I rarely comment on this platform, but let me share my 50 cents.
1.Kitaalam huyo mwanaume wako anakufanyia bullying, na kukutukana ni jambo moja, kuna siku atakudhuru, ameona wewe ni mzigo kwake na namna pekee ya kutaka muachane ni kukufanyia hivyo ili uondoke....
2. Huna pa kwenda, sijui hata niseme vijana wa siku izi mmeumbwaje.. yani kabisa huna pa kwenda? una uhakika? wewe ulizaliwa kwa huyo mwanaume? Jiongeze dada yangu...
3. Mna watoto? Kama ni ndio inabidi ueleze pia, lakini kuvumilia bullying and home violence kwa kisingizio cha "huna pa kwenda" ni utoto uliovuka mpaka....
Nimependa jina lako linafanana sana na la mwanangu..... Jitaid ufanye maisha yako bila kutegemea mwanadam mwenzako nawe utakuwa huru...