Mpenzi wangu ananikera sana

Mpenzi wangu ananikera sana

M.Melo imefika wakati ufungue jamiiforum totoplus ili watoto kama hawa wapate fursa ya kujadiliana mambo yao ya kitoto kitoto,sifa za kujiunga kitambulisho cha shule ama chuo..ukikua utaelewa
 
kuhoji nipo wapi nafanya nini, kosa nikitaja sehemu mara huyo kaja kiukweli haielezeki, ananipa kero sana nishindwa kukaa sehemu hata na marafiki tu yeye anataka kila muda tugandane gandane.
Hajaanza kukuuliza kama upo jikoni ugonge vijiko; kwa barabara upige honi...kwa daladala asikie sauti ya konda... kitandani ugeuke geuke asikie mlio wa kitanda chenu.

Hapo ni mawili moja yeye hajiamini au wewe ni kicheche anakujua yaani akikupa dk sifuri tu unaliwa.

Tena una bahati anatakiwa kila muda apekue simu yako.
 
Habari wakuu,

Nina mpenzi kwasasa ni mwaka mzima ila kwasasa sina raha kabisa ananiondolea furaha ya maisha.

Nikiwa nimekaa anapiga simu tunaongea anauliza nipo wapi dk 15 nyingi simu tena anauliza nipo wapi, nisipopokea simu message za malalamiko zitangia zaidi ya 20 hapo.

Basi bana nikipokea simu akisikia kelele anaanza kuhoji nipo wapi nafanya nini, kosa nikitaja sehemu mara huyo kaja kiukweli haielezeki, ananipa kero sana nishindwa kukaa sehemu hata na marafiki tu yeye anataka kila muda tugandane gandane.

Mapenzi yakipumbavu kama haya siyapendi kabisa, ananisumbua hivi tukianza kuishi pamoja sindoitakuwa shida hivi, na bora ungesema Umri mdogo anamiaka 30+ huko
piga chini. ukioa huyo ndiyo hao ambao hupelekesha wanaume mpaka unafika hatua unatenda kosa la jinai hata mauaji. jiepushie balaa mapema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom