Wazazi hawamtaki mpenzi wangu kisa anafanya kazi ya uhudumu wa baa

Amalrik TZ

JF-Expert Member
Aug 9, 2020
340
300
Rangi ya ngozi yake ni nyeusi, urefu wa kimo tunaendana japo nimemzidi kidogo. Napenda sauti yake anaponiita mpenzi wangu Errick.

Ananishauri sana kuhusu maisha na pale ninapo mshauri kuhusu jambo lolote hulifanyia kazi bila kipangamizi chochote.

Vumi amekuwa faraja kwangu na nimezama kwenye penzi nzito la mtoto huyu wa kigogo mwenye miaka 26.

Mwishoni mwa mwaka jana baada ya wazazi wangu kunishikaza sana nioe nilimpeleka kumtambulisha nyumbani.

Tatizo limekuja pale Bi Mkubwa alipogundua tulikutana naye Baa na anafanya kazi ya kuuza Baa hapa mjini.
Bi Mkubwa hataki kumsikia kabisa na amekwisha mtolea shombo za kutosha na mara nyingine anaweza mtukana hata mbele yangu.

Wadau naombeni ushauri wenu kusema kweli mimi nampenda sana Vumi na natamani sana nimuite mke na awe mama wa watoto wangu.

Binafsi sijaona mapungufu yake kwangu lakini tatizo lipo kwa Bi Mkubwa siku hizi hataki hata afike home.
 
mkuu samahani bado unaishi kwenu??
 
Mrudishe kwao Huyo Msukuma wa Simiyu
 
Nakazia kwa msisitizo ๐™๐ข๐ง๐ ๐š๐ญ๐ข๐š ๐ฎ๐ฌ๐ก๐š๐ฎ๐ซ๐ข ๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ฆ๐š ๐ฒ๐š๐ค๐จ, ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ƒ๐ฎ๐ง๐ข๐š ๐ฐ๐š๐ค๐ฐ๐š๐ง๐ณ๐š ๐ง๐ข ๐Œ๐”๐๐†๐”
๐ฐ๐š๐ฉ๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐ข ๐–๐€๐™๐€๐™๐ˆ
๐ฐ๐š๐ญ๐š๐ญ๐ฎ ๐ง๐ข ๐Œ๐Š๐„/๐Œ๐Œ๐„.
๐ฌ๐š๐ฌ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐ฃ๐ข๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐ž ๐ฎ๐ง๐š๐ฉ๐ž๐ง๐๐š ๐ฌ๐š๐ง๐š ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐’๐€๐Œ๐’๐Ž๐๐ˆ ๐ฒ๐ฎ๐ฅ๐ž ๐ฐ๐š ๐๐ž๐ซ๐ข๐ฅ๐š ๐ก๐š๐ซ๐š๐Ÿ๐ฎ ๐ฎ๐จ๐ง๐ž ๐ค๐ข๐ญ๐š๐ค๐š๐œ๐ก๐จ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ๐ญ๐š ๐›๐š๐š๐๐š๐ฒ๐ž
 
Bi mkubwa yupo sahihi muachishe hiyo kazi alafu mfiche ndani uwe unampekekea moto tuu....!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia kwa msisitizo ๐™๐ข๐ง๐ ๐š๐ญ๐ข๐š ๐ฎ๐ฌ๐ก๐š๐ฎ๐ซ๐ข ๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ฆ๐š ๐ฒ๐š๐ค๐จ, ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ƒ๐ฎ๐ง๐ข๐š ๐ฐ๐š๐ค๐ฐ๐š๐ง๐ณ๐š ๐ง๐ข ๐Œ๐”๐๐†๐”
๐ฐ๐š๐ฉ๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐ข ๐–๐€๐™๐€๐™๐ˆ
๐ฐ๐š๐ญ๐š๐ญ๐ฎ ๐ง๐ข ๐Œ๐Š๐„/๐Œ๐Œ๐„.
๐ฌ๐š๐ฌ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐ฃ๐ข๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐ž ๐ฎ๐ง๐š๐ฉ๐ž๐ง๐๐š ๐ฌ๐š๐ง๐š ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐’๐€๐Œ๐’๐Ž๐๐ˆ ๐ฒ๐ฎ๐ฅ๐ž ๐ฐ๐š ๐๐ž๐ซ๐ข๐ฅ๐š ๐ก๐š๐ซ๐š๐Ÿ๐ฎ ๐ฎ๐จ๐ง๐ž ๐ค๐ข๐ญ๐š๐ค๐š๐œ๐ก๐จ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ๐ญ๐š ๐›๐š๐š๐๐š๐ฒ๐ž
 
Nakumbuka enzi hizo TANGA pale barabara ya kwanza , ya nane na Mabawa yalikua Ni makazi ya Malaya wengi wao wakitokea bukoba. Watu wa TANGA wakawa wanawaita wahaya.
Watu wengi sana TANGA wakawa wanadhani uhaya Ni umalaya na sio kabila.
Sasa Kuna dogo alikua na mchumba wake huku Dar, siku akampeleka TANGA, kufika binti akaulizwa mwenzetu wewe Ni wa wapi?
Alipowaambia Mimi Ni MHAYA kila mtu alibaki mdomo wazi. Dogo alitoa maelezo ya ziada lkn haikumuingia bi mkubwa.
 
Pole sana kwa changamoto hiyo.
Nakushauri muoe kama una uwezo mfungulie biashara hata ya mobile money au genge
Kuna baadhi ya mijamaa ikilewa huko bar inazingua sana wahudumu.
Kazi ya kuuza bar kwa wife sio
 
Back
Top Bottom