Unampenda sawa...
Una wivu sawa....
Utoto nao sawa.....
Mapenzi sio kihivyo ....
1.Usichunguze bata kala nini hata siku moja hutamla...inaitwa simu ya kiganjani ni mali ya mtu kwanini usome msg zake....
2.Mawasiliano ni moja ya nguzo za mapenzi ...fikiria angefanya hivyo yeye wewe ungejisikiaje...
3.Uongo unatakiwa kwenye mapenzi ila uwe na mantiki...umempa simu mdogo wako atumie ulishindwa kumwambia ampe taarifa shemejiye au wewe ulishindwa kutoa taarifa....
4.Acha mambo ya kusadikika maana Hisia mbaya nazo huvunja uhusiano
5.Distance love....mara nyingi linatakiwa kukuza mapenzi sio kuvunja
6.Kujiamini...Siku zote amini wewe ndio mpenzi pekee kwake usitake kuweka viulizo .....ziba masikio kwa maana nyingine
Mpenzi wako anagegedwa? Afu unampenda? Ha ha ha ha ha ha ha ha
Mapenzi ni kitendawili
Au kwa kuwa wewe zombie wako huwa halalamiki...
Kwa hiyo nifanye nini sasa ndugu yangu?
Mwanafunzi wa chuo ndugu, acheni matusi au hamjawahi kugegeduliwa mademu zenu? au ni kwa kuwa hamjawahi kamata?
Ulimkutaga sealed?
Ulimkutaga sealed?
Cha msingi fuata moyo wako! Ila huyo binti nikimwangalia kwa hiyo reason aliyoitoa ya kugegedwa kisa alihitaj mahitaji ya shule ni kama ukahaba flani yani sex for money=kujiuza! Alishindwa kufunga safari kuja kwako kukuelezea? So hata siku nyingine utakapokuwa huna pesa na yeye anahitaji ataenda kujiuza tena ili apate! TAFAKARI!
AHHH best sealed? hata wa kwako hujamkuta sealed naamini hivyo. nilijua hayo yalikuwa ya huko nyuma ndiyo maana tulienda kupima ngoma kwanza. wote tulikuwa salama, baada ya hapo sikuwahi kugegeda sehemu nyingine. kumbe yeye alikuwa anagegeduliwa.