Mpenzi wangu ananibania sex

Mpenzi wangu ananibania sex

Habari za jioni wanajamvi

mimi ni kijana wa kiume, miaka 24..nina mpenzi wangu ninampenda sana.. nilianza kumfukuzia tangu nipo kidato cha 5 mwaka 2013 yeye akiwa kidato cha 3..akanikubalia 2015... na huu ni mwaka wa 2 tupo katika uhusiano rasmi..kwa sasa nipo chuo kikuu mwaka wa 3 na yeye ni mwaka wa 1..tunasoma vyuo tofauti..!

kinachonitatiza ni kwamba kila nikitaka sex amekua mgumu.. hataki, anasema nisubiri mpaka tuoane.. na hajawah ku date na mtu yeyote previously, mimi ndie first love!

kwa wataalamu wa haya mambo, mnanishauri nifanyeje? nisubiri mpaka ndoa? maana napata shida sana (nadhan wanaume mnanielewa nnachomaanisha).. na je ni kweli huyu binti anamaanisha au kuna wahuni wanamgonga huko?

NB: NAOMBA USHAURI WA KUJENGA SIO KEJELI

Upumbavu ni kukaa Foleni ya kununua kitu Miaka kadhaa wakati vinapatikana bure bila ya foleni Maeneo Mengine
 
Mkuu ukiona mwanamke anakuambia subiri ndoa kwa kizaz hiki shake befor use...
Utapoteza muda wako bure uyo anapigwa na wengne na na hutakuja kumpata coz anajua sio bikra so itakua aibu kwake

Hupat kitu
OMG
 
Kufukuzia
2013 - Form v
2013 - Form 3

Kukubaliwa
2015

Status: Uhusiano unaendelea, ila no kudinya
2017 - Mwaka wa 3
2017 - Mwaka wa 1

Next: 2019 Ndoa, ndo upewe tunda.
hv inawezekana dem kukaa muda mrefu hvo bila kutusuliwa?

maana sisi men stim mda wowote tupo active
 
Hiyo ni akiba tunaweka pembeni.
Tunachangamkia fursa zingine.

Halafu mwanamke usipomsumbua kwa muda mrefu kuhusu kapapuchi ujue anastuka anaanza kukulazimishia mwenyewe.
hahaha so nikaushe tu mpaka ajistukie?
 
Habari za jioni wanajamvi

mimi ni kijana wa kiume, miaka 24..nina mpenzi wangu ninampenda sana.. nilianza kumfukuzia tangu nipo kidato cha 5 mwaka 2013 yeye akiwa kidato cha 3..akanikubalia 2015... na huu ni mwaka wa 2 tupo katika uhusiano rasmi..kwa sasa nipo chuo kikuu mwaka wa 3 na yeye ni mwaka wa 1..tunasoma vyuo tofauti..!

kinachonitatiza ni kwamba kila nikitaka sex amekua mgumu.. hataki, anasema nisubiri mpaka tuoane.. na hajawah ku date na mtu yeyote previously, mimi ndie first love!

kwa wataalamu wa haya mambo, mnanishauri nifanyeje? nisubiri mpaka ndoa? maana napata shida sana (nadhan wanaume mnanielewa nnachomaanisha).. na je ni kweli huyu binti anamaanisha au kuna wahuni wanamgonga huko?

NB: NAOMBA USHAURI WA KUJENGA SIO KEJELI
Hujasema kama ulishaga mgegeda kabla au anakubania tangu mwanzo? Iko hivi kama anakubania sasa halafu siku akipanua ukamkuta ni sealed mpigie magoti mwambie thenki yu. Ila kama anakubania na unajua hana seal ujue kuna mtu anamchakaza to the maximum mpaka hana hamu na wewe so mpige chini faster!
 
Hawajui unaisusa kama hutak vile unaomba akikataa unasema poa kumbe unaenda kwa mwengne shuhul imeisha
Akija kwako anakuona muaminufu kwel umeweza kuvumilia kumbe long time ushafanya yako
 
ahahahaha anazngua kuja ghetto asee... anasema ana save for marriage... anadhan nataka kumkaza na kumwacha... so huwa tuna meet kula good time town and kissing tu.. ila sio ghetto

na pesa hajawah kuniomba kabisa... mda wote anawaza marriage tu.. ingawa huwa mm mwnyw najiongeza kumtumia sometimes na vizawadi
Na siku ukimnaninii tu baasi jua lazima wakubwa wakuibie... Bora usimguse
 
Mkuu wewe badi ni bikra?
hapana mzee... nmeanz ku date tang nipo form 2 ila nliachana nao wengi tu nlipitia...ila nlipodata kwa huyu ndo bac tena nkatulia nae..ss tatzo ndo vile no sex
 
Back
Top Bottom