lakini kwa mara nyingine sitofanya makosa ndani ya 18Write your reply...hua hawaombwi unawaweka kwenye kumi na nane tuuh
wengi wa namna hyo kuna mijamaa inakula
Mhh! Yaweza kuwa kweli maana nilipo ona ananikwepa kuhusu sex ,na mimi nikapunguza kuhusu kumpatia vi change naona na hiyo itakuwa moja ya sababu.Mwanamke akikwambia humjali manake anataka pesa.
sijawahi kumuweka mwanamke ambae hatujafanya nae mapenzi kwenye list ya wapenzi wangu .Yeah hatujawahi kufanya, kwahiyo wewe kama hamjawahi kufanya huwezi kumuita mpenzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kama wewe utamuitaje?sijawahi kumuweka mwanamke ambae hatujafanya nae mapenzi kwenye list ya wapenzi wangu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Powa mkuu naheshimu maoni yenu na ushauri wenu, maisha yanaendeleaSema kuna madame aliwahi kuniambia mwanamke hawezi sema muachane kama hajapata mtu...
Its better to move on though its not that easy... Tafuta manzi mwingine huyo hakufai tena maana inaonekana kashajua udhaifu wako kabla ya wewe kujua wakwake!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ee!!Every woman is a crazy dog except your mother..
Ukielewa hili basi kwako mapenzi yatakua rahisi Sana'a..
#YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Now this nigga done decided to drop some dimes here1. Huyo hakuwa mpenzi wako bali ni rafiki tu. Mpenzi maana yake mnafanya mapenzi
2. Siku zote unapokua na mwanamke, hakikisha kila unapokutana nae uhusiano wenu unapiga hatua kutoka point moja hadi nyingine! Mfano kama leo mmetoka out, next time mkitoka tena hakikisha unakula mate, next time unakula mate na kumchezea nyonyo na papuchi if possible, next unakula mzigo! Mwanamke akishaona hakuna progress anaboeka na mwisho anakupiga chini maana anaona hujielewi unampotezea muda tuu kila akija hamna kinachoendelea na wakati huo kuna wenzio 37 wanamsarandia na wanafanya kweli.
3. Sijui turudie kusema mara ngapi, MWANAMKE HAOMBWI KU SEX!! Ukikaa unamuomba mwanamke ku sex nae hutakaa ule papuchi wewe utakua unaachwa kila siku. Jifunze kutengeneza mazingira ya kula mzigo bila kuomba omba.
4. Jenga utamaduni wa kuwa na marafiki wengi wa kike kila wakati. Ukiwa na kamwanamke kamoja tu kila siku unakafuata fuata hako hako hua unaanza kuonekana poyoyo tuu na unapoteza mvuto kwake. Huo mda wote unaopoteza kumfuatilia mwanamke mmoja ungeshakula wengine kama 8 watam kuliko huyo.
Ndo maana hata mimi sikuwa na papara ya sex, ndo maana ilifika kipindi ni kahisi huyu manzi ananichezea akili au?Huenda umeshindwa kuchukuliana na msimamo wake akaona asikukwaze,, ni changamoto ambayo si nyepesi kuimudu,, nashauri tu usipothamin upendo anaokupenda ukataka tu sex kwake itamuumiza na kujitoa kwenye mahusioano,, mwanamke ambaye hajawah kufanya mapenzi akikwambia anakupenda mkapanga kujenga familia inatosha sana,, kuliko kukupa sex kumbe hauko pekeako,, nahisi kabisa aliona anataka kupoteza msimamo wake ndio maana akaona bora akae mbali,, naongea kitu ambacho ninauhakika nacho,, mwanamke bila msimamo utaishia kuwa starehe kwa kila MTU,, huenda ata angekubali ungekuja kumuona hana maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nisubiri, lakini mimi naona atanichefua tuHapo sasa umejifunza kitu... Demu utaongoza siku ya kwanza.... Siku ya pili mkionana anakupa jibu lako... Siku ya tatu anaitwa getho anapigwa mikasi.... Akikataaa Kukupa mambo unamfukuza gheto unamwambia asikujue na kila unapokutana nae njiani unabadisha njia kama vile umeona gari la taka.... Akiwa na akili atakutafuta utakula kilaini sana