Mpenzi wangu kagegedwa nampenda nifanyeje?

Mpenzi wangu kagegedwa nampenda nifanyeje?

Unampaje binti aliyeko shule ujauzito halafu unakuja kutueleza hapa, wewe na huyo mume mwenza wote hamna akili kabisa.
Mnatumia udhaifu wa kiuchumi wa huyyo binti kumchezea kama sio mafataki mjipe wenyewe majina.

CC: MAKAMANDA WOTE WA POLISI POPOTE PALE WALIPO.
 
Kwani ulimkuta Bikra eeh? au wenzio walishanza na wewe ukakutatia njiani? usijichoshe akili yako ukashindwa kulala,na mwanamme hana kauli nyingi ukisema hutaki basi bakia na kauli hiyo, sio staki nataka inamanisha kua huna msimamo na mamuzi yako,daima usifanya maamuzi ikiwa umekasirika....
 
nitonye na Kongosho nimesoma comment zenu nimecheka sana. Kwenye huu uzi wallahi sitii neno tena.
Majibu yote yapo kwa hao wadau. :smile-big:
 
Last edited by a moderator:
Leo ngoja niwe msomaji tu, wengine mmeshaandika ya kuandika...
 
Huyo mpenzi wako si mwaminifu.Kama aliweza kufanya mapenz na mwingine kisa alihitaji pesa then hata ukishamweka ndani siku hela zikipungua kwako atafanya tena.si mwaminifu na si mvumilivu.Achana naye,kama uko serious.
 
Mwanafunzi wa chuo ndugu, acheni matusi au hamjawahi kugegeduliwa mademu zenu? au ni kwa kuwa hamjawahi kamata?
Hongera sana kugraduate na first class, mwanamke akigegedwa hutakiwi kufikiri mara mbili ni kumtakia maisha mema basi.
 
Haya mahaba ya kwenye video yatawaliza wengi.Tatizo watz Tunaiga mbambo kupita kiasi yana yaonekana nyie ni wa wanafunzi wa secondary wote bado mnakua.
 
Hongera sana kugraduate na first class, mwanamke akigegedwa hutakiwi kufikiri mara mbili ni kumtakia maisha mema basi.

Akishindwa kuchukua ushauri tuliompatia atakuwa ni mtu wa kulialia mpaka watakapo mla tigo wahuni ndio atapata akili
 
yani uongo wako hauna hata mantiki? eti siku ya EID nilimpa cm mdogo wangu, na kwanini usimwambie mwenzio kuwa unampa cm huyo mdogo wako? ulikuwa unafanya udhinifu huko alafu unakuja kutaka ushauri nenda kwa mdhinifu mwenzio muendelee na maisha maana wote dizaini moja, uswazi bwana kunamambo.......
 
Nadhani huyo demu wako kakujibu vyema,mwanamke kutoa mwili wake kwa mwanamke hakuna uhusiano na mapenzi,wako wengi wametoa ngono kwa sababu ya kupata ajira,matokeo mazuri ktk mtihani nk
 
mbona mambo madogo hayo?,umejua kwa bahati mbaya.Msamehe
 
Mkuu pole sana kwa hayo.

Wakati mwingine inabidi uupuuze moyo wako kwa faida ya mwili mzima na wanaokuhitaji.

Pili, Suala la kutoa Mimba ni baya sana na Tafadhali mkumbuke kuomba msamaha kwa Mungu wenu, ni hatari sana kuua tena kwa ukatili kiasi hiko.

Vinginevyo, Akili umepewa ili uitumie kufikiri.

Wana jamii naombeni ushauri wenu kijana mwezenu yamenikuta, mimi nina girlfriend tangu mwaka jana, nimekuwa nikimpa support ya shule kama ada na mahitaji mengine kadri ninavyoweza. Mwaka jana aliombwa na dada yake akampe campani huko mbagara kwaani alikuwa amepata mtoto mchanga. Tangu aende kuishi kwa dada yake alianza kubadirika katika mawasiliano, aliniambia kuwa hakuwa free kama alipokuwa kwa wazazi wake temeke. Kwaani kila nikimhitaji ilkuwa ni ngumu au kwa nadra sana mfano tuliweza kuonana mara moja kila baada ya miezi 1-2. Mawasiliano yetu makubwa yalikuwa ya simu. Kwa sababu ya mawasilano yetu kuwa finyu tuliweza kutofautiana mara kwa mara hivyo hata ile support yangu ikawa inapungua kwa sababu ilikuwa ni lazima niende kwenye tigopesa kumuwezesha nayopia ilitegemea nimepata muda gani kulingana na mazingira ya kazi yangu.

Bahati nzuri mpenzi wangu amerudi nyumbani kwa wazazi sasa yapata mwezi mmoja na tunaweza kuonana mara kwa mara na mahusiano yetu yamestawi vizuri tena. Kwa bahati mbaya juzi siku ya Eid simu yangu nilimwazima mdogo wangu alikuwa amepoteza simu yake huku akiwa na issue ya pesa. Hivyo mpenzi wangu hakuweza kunipata alichukia sana mpaka akawa hapigi simu wala hajibu sms zangu kwa muda wa siku 3. Ijumatatu wiki hii baada ya kazi nilienda kujua kulikoni, aliponiona tu aliniambia nimefuata nini? Nilimshangaa sana, akasema kuwa najifanya sijui kwa nini sikupokea simu yake siku ya Eid. Nilimwelewesha na kumwomba msamaha. Baadae nilimuuliza kuwa nilikuwa nimeona gari pale nyumbani kwao na nikajifanya kama nimepata taarifa kuwa ni ya mtu wake, alinijibu kuwa kwa hiyo nina amuaje? Niliamua kuchukua simu yake kwa nguvu nikaondoka nayo. Usiku iliingia sms iliyokuwa inamtaka wakafanye mapenzi kwaani ilikuwa yapata miezi 4 tangu wafanye mara ya mwisho. Sikuamini nilichokiona. Jana jioni nilienda kukutana nae na kumuuliza kuhusu sms hiyo alilia na kuomba nimsamehe kwani alifanya mara moja kwa kuwa hatukuwa na mawasiliano mazuri kipindi hicho akiwa Mbagara eti alihisi tulikuwa tumeachana na alikuwa na shida ya shule hivyo ilimbidi kumkubari mtu bila kupenda. Zaidi aliniambia kuwa mbona yeye alinisamehe mwaka jana alipopata uja uzito tukautoa hata bila ya wazazi wake au dada yake kujua? Ni kweli tulitoa mimba ya mwezi 1.5. Lakini tulishauliana kuwa asome kwanza hayo mengine ndiyo yafuate. Akakubari.

Wana jamii naombeni ushauri wenu nifanyeje kijana mwenzenu yamenikuta na binti nampenda lakini kwa sababu ya hili la kutokuwa mwaminifu nimemwambia kuwa tangu jana tumeachana, kiukweli usiku kucha sijapata usingizi hata dk 5. Hapa nilipo nawaza sana. Na yeye ananiomba msamaha hatarudia ilitokea bahati mbaya.
 
Wakubwa kwa wadogo nashukuru sana kwa ushauri wenu, japo wengine wametumia lugha kali lakini apana mbaya, kugegeduliwa kwa demu wako usikie tu kwingine siyo kwako hasa km ulikuwa unampenda kwa dhati, huku ukiwa na malengo ya muda mrefu.
 
Demu wako akimegwa na wewe mega wa mwenzio haipunguzi maumivu bali inaleta heshima by Mwana FA unaoa lini bado nipo nipo sana.
 
Wakubwa kwa wadogo nashukuru sana kwa ushauri wenu, japo wengine wametumia lugha kali lakini apana mbaya, kugegeduliwa kwa demu wako usikie tu kwingine siyo kwako hasa km ulikuwa unampenda kwa dhati, huku ukiwa na malengo ya muda mrefu.

pole ! 2liza akili fikiria faida na hasara za kumuacha kama hasara ni nyingi basi msamehe no one is perfect!
 
Ushaachana nae na bado unaomba ushauri au umesamehe alichofanya maana kama unaomba ushauri tukikuambia msamehe utafanya hivyo
Na hiyo sms ni ile uliyoikuta ya mmoja je kama kuna wengine ambao huwajui itakuwaje
Kama anaweza kukubali kwa sababu ya shida tuu kidogo kutovumilia je una uhakika hata ukirudiana nae hiyo akipata shida hatakusaliti tena
hebu jiulize moyoni mwako kama bado unampenda licha ya hayop yote yaliyotokea
Nashangaa grafani11 hujaona jamaa hapa ni 30 years na graduate wa chuo tena first class ila bado anakula na mwanafunzi sijui wa kidato cha ngapi na amedanganywa na mapenzi ya kishule kuna wengine wanakula ila bado hataki kuachia ngazi na bado ni wale wa usiku sikulala nakuota wewe
 
Last edited by a moderator:
Mtu yeyote fa'la
fa'la anayesema MBAGARA badala ya MBAGALA na MALA MWISHO badala ya MARA
YA MWISHO lazima demu wake agegedwe.

Ulishindwa nini kumwambia huyo mayala kuwa unampa simu mdogo wako kwa
hiyo hutakuwa hewani? Halafu usiishi kwa hisia bwana mdogo, aliyegegedwa
ni demu wako na wewe ndio una maumivu, ushauri wa watu wengine
hautaondoa mbegu mwilini mwa huyo mayala.

Jifunze lugha fasaha uje Mbezi nikupatie demu wa maana.

Mbona na wewe umekosea umeandika mayala badala ya malaya? uwe makini unavoponda wengine pumbaf kabisa
 
Back
Top Bottom