Mpenzi wangu ananibania sex

Mpenzi wangu ananibania sex

Kuna issues za kitoto mnakaa na kuongelea na watoto wenzako!
humu utapotoshwa Zaidi kuliko kusaidika!
huwezi kupewa ushauri wa kimapenzi na jamii, lazima watu waliokaribu nanyi wafanye assessment ya situation na kushauri!
pili mahusiano sio lazima mfanye ngono, mwenza wako yuko sahihi, so subiri!
mwisho! acha uongo, au ukipenda uongo jifunze kuwa smart!
mtu aliyekuwa form 3 (Jan, 2013), atakuwa form 4 ( Jan 2014), then form five (May 2015/2016 ) na form six (May2016/2017)!
sasa huyo wa mwaka wa kwanza chuo kikuu ameingiaje?
anapaswa kufanyiwa uhakiki!
piga hesabu vzr mkuu... form six kamaliza may 2016 chuo kaingia mwez wa 11 mwaka jana

labda kama ntakua nmekosea kuhesabu kidogo hio miaka..maana ni zamani..bt nlichosema ni ukweli mtupu
 
Hao wapya siwajui....
Mzumbe ina legacy kubwa. Tunakupa one week uwe umeshamtafuna huyo mtoto

Bonny
haha hawa ma lecturer wangu wa BHSM

hahaah hio legacy nlkua siijui ... ngja nifanye utekelezaji
 
Msikilize na uheshimu maamuzi yake na hiyo itakufanya ufikirie ndoa haraka, si uko mwaka wa tatu? Mshahara wako wa kwanza peleka posa kwao.
Hamna muoaji hapo!
Boys wanakuwaga na mihemko sana damu ikiwa inashuka chini, na ktk umri wake wa 25 fantasies kibao, ila utashangaa akianza kujua kuvua watu chup*i utamuona kila siku anatafuta demu mpya na kutoa kasoro aliyeachana naye!
tulipita kipindi hicho na tunajua kuwa hii ni saa ya mazoezi, ngoja amle ataanza kutafuna tu mfululizo, hadi ikigonga 30-35 ndio akili inahama kwenye chu*pi/mapaja na kuanza kupanda kichwani na kuruhusu fikra za familia, ndoa na other responsibilities!
 
Kama hamtafuni huyo sio mpenzi wako bali ni ndugu yako, Amka usifanywe zoba ngoja siku akuambie ana mimba na hujawah kugegeda ndio akili itakukaa
 
Ndiyo maana kuna umuhimu wa kuwabania.
 
Kama hamtafuni huyo sio mpenzi wako bali ni ndugu yako, Amka usifanywe zoba ngoja siku akuambie ana mimba na hujawah kugegeda ndio akili itakukaa

Atajufanya yosefu kwa uwezo wa roho mtakatifu
 
Kama hamtafuni huyo sio mpenzi wako bali ni ndugu yako, Amka usifanywe zoba ngoja siku akuambie ana mimba na hujawah kugegeda ndio akili itakukaa
dah nmekua mpenzi mtizamaji..

enewei ntajitahd mtu azame tunduni
 
Back
Top Bottom