Mpenzi wangu ananibania sex

Upumbavu ni kukaa Foleni ya kununua kitu Miaka kadhaa wakati vinapatikana bure bila ya foleni Maeneo Mengine
braza mapenz sjui yapoje...nmepita kwa weng ila kwa huyu nlishndwa kumpotezea kabisa yan..had najishangaa hata washkaj wanashangaa maana hawakutegemea coz nlkuaga kiwembe
 
ahahahaha anazngua kuja ghetto asee... anasema ana save for marriage... anadhan nataka kumkaza na kumwacha... so huwa tuna meet kula good time town and kissing tu.. ila sio ghetto

na pesa hajawah kuniomba kabisa... mda wote anawaza marriage tu.. ingawa huwa mm mwnyw najiongeza kumtumia sometimes na vizawadi
Lazima awe mchagga huyo. We muegeshe for marriage lakini tafuta kangoma kengine kakukadunda. Utakufa njaaa dogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom