Mpenzi wangu kaniacha kisa sina pesa

Ndio maana niliishi single tokea 2013 mpaka 2017 nikapata mzee sasa na fynda naye kimya kimya hawa wavulana ni stress ni motowakuotea mbali .
Eti unamlala mwenzio siku nzima ila akiwa na shida unamwambia sina
 
mdogo angu tafuta pesa hilo jambo lakk hata kwangu lilitokea alafu unachotakiwa kujua kuwa huyo demu hakupendi, na hiyo siku unampigia simu hapokei wala meseji hajibu ujue alikuwa analiwa utamu na huyo jamaa ambae wewe unamuona ni mzee (miaka 38 siyo mzee), kaa nae mbali huyo demu anaweza kukupa maradhi, mimi ilinitokea kama hivyo ila yeye aliniambia tu ukweli kuwa kuna mtu ana pesa ndefu anamtaka hivyo sasa hivi namtumia huyo demu kama kitega uchumi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ila nawe,hujaona aibu hata kuandika haya.Unataka umtumie afu bila huduma ziada yoyote.Embu jifikirie mara mbilimbli,yaan hata 15 tu? Aisee,em tafuta maisha kwanza mapenz badobado maana utaishia kuumia
 
Kama huwezi kumpa mwanamke pesa ya mafuta hata ya 5,000 au pesa ya ped basi usitongoze subiri mpaka utakapokuwa na uwezo huo au kuwa Marioo. Sioni kosa la huyo binti

Songa mbele na maisha mengine

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
njoo pm, hilo swala dogo! watafute waliopata tatizo kama hilo watakwambiaa how to go through
 
Vitu vingine hawa wanawake mnawaendekeza sanaaaa maisha yamebadilika sanaaa huyo hana uwezo au nguvu ya kujishugulisha na chchte hata kibarua cha kuosha vyombo mgahawani ili apate pesa ya kujimudu hata kununua pedi ya elfu 4 mpaka akae anamtegemea mwanaume amnunulie????? Mwanaume ndo huyo hana kazi ya kueleweka leo ana pesa kesho hana mnataka afanye nn aibe????? Kama ww una kazi ya kukupatia uhakika wa kipato shukuru Mungu wengine hawana. Mwanamke ambae anaomba msaada wa kipesa na mwanaume amekosa anaendelea kutafuta afu mwanamke anachukia na kwenda kwa mwanaume mwingine na kuuza utu wake kisa mpenzi wake kakosa pesa ya kumuhudumia huyo ni kahaba kama makahaba wengine kama kukosa pesa ni kitu cha kawaida mbona yeye pia kakosa mpaka anaomba???? Binafsi nachukia sanaaa wanawake wanaobweteka na kuendekeza kuhudumiwa kwa kila kitu mpaka sabuni ya kuogea ya buku anataka anunuliwe wakati yeye hakuna cha maana anachojishugulisha zaid ya kukaa kupiga story na mashost hata vocha ya 500 anapiga simu kwa mwanaume aninunuliwe na aungwe bundle shenz kabisaaa. Mdau kama Anita kakuona haufai akaenda kwa mwingine kisa tu anaweza patiwa sabuni na pedi basi tambua hakufai na bora kaondoka mapema kabla hujamuoa hakuna rangi usingeona. Muhimu endelea kupambana kutafuta pesa maisha ni foleni na yako inakuja utafanikiwa na pia utampata mwenzi wa maisha yako ambae atakupenda kwa dhat na mtajenga familia nakuombea ktk hili.
 
Mkuu ukimaliza kuongea haya yote, jiandae tu kumuhudumia mpenzi au mke wako.

Hilo ndio kubwa ninalokushauri zaidi ya hapo USIOE WALA USIWE NA MPENZI.
 
yani had pedi unashindwa unataka amnunulie nan sasa? na unasema alikuvumilia? leo yamemshinda unamshangaa. ah tuwe serious bana
 
Fact
 
Mpaka kesho naamini kua pesa ndio mwanamke mzuri duniani hakuna ,,,pesa ndio furaha pekee ambayo haikusaliti ukiwa nayo
 
Tafuta pesa sasa kwani anita ni mama yako akupende na huna kitu
acha kulilia
 
We ni mshamba samahani Kama nimekuudhi, pale alivyokuomba elfu 30 ukashindwa Mara elfu 15, na ukaambiwa ameonekana na mbaba hoteli ingetakiwa umpotezee lile hitaji muhimu ameshakupa,

Kama tu elfu 15 inakushinda tu kumpa mwanamke wako achana na mambo ya kumiliki Wanawake hawa wa kidigitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…