Mpenzi wangu kagegedwa nampenda nifanyeje?

Kama ulimkuta akiwa bikira unaweza kuachana nae. Ila kama ulianza nae wajanja walishazindua basi fumba macho tu kaka. We mpe karipio kali halafu endelea kuwa nae tu. Kwani kama umekuwa nae huku wew siye mzinduzi wa mwanzo kwa maana unakula makombo we endelea nae tu kaka mkubwa.
 
Hongera sana kugraduate na first class, mwanamke akigegedwa hutakiwi kufikiri mara mbili ni kumtakia maisha mema basi.
Tatizo mkuu ni chuo gani inaweza kuwa ni diploma au shahada za vyuo vya Kariakoo. Unaambiwa Diploma ya Computer kwa miaka miwili akihitimu hapo akitaka kwenda University za ukweli anakuta kozi yake nzima ilikuwa ni Module moja tu ya Computer Application tena ya mwanafunzi wa Certificate.
 
Hilo nalo tatizo.....! Vyuo vimekuwa vingi.
 
Wana jamii naombeni ushauri wenu kijana mwezenu yamenikuta, mimi nina girlfriend tangu mwaka jana, nimekuwa nikimpa support ya shule kama ada na mahitaji mengine kadri ninavyoweza. Mwaka jana aliombwa na dada yake akampe campani huko mbagara kwaani alikuwa amepata mtoto mchanga. Tangu aende kuishi kwa dada yake alianza kubadirika katika mawasiliano, aliniambia kuwa hakuwa free kama alipokuwa kwa wazazi wake temeke. Kwaani kila nikimhitaji ilkuwa ni ngumu au kwa nadra sana mfano tuliweza kuonana mara moja kila baada ya miezi 1-2. Mawasiliano yetu makubwa yalikuwa ya simu. Kwa sababu ya mawasilano yetu kuwa finyu tuliweza kutofautiana mara kwa mara hivyo hata ile support yangu ikawa inapungua kwa sababu ilikuwa ni lazima niende kwenye tigopesa kumuwezesha nayopia ilitegemea nimepata muda gani kulingana na mazingira ya kazi yangu.

Bahati nzuri mpenzi wangu amerudi nyumbani kwa wazazi sasa yapata mwezi mmoja na tunaweza kuonana mara kwa mara na mahusiano yetu yamestawi vizuri tena. Kwa bahati mbaya juzi siku ya Eid simu yangu nilimwazima mdogo wangu alikuwa amepoteza simu yake huku akiwa na issue ya pesa. Hivyo mpenzi wangu hakuweza kunipata alichukia sana mpaka akawa hapigi simu wala hajibu sms zangu kwa muda wa siku 3. Ijumatatu wiki hii baada ya kazi nilienda kujua kulikoni, aliponiona tu aliniambia nimefuata nini? Nilimshangaa sana, akasema kuwa najifanya sijui kwa nini sikupokea simu yake siku ya Eid. Nilimwelewesha na kumwomba msamaha. Baadae nilimuuliza kuwa nilikuwa nimeona gari pale nyumbani kwao na nikajifanya kama nimepata taarifa kuwa ni ya mtu wake, alinijibu kuwa kwa hiyo nina amuaje? Niliamua kuchukua simu yake kwa nguvu nikaondoka nayo. Usiku iliingia sms iliyokuwa inamtaka wakafanye mapenzi kwaani ilikuwa yapata miezi 4 tangu wafanye mara ya mwisho. Sikuamini nilichokiona. Jana jioni nilienda kukutana nae na kumuuliza kuhusu sms hiyo alilia na kuomba nimsamehe kwani alifanya mara moja kwa kuwa hatukuwa na mawasiliano mazuri kipindi hicho akiwa Mbagara eti alihisi tulikuwa tumeachana na alikuwa na shida ya shule hivyo ilimbidi kumkubari mtu bila kupenda. Zaidi aliniambia kuwa mbona yeye alinisamehe mwaka jana alipopata uja uzito tukautoa hata bila ya wazazi wake au dada yake kujua? Ni kweli tulitoa mimba ya mwezi 1.5. Lakini tulishauliana kuwa asome kwanza hayo mengine ndiyo yafuate. Akakubari.

Wana jamii naombeni ushauri wenu nifanyeje kijana mwenzenu yamenikuta na binti nampenda lakini kwa sababu ya hili la kutokuwa mwaminifu nimemwambia kuwa tangu jana tumeachana, kiukweli usiku kucha sijapata usingizi hata dk 5. Hapa nilipo nawaza sana. Na yeye ananiomba msamaha hatarudia ilitokea bahati mbaya.

Tupa kule huyo.....Ukioa uta gegedewa wakati tayari ni mkeo!!Hiko ni kitabia kwa wanawake wapo ambao hawawezi kujizuia mwanaume yeyote akiomba kwao ni twende.
 
Tatizo una mapenzi ya kitoto mapenzi ya kulialia hadi kwenye keyboard. Hivi mko kidato cha ngapi maana mnaonekana wote bado wanafunzi. Mimi hata mke wangu akigegedwa nampiga chini hiyo ndio principle yangu hata yeye anajua. Uache mapenzi ya kulialia

Sio kugegedwa tuu, hata sms zinazoashiria mahaba ya nje ya ndoano....off she go...
 
pole ! 2liza akili fikiria faida na hasara za kumuacha kama hasara ni nyingi basi msamehe no one is perfect!

Wewe!!!!Hauogopi????
"No one is perfect" katika hili mi hainiingii akilini.
 
wewe ndio wa kulaumiwa,kama umsikilizi mdada unategemea kipi?suala la mdada kumsaliti mkaka/mume hapo uje mme ana tatizo kubwa na mmoja wapo ni kutokuongea naje mdada
 
Wana jamii naombeni ushauri wenu kijana mwezenu yamenikuta, mimi nina girlfriend tangu mwaka jana, nimekuwa nikimpa support ya shule kama ada na mahitaji mengine kadri ninavyoweza. Mwaka jana aliombwa na dada yake akampe campani huko mbagara kwaani alikuwa amepata mtoto mchanga. Tangu aende kuishi kwa dada yake alianza kubadirika katika mawasiliano, aliniambia kuwa hakuwa free kama alipokuwa kwa wazazi wake temeke. Kwaani kila nikimhitaji ilkuwa ni ngumu au kwa nadra sana mfano tuliweza kuonana mara moja kila baada ya miezi 1-2. Mawasiliano yetu makubwa yalikuwa ya simu. Kwa sababu ya mawasilano yetu kuwa finyu tuliweza kutofautiana mara kwa mara hivyo hata ile support yangu ikawa inapungua kwa sababu ilikuwa ni lazima niende kwenye tigopesa kumuwezesha nayopia ilitegemea nimepata muda gani kulingana na mazingira ya kazi yangu.

Bahati nzuri mpenzi wangu amerudi nyumbani kwa wazazi sasa yapata mwezi mmoja na tunaweza kuonana mara kwa mara na mahusiano yetu yamestawi vizuri tena. Kwa bahati mbaya juzi siku ya Eid simu yangu nilimwazima mdogo wangu alikuwa amepoteza simu yake huku akiwa na issue ya pesa. Hivyo mpenzi wangu hakuweza kunipata alichukia sana mpaka akawa hapigi simu wala hajibu sms zangu kwa muda wa siku 3. Ijumatatu wiki hii baada ya kazi nilienda kujua kulikoni, aliponiona tu aliniambia nimefuata nini? Nilimshangaa sana, akasema kuwa najifanya sijui kwa nini sikupokea simu yake siku ya Eid. Nilimwelewesha na kumwomba msamaha. Baadae nilimuuliza kuwa nilikuwa nimeona gari pale nyumbani kwao na nikajifanya kama nimepata taarifa kuwa ni ya mtu wake, alinijibu kuwa kwa hiyo nina amuaje? Niliamua kuchukua simu yake kwa nguvu nikaondoka nayo. Usiku iliingia sms iliyokuwa inamtaka wakafanye mapenzi kwaani ilikuwa yapata miezi 4 tangu wafanye mara ya mwisho. Sikuamini nilichokiona. Jana jioni nilienda kukutana nae na kumuuliza kuhusu sms hiyo alilia na kuomba nimsamehe kwani alifanya mara moja kwa kuwa hatukuwa na mawasiliano mazuri kipindi hicho akiwa Mbagara eti alihisi tulikuwa tumeachana na alikuwa na shida ya shule hivyo ilimbidi kumkubari mtu bila kupenda. Zaidi aliniambia kuwa mbona yeye alinisamehe mwaka jana alipopata uja uzito tukautoa hata bila ya wazazi wake au dada yake kujua? Ni kweli tulitoa mimba ya mwezi 1.5. Lakini tulishauliana kuwa asome kwanza hayo mengine ndiyo yafuate. Akakubari.

Wana jamii naombeni ushauri wenu nifanyeje kijana mwenzenu yamenikuta na binti nampenda lakini kwa sababu ya hili la kutokuwa mwaminifu nimemwambia kuwa tangu jana tumeachana, kiukweli usiku kucha sijapata usingizi hata dk 5. Hapa nilipo nawaza sana. Na yeye ananiomba msamaha hatarudia ilitokea bahati mbaya.

ulipomwambia unaachana nae alijibuje?
 
Mtu yeyote fa'la fa'la anayesema MBAGARA badala ya MBAGALA na MALA MWISHO badala ya MARA YA MWISHO lazima demu wake agegedwe.

Ulishindwa nini kumwambia huyo mayala kuwa unampa simu mdogo wako kwa hiyo hutakuwa hewani? Halafu usiishi kwa hisia bwana mdogo, aliyegegedwa ni demu wako na wewe ndio una maumivu, ushauri wa watu wengine hautaondoa mbegu mwilini mwa huyo mayala.

Jifunze lugha fasaha uje Mbezi nikupatie demu wa maana.
Ha ha ha dah aiseee..kweli mwezi mtukufu umeisha aisee..kha...
 
Mtu yeyote fa'la fa'la anayesema MBAGARA badala ya MBAGALA na MALA MWISHO badala ya MARA YA MWISHO lazima demu wake agegedwe.

Ulishindwa nini kumwambia huyo mayala kuwa unampa simu mdogo wako kwa hiyo hutakuwa hewani? Halafu usiishi kwa hisia bwana mdogo, aliyegegedwa ni demu wako na wewe ndio una maumivu, ushauri wa watu wengine hautaondoa mbegu mwilini mwa huyo mayala.

Jifunze lugha fasaha uje Mbezi nikupatie demu wa maana.

hebu ni pm namba yake kwanza
 
Kwani huyo ndo demu pekeee uliye naye mkuu? kama vipi renew ur former colonies na life utaona linasonga kama kawa.
 
wana jamii naombeni ushauri wenu kijana mwezenu yamenikuta, mimi nina girlfriend tangu mwaka jana, nimekuwa nikimpa support ya shule kama ada na mahitaji mengine kadri ninavyoweza. Mwaka jana aliombwa na dada yake akampe campani huko mbagara kwaani alikuwa amepata mtoto mchanga. Tangu aende kuishi kwa dada yake alianza kubadirika katika mawasiliano, aliniambia kuwa hakuwa free kama alipokuwa kwa wazazi wake temeke. Kwaani kila nikimhitaji ilkuwa ni ngumu au kwa nadra sana mfano tuliweza kuonana mara moja kila baada ya miezi 1-2. Mawasiliano yetu makubwa yalikuwa ya simu. Kwa sababu ya mawasilano yetu kuwa finyu tuliweza kutofautiana mara kwa mara hivyo hata ile support yangu ikawa inapungua kwa sababu ilikuwa ni lazima niende kwenye tigopesa kumuwezesha nayopia ilitegemea nimepata muda gani kulingana na mazingira ya kazi yangu.

Bahati nzuri mpenzi wangu amerudi nyumbani kwa wazazi sasa yapata mwezi mmoja na tunaweza kuonana mara kwa mara na mahusiano yetu yamestawi vizuri tena. Kwa bahati mbaya juzi siku ya eid simu yangu nilimwazima mdogo wangu alikuwa amepoteza simu yake huku akiwa na issue ya pesa. Hivyo mpenzi wangu hakuweza kunipata alichukia sana mpaka akawa hapigi simu wala hajibu sms zangu kwa muda wa siku 3. Ijumatatu wiki hii baada ya kazi nilienda kujua kulikoni, aliponiona tu aliniambia nimefuata nini? Nilimshangaa sana, akasema kuwa najifanya sijui kwa nini sikupokea simu yake siku ya eid. Nilimwelewesha na kumwomba msamaha. Baadae nilimuuliza kuwa nilikuwa nimeona gari pale nyumbani kwao na nikajifanya kama nimepata taarifa kuwa ni ya mtu wake, alinijibu kuwa kwa hiyo nina amuaje? Niliamua kuchukua simu yake kwa nguvu nikaondoka nayo. Usiku iliingia sms iliyokuwa inamtaka wakafanye mapenzi kwaani ilikuwa yapata miezi 4 tangu wafanye mara ya mwisho. Sikuamini nilichokiona. Jana jioni nilienda kukutana nae na kumuuliza kuhusu sms hiyo alilia na kuomba nimsamehe kwani alifanya mara moja kwa kuwa hatukuwa na mawasiliano mazuri kipindi hicho akiwa mbagara eti alihisi tulikuwa tumeachana na alikuwa na shida ya shule hivyo ilimbidi kumkubari mtu bila kupenda. Zaidi aliniambia kuwa mbona yeye alinisamehe mwaka jana alipopata uja uzito tukautoa hata bila ya wazazi wake au dada yake kujua? ni kweli tulitoa mimba ya mwezi 1.5. lakini tulishauliana kuwa asome kwanza hayo mengine ndiyo yafuate. Akakubari.

Wana jamii naombeni ushauri wenu nifanyeje kijana mwenzenu yamenikuta na binti nampenda lakini kwa sababu ya hili la kutokuwa mwaminifu nimemwambia kuwa tangu jana tumeachana, kiukweli usiku kucha sijapata usingizi hata dk 5. Hapa nilipo nawaza sana. Na yeye ananiomba msamaha hatarudia ilitokea bahati mbaya.

hutumiagi kondom?
 
wana jamii naombeni ushauri wenu kijana mwezenu yamenikuta, mimi nina girlfriend tangu mwaka jana, nimekuwa nikimpa support ya shule kama ada na mahitaji mengine kadri ninavyoweza. Mwaka jana aliombwa na dada yake akampe campani huko mbagara kwaani alikuwa amepata mtoto mchanga. Tangu aende kuishi kwa dada yake alianza kubadirika katika mawasiliano, aliniambia kuwa hakuwa free kama alipokuwa kwa wazazi wake temeke. Kwaani kila nikimhitaji ilkuwa ni ngumu au kwa nadra sana mfano tuliweza kuonana mara moja kila baada ya miezi 1-2. Mawasiliano yetu makubwa yalikuwa ya simu. Kwa sababu ya mawasilano yetu kuwa finyu tuliweza kutofautiana mara kwa mara hivyo hata ile support yangu ikawa inapungua kwa sababu ilikuwa ni lazima niende kwenye tigopesa kumuwezesha nayopia ilitegemea nimepata muda gani kulingana na mazingira ya kazi yangu.

Bahati nzuri mpenzi wangu amerudi nyumbani kwa wazazi sasa yapata mwezi mmoja na tunaweza kuonana mara kwa mara na mahusiano yetu yamestawi vizuri tena. Kwa bahati mbaya juzi siku ya eid simu yangu nilimwazima mdogo wangu alikuwa amepoteza simu yake huku akiwa na issue ya pesa. Hivyo mpenzi wangu hakuweza kunipata alichukia sana mpaka akawa hapigi simu wala hajibu sms zangu kwa muda wa siku 3. Ijumatatu wiki hii baada ya kazi nilienda kujua kulikoni, aliponiona tu aliniambia nimefuata nini? Nilimshangaa sana, akasema kuwa najifanya sijui kwa nini sikupokea simu yake siku ya eid. Nilimwelewesha na kumwomba msamaha. Baadae nilimuuliza kuwa nilikuwa nimeona gari pale nyumbani kwao na nikajifanya kama nimepata taarifa kuwa ni ya mtu wake, alinijibu kuwa kwa hiyo nina amuaje? Niliamua kuchukua simu yake kwa nguvu nikaondoka nayo. Usiku iliingia sms iliyokuwa inamtaka wakafanye mapenzi kwaani ilikuwa yapata miezi 4 tangu wafanye mara ya mwisho. Sikuamini nilichokiona. Jana jioni nilienda kukutana nae na kumuuliza kuhusu sms hiyo alilia na kuomba nimsamehe kwani alifanya mara moja kwa kuwa hatukuwa na mawasiliano mazuri kipindi hicho akiwa mbagara eti alihisi tulikuwa tumeachana na alikuwa na shida ya shule hivyo ilimbidi kumkubari mtu bila kupenda. Zaidi aliniambia kuwa mbona yeye alinisamehe mwaka jana alipopata uja uzito tukautoa hata bila ya wazazi wake au dada yake kujua? Ni kweli tulitoa mimba ya mwezi 1.5. Lakini tulishauliana kuwa asome kwanza hayo mengine ndiyo yafuate. Akakubari.

Wana jamii naombeni ushauri wenu nifanyeje kijana mwenzenu yamenikuta na binti nampenda lakini kwa sababu ya hili la kutokuwa mwaminifu nimemwambia kuwa tangu jana tumeachana, kiukweli usiku kucha sijapata usingizi hata dk 5. Hapa nilipo nawaza sana. Na yeye ananiomba msamaha hatarudia ilitokea bahati mbaya.

samahani bro,huyo binti mzaramo au ------?
 
mtu yeyote fa'la fa'la anayesema mbagara badala ya mbagala na mala mwisho badala ya mara ya mwisho lazima demu wake agegedwe.

Ulishindwa nini kumwambia huyo mayala kuwa unampa simu mdogo wako kwa hiyo hutakuwa hewani? Halafu usiishi kwa hisia bwana mdogo, aliyegegedwa ni demu wako na wewe ndio una maumivu, ushauri wa watu wengine hautaondoa mbegu mwilini mwa huyo mayala.

Jifunze lugha fasaha uje mbezi nikupatie demu wa maana.

dah,kweli we mtoka pabaya
 
Unakua na demu anaeishi temeke.unategeme nini hapo?
 
Wana jamii naombeni ushauri wenu kijana mwezenu yamenikuta, mimi nina girlfriend tangu mwaka jana, nimekuwa nikimpa support ya shule kama ada na mahitaji mengine kadri ninavyoweza. Mwaka jana aliombwa na dada yake akampe campani huko mbagara kwaani alikuwa amepata mtoto mchanga. Tangu aende kuishi kwa dada yake alianza kubadirika katika mawasiliano, aliniambia kuwa hakuwa free kama alipokuwa kwa wazazi wake temeke. Kwaani kila nikimhitaji ilkuwa ni ngumu au kwa nadra sana mfano tuliweza kuonana mara moja kila baada ya miezi 1-2. Mawasiliano yetu makubwa yalikuwa ya simu. Kwa sababu ya mawasilano yetu kuwa finyu tuliweza kutofautiana mara kwa mara hivyo hata ile support yangu ikawa inapungua kwa sababu ilikuwa ni lazima niende kwenye tigopesa kumuwezesha nayopia ilitegemea nimepata muda gani kulingana na mazingira ya kazi yangu.

Bahati nzuri mpenzi wangu amerudi nyumbani kwa wazazi sasa yapata mwezi mmoja na tunaweza kuonana mara kwa mara na mahusiano yetu yamestawi vizuri tena. Kwa bahati mbaya juzi siku ya Eid simu yangu nilimwazima mdogo wangu alikuwa amepoteza simu yake huku akiwa na issue ya pesa. Hivyo mpenzi wangu hakuweza kunipata alichukia sana mpaka akawa hapigi simu wala hajibu sms zangu kwa muda wa siku 3. Ijumatatu wiki hii baada ya kazi nilienda kujua kulikoni, aliponiona tu aliniambia nimefuata nini? Nilimshangaa sana, akasema kuwa najifanya sijui kwa nini sikupokea simu yake siku ya Eid. Nilimwelewesha na kumwomba msamaha. Baadae nilimuuliza kuwa nilikuwa nimeona gari pale nyumbani kwao na nikajifanya kama nimepata taarifa kuwa ni ya mtu wake, alinijibu kuwa kwa hiyo nina amuaje? Niliamua kuchukua simu yake kwa nguvu nikaondoka nayo. Usiku iliingia sms iliyokuwa inamtaka wakafanye mapenzi kwaani ilikuwa yapata miezi 4 tangu wafanye mara ya mwisho. Sikuamini nilichokiona. Jana jioni nilienda kukutana nae na kumuuliza kuhusu sms hiyo alilia na kuomba nimsamehe kwani alifanya mara moja kwa kuwa hatukuwa na mawasiliano mazuri kipindi hicho akiwa Mbagara eti alihisi tulikuwa tumeachana na alikuwa na shida ya shule hivyo ilimbidi kumkubari mtu bila kupenda. Zaidi aliniambia kuwa mbona yeye alinisamehe mwaka jana alipopata uja uzito tukautoa hata bila ya wazazi wake au dada yake kujua? Ni kweli tulitoa mimba ya mwezi 1.5. Lakini tulishauliana kuwa asome kwanza hayo mengine ndiyo yafuate. Akakubari.

Wana jamii naombeni ushauri wenu nifanyeje kijana mwenzenu yamenikuta na binti nampenda lakini kwa sababu ya hili la kutokuwa mwaminifu nimemwambia kuwa tangu jana tumeachana, kiukweli usiku kucha sijapata usingizi hata dk 5. Hapa nilipo nawaza sana. Na yeye ananiomba msamaha hatarudia ilitokea bahati mbaya.

Kama demu mwenyewe anatokea MBAGALA walaa sichangii chochote hapo.
 
Back
Top Bottom