Mpenzi wangu ananikera sana

Mpenzi wangu ananikera sana

Habar wakuu,

Nina mpenzi kwasasa ni mwaka mzima ila kwasasa sina raha kabisa ananiondolea furaha ya maisha.

Nikiwa nimekaa anapiga simu tunaongea anauliza nipo wapi dk 15 nyingi simu tena anauliza nipo wapi, nisipopokea simu message za malalamiko zitangia zaidi ya 20 hapo.

Basi bana nikipokea simu akiskia kelele anaanza kuhoji nipo wapi nafanya nini, kosa nikitaja sehemu mara huyo kaja kiukweli haielezeki, ananipa kero sana nishindwe kukaa sehemu hata na marafiki tuh yeye anataka kila muda tugandane gandane.

Mapenzi yakipumbavu kama haya siyapendi kabisa, ananisumbua hivi tukianza kuishi pamoja sindoitakuwa shida hivi, na bora ungesema Umri mdogo anamiaka 30+ huko
Mambi ya nyakati🤣🤣
 
Mvumilie atakua tu na kubadilika, ila inapaswa akiuliza ulipo wewe potezea usimjibu hilo swali, na wakati mwingine acha kupokea simu, akituma SMS 20 usimjibu kitu, kwa kfupi anza kumsaidia kuzoea kuishi bila hizo kero zake.
 
Asante mkuu
 
M.Melo imefika wakati ufungue jamiiforum totoplus ili watoto kama hawa wapate fursa ya kujadiliana mambo yao ya kitoto kitoto,sifa za kujiunga kitambulisho cha shule ama chuo..ukikua utaelewa
Hapa nakazia hasa.
 
Habari wakuu,

Nina mpenzi kwasasa ni mwaka mzima ila kwasasa sina raha kabisa ananiondolea furaha ya maisha.

Nikiwa nimekaa anapiga simu tunaongea anauliza nipo wapi dk 15 nyingi simu tena anauliza nipo wapi, nisipopokea simu message za malalamiko zitangia zaidi ya 20 hapo.

Basi bana nikipokea simu akisikia kelele anaanza kuhoji nipo wapi nafanya nini, kosa nikitaja sehemu mara huyo kaja kiukweli haielezeki, ananipa kero sana nishindwa kukaa sehemu hata na marafiki tuh yeye anataka kila muda tugandane gandane.

Mapenzi yakipumbavu kama haya siyapendi kabisa, ananisumbua hivi tukianza kuishi pamoja sindoitakuwa shida hivi, na bora ungesema Umri mdogo anamiaka 30+ huko
Mwizi huyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tafuteni kazi. Ukiwa na kazi, yeye hawezi kukufuata kazini. Akiwa na kazi hawezi kukusumbua kwani majukumu yatambana!
 
Mvumilie atakua tu na kubadilika, ila inapaswa akiuliza ulipo wewe potezea usimjibu hilo swali, na wakati mwingine acha kupokea simu, akituma SMS 20 usimjibu kitu, kwa kfupi anza kumsaidia kuzoea kuishi bila hizo kero zake.
Oya nyangau 254 uzi wa kimasihara unautembeleaga?.
 
Habari wakuu,

Nina mpenzi kwasasa ni mwaka mzima ila kwasasa sina raha kabisa ananiondolea furaha ya maisha.

Nikiwa nimekaa anapiga simu tunaongea anauliza nipo wapi dk 15 nyingi simu tena anauliza nipo wapi, nisipopokea simu message za malalamiko zitangia zaidi ya 20 hapo.

Basi bana nikipokea simu akisikia kelele anaanza kuhoji nipo wapi nafanya nini, kosa nikitaja sehemu mara huyo kaja kiukweli haielezeki, ananipa kero sana nishindwa kukaa sehemu hata na marafiki tuh yeye anataka kila muda tugandane gandane.

Mapenzi yakipumbavu kama haya siyapendi kabisa, ananisumbua hivi tukianza kuishi pamoja sindoitakuwa shida hivi, na bora ungesema Umri mdogo anamiaka 30+ huko

Piga mimba huyo atatulia
 
Tafuteni kazi. Ukiwa na kazi, yeye hawezi kukufuata kazini. Akiwa na kazi hawezi kukusumbua kwani majukumu yatambana!
Sio kweli..

Mimi kuna demu alikuwa anajua nipo busy tena sana na ninachokifanya kinahitaji umakini sana lakini kupigapiga simu hovyo alikuwa haachi.

Mtu umetoka kula saa 8 kasoro unampigia,ila ukiingia tu mzigoni kama dk 20 anakupigia tena..kmmmk..hata kama unampenda huyo mtu taratibu anaanza kukuboa na utaanza kumchukia.
 
Habari wakuu,

Nina mpenzi kwasasa ni mwaka mzima ila kwasasa sina raha kabisa ananiondolea furaha ya maisha.

Nikiwa nimekaa anapiga simu tunaongea anauliza nipo wapi dk 15 nyingi simu tena anauliza nipo wapi, nisipopokea simu message za malalamiko zitangia zaidi ya 20 hapo.

Basi bana nikipokea simu akisikia kelele anaanza kuhoji nipo wapi nafanya nini, kosa nikitaja sehemu mara huyo kaja kiukweli haielezeki, ananipa kero sana nishindwa kukaa sehemu hata na marafiki tuh yeye anataka kila muda tugandane gandane.

Mapenzi yakipumbavu kama haya siyapendi kabisa, ananisumbua hivi tukianza kuishi pamoja sindoitakuwa shida hivi, na bora ungesema Umri mdogo anamiaka 30+ huko
Mpenzi wako anasumbuliwa na mambo mawili inferiority na loneliness, kukusumbua huko anajitahidi kukuambia kuwa anahitaji uwe naye karibu kwa namna itakayowezekana maana kiuhalisia anajihisi mpweke ila kwasababu kichwa chako kidogo kama nzi unakuja kulalamikia JF, Wewe bado ni mvulana hata kama una umri mkubwa.. kuwa kwanza ndio utawaelewa wanawake..
 
Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom