Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
na ndio siwapati kila ninaempata kiboko yanguMie nakwambia ukwel umpate dogo kama huyo c utampeleka peleka sana
na ndio siwapati kila ninaempata kiboko yanguMie nakwambia ukwel umpate dogo kama huyo c utampeleka peleka sana
mimi ndio nipige au wewe!piga hesabu vzr mkuu... form six kamaliza may 2016 chuo kaingia mwez wa 11 mwaka jana
labda kama ntakua nmekosea kuhesabu kidogo hio miaka..maana ni zamani..bt nlichosema ni ukweli mtupu
Mie nishamshauri.Ha ha ha ha kwan mkwe mpka huku hua unafika?
Embu mshaur kwanza wewe halafu tuone kama nlikua mbali sana na ukwel

na ndio siwapati kila ninaempata kiboko yangu
Itakua rahisi yeye kucheat n kurud kwako bila ww kujua. Na hatakua n reason ya kujibana bana tena.. Atakua curious pia kujaribu vitu tofauti!kwanini?
Mie nishamshauri.
Ila nashukuru nimepata jambo juu yako.
![]()
![]()
![]()
![]()
Msulubishe... Msulubishe...!!!Finaly mzee umekuja kijana naona anaitia najisi jinsia yetu tukufu
yah i kweli mkuu nmekosea hapo... ilikua 2012 ndipo nilikua form 5 na yeye form 3... asante kwa kunikumbushamimi ndio nipige au wewe!
mi si nimekuandikia hapo form 3-ian 2013, form 4-jan 2014, form 5-July 2015 -May 2016, form 6- July 2016 - May 2017.
labda kama ni hesabu za magazijuto!
![]()
![]()
dah nmekua mpenzi mtizamaji..
enewei ntajitahd mtu azame tunduni
tutanyooshana![]()
asante sana kwa ushauri wakoWanaume wenzio wanatafuta pesa we unatafuta papuchi... Soma mdogo angu ukiwa na hela atakuja tu wala hatabana kiivyo

Oa kwanza! Alaf tuone kama ataendelea kukubania
saiv bado mkuu... sjajipanga kimaisha..