Mpenzi wangu kanikataa live leo

Mpenzi wangu kanikataa live leo

Kama ulikua unamhimiza sana sex na yy ni kitu hakutaka kufanya nje ya ndoa huenda ikawa n sababu iliyomfanya ajione inferior kwamba hakutimizii unachotaka , akaona bora muachane kuliko kuumizana, maana yy anakuumiza kwa kukunyima sex na ww unamuumiza kumuhimiza kitu kinachomtoa nje ya msimamo wake,,changamoto kama hii nilikua nakutana nayo kabla sjaolewa unakuta mtu unampenda kabisa na yy anakupenda ila unakubali kuachana nae kwasababu kama hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nishauri mkuu?
 
Mkuu usiwe mkali sana kwa huyu dogo, ni kwamba tu kuna vitu vichache hajavielewa kwenye hii game ila yuko kwenye laiti tlaki. Kuna malofa hata kuwa tu na demu wa uongo na kweli wameshindwa sembuse huyu?
Unasemaje?? Naona umetuita apa malofa tulioshindwa hata wa uongo na kweli
 
Mkuu inamana hata mate hukula?
Mkuu asante sana kwa kunitoa giza kidogo.

Huyu demu nilikuwa nikitaka hata kumshika kiuno anadai yeye hapendi kushikwa tukiwa hadharani wakati huo tupo wawili ndo nilikuwa njiuliza kulikoni.
Mkuu nimeupata ushauri wako ntaufanyia kazi

Hasa hapa pa kuwa na marafiki wengi wa kike naona nipamhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo demu alikuwa bikra kabisa mkuu, ila kama ungelazimisha kupiga ungeona!!ila sasa umezembea kakutana na baharia katoboa mwamba na mtt kanogewa sas ww hufai tena kwake, mi hyo imewahi kunitokea mkuu ila nilikuja kushtuka mwishon nikagundua hakuwah kugegedwa, nikamuita geto nikamuomba game kagoma nikalazimisha babu, ndo pona pona yang.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukiipata formula utajua kwamba huu uliokuwa unafanya ni uboya.

Hakuna mwanamke atakayekuvulia kirahisi kwa mara ya kwanza, ni technique mkuu.

Ukikua utajua.

Kweli mkuu ni wachache sana wenye ujasiri huo kwa mara ya kwanza.
M
Siku nyingine sitofanya makosa halafu changamoto nyingine ni geto la kumlia
 
huyo demu alikuwa bikra kabisa mkuu, ila kama ungelazimisha kupiga ungeona!!ila sasa umezembea kakutana na baharia katoboa mwamba na mtt kanogewa sas ww hufai tena kwake, mi hyo imewahi kunitokea mkuu ila nilikuja kushtuka mwishon nikagundua hakuwah kugegedwa, nikamuita geto nikamuomba game kagoma nikalazimisha babu, ndo pona pona yang.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo geto mkuu ndo ilikuwa changamoto nilikuwa nikimwambia twende guest house anakataa ,kiufupi hakuwa anaeleweka antaka kipi na kipi hataki.
 
Habari za humu ,nimekuwa na mfululizo wa thread lakini na wewe utajifunza kupitia hiki kisa kilicho nitokea leo tarehe 25.03.2020 mida ya mchana.

Nisipoteze muda twende kisa chenyewe kama kawaida.

Nilikuwa na mpenzi wangu anaitwa Anna tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana cha kushangaza hatujawahi kufanya mapenzi toka tuwe kwenye mahusiano yetu.

Nimekuwa nikimwambia tufanye anakataa anasema yaye hapendi kufanya mapenzi muda huu, sababu nyingi nyingi haziishi mara asema anahamu lakini anajizuia
Amekuwa na tabia ya kutoniamiani mara aniambie ninawasichana wengine tofauti na yeye,

Imekuwa tabu kila nikimwambia kuhusu sex anaruka mita 100 na kama unataka achukie mwambie kuhusu sex ,amekuwa akitumia vitu vyangu kama vile pesa nk lakini yeye nikimwabia hata siku moja anitunuku nipunguze ganzi ananikatlia na kuniambia eti nijizuie.

Na ni binti niliye kuwa namwamini sana nikijua kama tukiendelea hivi tutafika hadi kuoana maana ni binti ambae anaonekana mpole lakini nimemsoma ni mtu ambae anaficha hisia zake za matendo .

Juzi tarehe 23.03.2020 alinitumia ujumbe kupitia mtu fulani kuwa amenimisi sana maana nisiku kama 3 nyuma tulikuwa hatujaonana basi kesho yake tukaonana lakini baada ya kuonana hakuonesha uchangamfu kabisa ndo kumuuliza kulikoni anasema siku hizi hunijali,ndo kumuliza kivipi sikujali hakuwa na majibu ya kueleweka akawa amesepa hata hatujaongea vizuri dah nikabaki nimejiinamia nabofya simu tu .

Nikajisemea moyoni huyu tunapo elekea sijui tu basi nikawa nimesepa home.

Leo tarehe 25.03.2020 mida ya mchana nimekutana nae nikamuita akanilia buyu nikasema poa isiwe noma nikaamua kumfata nikamsimamisha maeneo tukabonga lakini alionekana hana mood yoyote nikamuuliza kulikoni mbona hivi, akanijibu wewe siku hizi hunijali ,kuna vitu akawa haviongei.

Nikamwambia mbona mahusiano yetu siyaelewi yanaelekea wapi, naona kama hueeweki nikaamua kumwambia we niambie tu ukweli kama hunipendi nijue kabisa nawala usinifiche.

Akafununguka akaniambia tuachane kila mtu ajue lake, mi nikamwambia poa wewe usiwaze kuwa na amani moyoni, mimi sitaki tena kumubembeleza maana inavoonekana nahisi atakuwa na jamaa huko ambalo linampa kiburi,

Nimeapa sitotoa msamaha wowote juu yake labda ikitokea anakuja kujitetea maana naona ni kama dharau ambayo ananifanyia na mwisho wa siku ntaonekana lofa.

Nishatoa maamuzi ya kiume na uzuri nilikuwa nampenda lakini nikaweka balance ya upendo nilijua hata tutapo kuja achana nisiumie.

Kuanzia jioni ya leo ameanza kunichunia.

Mpaka hapa sijajua nikipi kilicho mfanya achukue maamuzi ya haraka kama hayo ambayo sikuyategemea.

Sijui alinishauri nani...

©Bin Shaib Classic 2020
Swali la kizushi, umekuwa nae kwa muda mrefu na hujawahi kumuonja. Je, ulikuwa unaosha rungu wapi kipindi chote hiki ?
 
Swali la kizushi, umekuwa nae kwa muda mrefu na hujawahi kumuonja. Je, ulikuwa unaosha rungu wapi kipindi chote hiki ?
Nilikuwa nimejitunza kama kauli yake ilivyokuwa inasema anjizuia nakujilinda mkuu.
 
Nilikuwa nimejitunza kama kauli yake ilivyokuwa inasema anjizuia nakujilinda mkuu.
Haha! Yawezekana ndo na yeye aliamua kukupima kwa staili hiyo kwamba akunyime ndani ya huo muda kisha akuone namna unavyodeal nacho.
 
Sijamaliza kusoma nimeishia hapo anaposema hatak kusex

Mkuu wanawake wapo wa Aina mbili

1.hawa ukiwaambia swala la kusex wanakubali direct hata Kama ndo Mara ya kwanza kwenye mahusiano yenu

2.sitaki nataka, Hawa ili uwavue chupi huhitaji kuwaomba we weka mazingira ya kuingia ndani baada ya hapo matumizi ya nguvu yaanze kutawala hata alisema sijui anaumia anaomba akae vizur we usimsikilize.

Kundi Hilo la pili ndo linaongoza kuchelewa kutoa mgegedo hasa mwanaume ukiwa boya
 
Usifate kila unachoambiwa na mwanamke ungejiongeza Nawew Hawa watu huwa hawaelewek wanataka nn
 
Habari za humu ,nimekuwa na mfululizo wa thread lakini na wewe utajifunza kupitia hiki kisa kilicho nitokea leo tarehe 25.03.2020 mida ya mchana.

Nisipoteze muda twende kisa chenyewe kama kawaida.

Nilikuwa na mpenzi wangu anaitwa Anna tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana cha kushangaza hatujawahi kufanya mapenzi toka tuwe kwenye mahusiano yetu.

Nimekuwa nikimwambia tufanye anakataa anasema yaye hapendi kufanya mapenzi muda huu, sababu nyingi nyingi haziishi mara asema anahamu lakini anajizuia
Amekuwa na tabia ya kutoniamiani mara aniambie ninawasichana wengine tofauti na yeye,

Imekuwa tabu kila nikimwambia kuhusu sex anaruka mita 100 na kama unataka achukie mwambie kuhusu sex ,amekuwa akitumia vitu vyangu kama vile pesa nk lakini yeye nikimwabia hata siku moja anitunuku nipunguze ganzi ananikatlia na kuniambia eti nijizuie.

Na ni binti niliye kuwa namwamini sana nikijua kama tukiendelea hivi tutafika hadi kuoana maana ni binti ambae anaonekana mpole lakini nimemsoma ni mtu ambae anaficha hisia zake za matendo .

Juzi tarehe 23.03.2020 alinitumia ujumbe kupitia mtu fulani kuwa amenimisi sana maana nisiku kama 3 nyuma tulikuwa hatujaonana basi kesho yake tukaonana lakini baada ya kuonana hakuonesha uchangamfu kabisa ndo kumuuliza kulikoni anasema siku hizi hunijali,ndo kumuliza kivipi sikujali hakuwa na majibu ya kueleweka akawa amesepa hata hatujaongea vizuri dah nikabaki nimejiinamia nabofya simu tu .

Nikajisemea moyoni huyu tunapo elekea sijui tu basi nikawa nimesepa home.

Leo tarehe 25.03.2020 mida ya mchana nimekutana nae nikamuita akanilia buyu nikasema poa isiwe noma nikaamua kumfata nikamsimamisha maeneo tukabonga lakini alionekana hana mood yoyote nikamuuliza kulikoni mbona hivi, akanijibu wewe siku hizi hunijali ,kuna vitu akawa haviongei.

Nikamwambia mbona mahusiano yetu siyaelewi yanaelekea wapi, naona kama hueeweki nikaamua kumwambia we niambie tu ukweli kama hunipendi nijue kabisa nawala usinifiche.

Akafununguka akaniambia tuachane kila mtu ajue lake, mi nikamwambia poa wewe usiwaze kuwa na amani moyoni, mimi sitaki tena kumubembeleza maana inavoonekana nahisi atakuwa na jamaa huko ambalo linampa kiburi,

Nimeapa sitotoa msamaha wowote juu yake labda ikitokea anakuja kujitetea maana naona ni kama dharau ambayo ananifanyia na mwisho wa siku ntaonekana lofa.

Nishatoa maamuzi ya kiume na uzuri nilikuwa nampenda lakini nikaweka balance ya upendo nilijua hata tutapo kuja achana nisiumie.

Kuanzia jioni ya leo ameanza kunichunia.

Mpaka hapa sijajua nikipi kilicho mfanya achukue maamuzi ya haraka kama hayo ambayo sikuyategemea.

Sijui alinishauri nani...

Bin Shaib Classic 2020
Hapo hakuna maamuzi ya kiume wala nini!

Kwanza inaonekana wewe ndo unampenda na umekuwa ukitumia pesa/ vitu vyako kumpata. Maamuzi ya kiume ukiamua kumove on move kweli siyo useme akija kujitetea unamsamehe, means aende kwa mshikaji wake huo abinuliwe weeeee akichoka ndo aje tena kwako,

Umeshaamua kumwacha muache kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Huyo hakuwa mpenzi wako bali ni rafiki tu. Mpenzi maana yake mnafanya mapenzi

2. Siku zote unapokua na mwanamke, hakikisha kila unapokutana nae uhusiano wenu unapiga hatua kutoka point moja hadi nyingine! Mfano kama leo mmetoka out, next time mkitoka tena hakikisha unakula mate, next time unakula mate na kumchezea nyonyo na papuchi if possible, next unakula mzigo! Mwanamke akishaona hakuna progress anaboeka na mwisho anakupiga chini maana anaona hujielewi unampotezea muda tuu kila akija hamna kinachoendelea na wakati huo kuna wenzio 37 wanamsarandia na wanafanya kweli.
3. Sijui turudie kusema mara ngapi, MWANAMKE HAOMBWI KU SEX!! Ukikaa unamuomba mwanamke ku sex nae hutakaa ule papuchi wewe utakua unaachwa kila siku. Jifunze kutengeneza mazingira ya kula mzigo bila kuomba omba.
4. Jenga utamaduni wa kuwa na marafiki wengi wa kike kila wakati. Ukiwa na kamwanamke kamoja tu kila siku unakafuata fuata hako hako hua unaanza kuonekana poyoyo tuu na unapoteza mvuto kwake. Huo mda wote unaopoteza kumfuatilia mwanamke mmoja ungeshakula wengine kama 8 watam kuliko huyo.
Kongore sana mkuu, point zako nimezipenda na nimegain kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom