Mpenzi wangu kagegedwa nampenda nifanyeje?

Hayo mapenzi ni ya kizamani sana na kama utumwa eti mtu anune kisa sitapokea cmu upuuzi
mtupu
Kama unaona kutopokea cm sio tatizo basi wewe mwenyewe ni tatizo tayari.
 
Wana jamii naombeni ushauri wenu kijana mwezenu yamenikuta, mimi nina girlfriend tangu mwaka jana, nimekuwa nikimpa support ya shule kama ada na mahitaji mengine kadri ninavyoweza. Mwaka jana aliombwa na dada yake akampe campani huko mbagara kwaani alikuwa amepata mtoto mchanga. Tangu aende kuishi kwa dada yake alianza kubadirika katika mawasiliano, aliniambia kuwa hakuwa free kama alipokuwa kwa wazazi wake temeke. Kwaani kila nikimhitaji ilkuwa ni ngumu au kwa nadra sana mfano tuliweza kuonana mara moja kila baada ya miezi 1-2. Mawasiliano yetu makubwa yalikuwa ya simu. Kwa sababu ya mawasilano yetu kuwa finyu tuliweza kutofautiana mara kwa mara hivyo hata ile support yangu ikawa inapungua kwa sababu ilikuwa ni lazima niende kwenye tigopesa kumuwezesha nayopia ilitegemea nimepata muda gani kulingana na mazingira ya kazi yangu.

Bahati nzuri mpenzi wangu amerudi nyumbani kwa wazazi sasa yapata mwezi mmoja na tunaweza kuonana mara kwa mara na mahusiano yetu yamestawi vizuri tena. Kwa bahati mbaya juzi siku ya Eid simu yangu nilimwazima mdogo wangu alikuwa amepoteza simu yake huku akiwa na issue ya pesa. Hivyo mpenzi wangu hakuweza kunipata alichukia sana mpaka akawa hapigi simu wala hajibu sms zangu kwa muda wa siku 3. Ijumatatu wiki hii baada ya kazi nilienda kujua kulikoni, aliponiona tu aliniambia nimefuata nini? Nilimshangaa sana, akasema kuwa najifanya sijui kwa nini sikupokea simu yake siku ya Eid. Nilimwelewesha na kumwomba msamaha. Baadae nilimuuliza kuwa nilikuwa nimeona gari pale nyumbani kwao na nikajifanya kama nimepata taarifa kuwa ni ya mtu wake, alinijibu kuwa kwa hiyo nina amuaje? Niliamua kuchukua simu yake kwa nguvu nikaondoka nayo. Usiku iliingia sms iliyokuwa inamtaka wakafanye mapenzi kwaani ilikuwa yapata miezi 4 tangu wafanye mara ya mwisho. Sikuamini nilichokiona. Jana jioni nilienda kukutana nae na kumuuliza kuhusu sms hiyo alilia na kuomba nimsamehe kwani alifanya mara moja kwa kuwa hatukuwa na mawasiliano mazuri kipindi hicho akiwa Mbagara eti alihisi tulikuwa tumeachana na alikuwa na shida ya shule hivyo ilimbidi kumkubari mtu bila kupenda. Zaidi aliniambia kuwa mbona yeye alinisamehe mwaka jana alipopata uja uzito tukautoa hata bila ya wazazi wake au dada yake kujua? Ni kweli tulitoa mimba ya mwezi 1.5. Lakini tulishauliana kuwa asome kwanza hayo mengine ndiyo yafuate. Akakubari.

Wana jamii naombeni ushauri wenu nifanyeje kijana mwenzenu yamenikuta na binti nampenda lakini kwa sababu ya hili la kutokuwa mwaminifu nimemwambia kuwa tangu jana tumeachana, kiukweli usiku kucha sijapata usingizi hata dk 5. Hapa nilipo nawaza sana. Na yeye ananiomba msamaha hatarudia ilitokea bahati mbaya.
Acha kuwa mbulula bhana kwani demu kugegedwa ni ajabu mbona wote wanagegedwa? ishu asilowee tu kama ilishapita na haangalii tena uelekeo huo kumbatia demu wako uendelee na raha masuala ya kugegedwa yapo tuuuu na hayaishi mradi angalia uzito uko wapi kwako au kwa yule mwingine
 
Kwani K. imeisha apo? We endelesa kula msigo.. Ukickia roho inauma na wewe kajaribu nje kdoogo! Utapona!
 
Wana jamii naombeni ushauri wenu kijana mwezenu yamenikuta, mimi nina girlfriend tangu mwaka jana, nimekuwa nikimpa support ya shule kama ada na mahitaji mengine kadri ninavyoweza. Mwaka jana aliombwa na dada yake akampe campani huko mbagara kwaani alikuwa amepata mtoto mchanga. Tangu aende kuishi kwa dada yake alianza kubadirika katika mawasiliano, aliniambia kuwa hakuwa free kama alipokuwa kwa wazazi wake temeke. Kwaani kila nikimhitaji ilkuwa ni ngumu au kwa nadra sana mfano tuliweza kuonana mara moja kila baada ya miezi 1-2. Mawasiliano yetu makubwa yalikuwa ya simu. Kwa sababu ya mawasilano yetu kuwa finyu tuliweza kutofautiana mara kwa mara hivyo hata ile support yangu ikawa inapungua kwa sababu ilikuwa ni lazima niende kwenye tigopesa kumuwezesha nayopia ilitegemea nimepata muda gani kulingana na mazingira ya kazi yangu.

Bahati nzuri mpenzi wangu amerudi nyumbani kwa wazazi sasa yapata mwezi mmoja na tunaweza kuonana mara kwa mara na mahusiano yetu yamestawi vizuri tena. Kwa bahati mbaya juzi siku ya Eid simu yangu nilimwazima mdogo wangu alikuwa amepoteza simu yake huku akiwa na issue ya pesa. Hivyo mpenzi wangu hakuweza kunipata alichukia sana mpaka akawa hapigi simu wala hajibu sms zangu kwa muda wa siku 3. Ijumatatu wiki hii baada ya kazi nilienda kujua kulikoni, aliponiona tu aliniambia nimefuata nini? Nilimshangaa sana, akasema kuwa najifanya sijui kwa nini sikupokea simu yake siku ya Eid. Nilimwelewesha na kumwomba msamaha. Baadae nilimuuliza kuwa nilikuwa nimeona gari pale nyumbani kwao na nikajifanya kama nimepata taarifa kuwa ni ya mtu wake, alinijibu kuwa kwa hiyo nina amuaje? Niliamua kuchukua simu yake kwa nguvu nikaondoka nayo. Usiku iliingia sms iliyokuwa inamtaka wakafanye mapenzi kwaani ilikuwa yapata miezi 4 tangu wafanye mara ya mwisho. Sikuamini nilichokiona. Jana jioni nilienda kukutana nae na kumuuliza kuhusu sms hiyo alilia na kuomba nimsamehe kwani alifanya mara moja kwa kuwa hatukuwa na mawasiliano mazuri kipindi hicho akiwa Mbagara eti alihisi tulikuwa tumeachana na alikuwa na shida ya shule hivyo ilimbidi kumkubari mtu bila kupenda. Zaidi aliniambia kuwa mbona yeye alinisamehe mwaka jana alipopata uja uzito tukautoa hata bila ya wazazi wake au dada yake kujua? Ni kweli tulitoa mimba ya mwezi 1.5. Lakini tulishauliana kuwa asome kwanza hayo mengine ndiyo yafuate. Akakubari.

Wana jamii naombeni ushauri wenu nifanyeje kijana mwenzenu yamenikuta na binti nampenda lakini kwa sababu ya hili la kutokuwa mwaminifu nimemwambia kuwa tangu jana tumeachana, kiukweli usiku kucha sijapata usingizi hata dk 5. Hapa nilipo nawaza sana. Na yeye ananiomba msamaha hatarudia ilitokea bahati mbaya.

Kwakuwa mnapenda kugegedana sameheaneni, ila siku ingine akipata mimba msitoe, huo ni uuaji!
 
¤Dah.........!

¤Jamani!! Jamani!!

¤inasikitisha

¤hivi kwanini vijana tumekua hivi

¤mtoto wa shule unamgegeda, bado anagegedwa na wengine huko,

¤anashika ujauzito, mnautoa

¤Jamani hata sijui niseme nini!!

¤daaaah!!
 
mh piga chini huyo, ina maana siku mkioana ukifulia tu anagawa nje!
 
piga chini na jenga imani utampata mwingine, ila usiwe na papara dogo . zamani wazee walikuwa wanasema usikimbilie mapenzi, nilikuwa nawaona kama wamepitwa na wakati, lakini sasa ndiyo tunajua maana kama hizi unazochanganyikiwa nazo , tulia piga dili zako kwa sana
 
umemshaur dada wa watu kutoa mimba(kuua} halafu unasema unampenda?
Vijana tumeogope Mungu/Allah tusiue viumbe wasionahatia kwan ni dhambi kubwa sana
 
Pamoja na kuwa ni hadithi ya upande mmoja - inaogopesha! Shida gani kubwa ya Shule hadi akauza? Shule gani yenye kusababisha shida mpaka auze? Dogo, huyo ni kicheche, ingia mitini fasta. Na kwa usalama wako - tumia kinga hadi utapooa mke wa ndoa. Misha matamu, Dogo!
 
Unamwacha tu, maana sio mwaminifu maana umesema ni demu wako tu. Acha uzinzi tafuta mke uoe muishi kama mke na mume, acha hizo tabia za kubahatisha mapenzi mkuu dunia haiko nasi kwa sasa.
 
Unatafutwa na polisi kwa kitendo cha kutembea na mwanafunzi,kumpa mimba na kuiaboart
 
wewe hata Kiswahili hujui unategmea nini?? mwache agegedwe wewe si anakupenda kwakuwa unamlipia ada au hujaelewa na kama hela yako ni ya kuunga unga tegemea maumivu tu!
 
Mtu yeyote fa'la fa'la anayesema MBAGARA badala ya MBAGALA na MALA MWISHO badala ya MARA YA MWISHO lazima demu wake agegedwe.

Ulishindwa nini kumwambia huyo mayala kuwa unampa simu mdogo wako kwa hiyo hutakuwa hewani? Halafu usiishi kwa hisia bwana mdogo, aliyegegedwa ni demu wako na wewe ndio una maumivu, ushauri wa watu wengine hautaondoa mbegu mwilini mwa huyo mayala.

Jifunze lugha fasaha uje Mbezi nikupatie demu wa maana.

Kuna watu mnanipa raha sijawahi kuona siku hizi maisha yangu swaaaaaafi, mtu akinzinguwa tu JF fasta!
 
wewe hata Kiswahili hujui unategmea nini?? mwache agegedwe wewe si anakupenda kwakuwa unamlipia ada au hujaelewa na kama hela yako ni ya kuunga unga tegemea maumivu tu!

Halafu huyu faala anaposti mara mbilimbili, kuna sehemu nimeikuta inshu hii hii nimemnyea kichizi!
Ngoja nikopi na kupesti hapa inaelekea kanikimbia kule!
 
Puuumbafuuuu, akili zimechoka saa hizi mtuhurumie nyi watoto mtatuuwa kwa pressure jamani vijana kazi yenu kulinda maboma sasa kwa mtindo huu nchi hii itasonga kweli?
Haya ushawahi kupiga kura nikushauri tatizo lako?
Jibu fastaaaa kabla sijakubaguwa!
 
shetani alimpitia, msamehe.
Mkuu
Kalou, umenichekesha umesema shetani amempitia?ameenda nae wapi,Kuzimu,Ahera,Mbezi,au kumgegeda tena?,ha ha ha ha! shetan wa siku hizi bwana nouma🙁😀🙁😀
 
Mtu yeyote fa'la fa'la anayesema MBAGARA badala ya MBAGALA na MALA MWISHO badala ya MARA YA MWISHO lazima demu wake agegedwe.

Ulishindwa nini kumwambia huyo mayala kuwa unampa simu mdogo wako kwa hiyo hutakuwa hewani? Halafu usiishi kwa hisia bwana mdogo, aliyegegedwa ni demu wako na wewe ndio una maumivu, ushauri wa watu wengine hautaondoa mbegu mwilini mwa huyo mayala.

Jifunze lugha fasaha uje Mbezi nikupatie demu wa maana.
JF bhana, ukizidiwa stress kwenye Siasa, wee njoo huku tu, kucheka na kulia vyote sunna. Nimechaka mpaka basi
 
Back
Top Bottom