Mpenzi wangu anataka kuniacha kisa siwezi kazi

Ndugu wana JF,Naomba msaada wenu wa mawazo katika hili.
Mimi ni kijana mwenye miaka 28.Kwa bahati nzuri au mbaya nimekuwa busy sana na shule na sasa nikahic nitafute mwenza wa kuweza kuishi naye.Bidii hizo zikazaa matunda karibu mwaka mmoja uliopita.
Mwezi uliopita akaja kunitembelea na katika kupiga piga story tukajikuta tunaanza mambo yetu (kitandani) japo ni dhambi kabla ya ndoa,kilichonishangaza na kunistua kwa afya yangu ni pale ambapo kale ka kwanza hakakumaliza hata dakika moja,na uume haukusimama tena kwa zaidi ya masaa mawili.Na nilikuwa natokwa na jasho jingi sana.Jamani mnanishaurije jamani.Mara nyingi huwa napata maumivu ya mgongo.
Naomba msilete utani hapa,mnishauri vizuri kama ni dawa za kienyeji au za kizungu au mnamfahamu daktari wa kunitibu tatizo langu mnisaidie kunielekeza.Mpenzi wangu ananipenda nami nampenda sana lakini kasema kama ni hivyo watoto watapatikanaje,ni heri arudiane na mpenzi wake wa zamani maana yeye hakuwa hivyo.
Natanguliza shukrani zangu kwako wewe utakayenipa mawazo ya kunijenga,nilitamani mwishoni mwa mwaka huu twende nyumbani kwao kujitambulisha na mwisho wa siku tufunge ndoa takatifu

hakuna mwanamke wa kuoa hapo ,unajitafutia matatizo wewe mtu.

hiyo ni kwasababu ndiyo mara ya kwanza , kwani std 1 ulikuwa unazijua hesabu za kuzidisha?
jiamini ,na jaribu kurelax to the maximum.
 
Sasa mkuu akifanya hivyo si yatakuwa yale yale kwani hajazoea na inampa wakati mgumu.
Huko atakapo kwenda si ataambiwa the samething.
Mkuu mechi za mchangani huwa hazifanyiwi tathmini......huko anakwenda kuchukua uoefu tuu...na kupasha misuli.....
 
mtoa mada sikwambii pole wala sikuhurumii manake hii ni hali ya kawaida kabisa kwa mwanaume ambaye ndo anaanza mchezo.

ishu ya kwamba eti jthd umfikishe kileleni kwa njia za nje ni muhimu but at least to not to this girl. manake hana hata chembe ya utu wala hajui nini maana ya mapenzi.

mtu mwenye kujali hata jali kiwango cha perfoemance cha siku ya kwanza istoshe kwake itakuwa kama bench mark ya kujua ni improve wapi kwa kiwango gani na yye anahusika vipi katika hilo.

kwangu mm huyu siyo msichana wa kusema ni rafiki ama mchumba. mark ma words.
 
Acha kupiga punyeto inaonekana imekuathiri sana mishipa ya ume imelegea halafu 28yrs bado tu ulikuwa padri au udomo zege wakati mirupo ya kumwaga kitaa, komaaaaa ndo ukubwa wenyewe huo.
 
una tatizo la kutokujiamini! inaonekana pengine ni demu mrembo na hukutarajia kumpata kama huyo! sasa wakati wa gemu confidence ilikuwa 20%! halafu huyo demu ilipasa aoneshe ushirikiano kwako sio kukuacha wewe uhangaike kuisimamisha! demu kama ni mtundu na anao ushirikiano na wewe ukajiamini mbona uta-enjoy!
pia nakuasa usisishindane kuwa super star wa mapenzi kwa lengo la kumridhisha huyo demu wako. kuna mademu wamekubuhu kwa ngono sasa kama wewe kiwango chako ni 30% na yeye ni 98% utaumia kijana wangu!
 
Hilo si tatizo hata kidogo ni kwa kuwa ilikuwa mara yako ya kwanza wengine huwa wanakosa hata hicho kimoja yaani kinatoka kabla hata ya kudo we jiamini hata mimi ilinitokea ila nilipozoea aliiuwa anaomba mapumziko kwenye mchezo na wakati mwingine anaomba maji ya kunywa.
 
mtoa mada sikwambii pole wala sikuhurumii manake hii ni hali ya kawaida kabisa kwa mwanaume ambaye ndo anaanza mchezo.

ishu ya kwamba eti jthd umfikishe kileleni kwa njia za nje ni muhimu but at least to not to this girl. manake hana hata chembe ya utu wala hajui nini maana ya mapenzi.

mtu mwenye kujali hata jali kiwango cha perfoemance cha siku ya kwanza istoshe kwake itakuwa kama bench mark ya kujua ni improve wapi kwa kiwango gani na yye anahusika vipi katika hilo.
kwangu mm huyu siyo msichana wa kusema ni rafiki ama mchumba. mark ma words.​
yani sijui nisemeje kuiongeza iwe kubwa zaidi ya hii! il​
 
acha mchecheto ukiwa eneo la tukio inabidi ujiamini, relax, amini kua hiyo k. ni mali yako na ww pekee unapaswa kuitibu taratiibu bila pupa
ujue wewe ulimpania sana pia nahic ni mgeni ktk haya mambo!
siku nyingine mkipanga ku du. kwanza ondoa mawazo kua mmepanga kufanya nini cku hiyo then automatically kitu kitadai maana vile vitu huwa vina sense hamu ya mwenzie
halafu usife moyo kwa kauli ya kuachwa eti kisa kitu haiendi mnara!
ndg. wanawake ni km watoto maana cku ukimpa dozi ya uhakika atasahau yote.
 
Ndugu wana JF,Naomba msaada wenu wa mawazo katika hili.
Mimi ni kijana mwenye miaka 28.Kwa bahati nzuri au mbaya nimekuwa busy sana na shule na sasa nikahic nitafute mwenza wa kuweza kuishi naye.Bidii hizo zikazaa matunda karibu mwaka mmoja uliopita.
Mwezi uliopita akaja kunitembelea na katika kupiga piga story tukajikuta tunaanza mambo yetu (kitandani) japo ni dhambi kabla ya ndoa,kilichonishangaza na kunistua kwa afya yangu ni pale ambapo kale ka kwanza hakakumaliza hata dakika moja,na uume haukusimama tena kwa zaidi ya masaa mawili.Na nilikuwa natokwa na jasho jingi sana.Jamani mnanishaurije jamani.Mara nyingi huwa napata maumivu ya mgongo.
Naomba msilete utani hapa,mnishauri vizuri kama ni dawa za kienyeji au za kizungu au mnamfahamu daktari wa kunitibu tatizo langu mnisaidie kunielekeza.Mpenzi wangu ananipenda nami nampenda sana lakini kasema kama ni hivyo watoto watapatikanaje,ni heri arudiane na mpenzi wake wa zamani maana yeye hakuwa hivyo.
Natanguliza shukrani zangu kwako wewe utakayenipa mawazo ya kunijenga,nilitamani mwishoni mwa mwaka huu twende nyumbani kwao kujitambulisha na mwisho wa siku tufunge ndoa takatifu
Acha puli.
 
Sikiliza mkuu tatizo kama hilo hata mimi limesha wahi kuni kuta ghafla kwa mpenzi wangu ambae nilikua nimedate nae zaidi ya miezi sita bila kutokea cha ajabu siku moja ikatokea nikadate goli la kwanza sikuludia tena niliendelea kua na presha hali ile ilichukua miezi miwili lakini nilipo ongea na daktari aliniambia ni jaribu kukontro saikorojia yangu kwanza inawezekana sina tatizo kwani aliniuliza kua ninatatizo la kisukari au presha nikamwambia sina wiki moja baadae nilikuna na mpenzi wangu nilijiamini nikajiweka kama sina tatizo lolote nilichapa mzigo kama kawaida kwa hiho toa presha jiamini na usimuokope mpenzi mfesi jikute we ndio mjuzi zaidi yake utapafome vizuri na uhakika huna tatizo lolote
 
punguza pombe
gonga supu ya mbuz
jiamin, ingia uwanjan, mbona mtu atawasha fen/AC na ataomba maji ya barid!!!!
 
usishangae kijana wale usipate wasiwasi hiyo ni hali ya kawaida......unachotakiwa kufanya ni kumuandaa sana yeye ili walau awe tayari kabla yako ili umridhishe maana inaonekana jamaa wa kwanza alikuwa anasugua sufuria hadi linatoa cheche

Teh teh teh, mpaka mtoto anasema "chomoa kwanza kuna kitu nataka nikwambie jamani bebii" na mchizi naye anajibu "sema tu huku naendelea coz nakusikia"
 
hiyo ni kwasababu ndiyo mara ya kwanza , kwani std 1 ulikuwa unazijua hesabu za kuzidisha?
jiamini ,na jaribu kurelax to the maximum.[/QUOTE]

Ha ha ha mkuu umenifurahisha sana Hapo..kumbe na kwenye sex kuna mtaala.
 
Mtumie huyo dada kama sehem ya kujifunzia hayo mavitu huku unatafuta mke kimyakimya ukimpata mke mshukuru huyo kuwa ticha halaf tupa kuleeee
 
Kupata mtoto hata hako ka kwanza ka muda mfupi kanatosha ndugu yangu!!! labda swala la kutoshelezana wewe na yeye, hapo mi nikupe dawa njema ambayo ni kuwa na mazoezi ya mwili ya kutosha na kisha kula chakula cha kawaida ushibe na ukiweza uwe na muda wa mapumziko mzuri..baada ya mwezi rudi utoe ripoti ya uwezo wako..
 
hapo cha msingi kwanza machine inasimama..hilo ndo jambo la kwanza kubwa na muhimu, cha pili ilo tatizo la ufasta subiri watalaam wakumalizie utalaam wao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom