Mpenzi wangu amebadilika na anataka kuniacha naombeni ushauri

Mentor,nashukuru kwa ushauri wako,mimi ni graduate kutoka sua,nimesoma human nutrition,najitahidi sana kutafuta kazi,ofisi zingine nikiingia kuomba kujitolea tu wananiulza kuna mtu unamjua humu,nikasema hakuna,wakaniambia huwezi kupata kiurahisi nenda kajaribu ofisi nyingine,kiukweli nimechoka kwa majibu hayo,ndio maana naomba msaada kwa wanajf wenzangu,najua umu mpo wenye nafasi za juu maofisini ambao mnaweza kunisaidia hata kwa kunipa nafasi ya kujitolea tu,nahitaji msaada ndugu zangu
hzio pesa kukweli niliziotea tu mahali flani kwa muda ndio nikaweza kumsaidia,lakini bado nina hali mbaya sana,kwa mtu anayeweza kunisaidia,my email: kunambi2003@yahoo.com
asanteni

Demu wako yupo MUCCoBS nini? mwambie akutafutie pande pale Wazalendo Secondary, they have been looking for a maths teacher...mshahara mzuri tu!!!
 
Pole sana kaka kwa hayo yanayokusibu ila cha maana na ukweli ni kwamba hapo hakuna mapenzi ya dhati muache na utampata anaekupenda kwa dhati.
 
Pole sana kaka kwa hayo yanayokusibu ila cha maana na ukweli ni kwamba hapo hakuna mapenzi ya dhati muache na utampata anaekupenda kwa dhati.
 
avatar19029_3.gif

serious Mkuu next time acha paragraph kidogo sababu ni kazi sana kusoma unachoandika..., Kuhusu ushauri naona you might be part of the problem... ukipiga simu unalalamika, ukitoa msaada unadai... so maybe hata uvumilivu umemshinda huyo binti...

Unajua hata penzi inabidi libembelezwe sasa kama wewe unaleta ukali kwenye simu unategemea mtu atakuwa anavutiwa kuongea na wewe??? (na kwenye Title yako kama umesema mpenzi anataka kukuacha..., then muache aendelee haya mambo sio ya ku-force ukifanya hivyo you are just delaying the enivitable.
 
Mkuu piga chini huyo,amepata kidume kinachomkamua cha msingi tafuta kazi.Achana na hizo fedha weka kama hasara.Atakuharibia maisha yako huyo
 
we endelea na maisha yako hapo hakuna mapenz, mi sipend wasichana wa hivyo na utakuta amepata mwingine huyo
tafua kaz ww huyo kakwambia ukwel kuwa hana mapenz na ww. pole kaka yangu
 
Pole sana mdauur graduate.......na unakapenda hako kabint......lakin hakajitambui.....piga moyo konde songa mbele.....maumivu yapo lakini wewe si wa kwanza.......
ni kweli yeye siyo wa kwanza... Huwa inauma lakini utafanyeje? Hakuna mapenzi hapo, story yako imenigusa kwan hata miye yalinikuta miez kama 6 iliyopita, nnachoshukuru hatukufika mbali. Nilipoamua kukaa kimya naye akapotea, nashukuru mungu hayupo kichwan tena,
 
Huyo msichana kwa kifupi keshapata mwanaume, mie ni msichana na najua hii stage yote sometimes hadi ukiona simu unatamani uivunje, mapenzi yamehama, embu weka distance kwanza fanya mambo yako ya kutafuta kazi upate heshima mjini hapa, na hao madada sijui wa aina gani, usikute wamejua huna kazi hivo wakaona bora uachane na mdogo wao
 
avatar19029_3.gif

serious Mkuu next time acha paragraph kidogo sababu ni kazi sana kusoma unachoandika..., Kuhusu ushauri naona you might be part of the problem... ukipiga simu unalalamika, ukitoa msaada unadai... so maybe hata uvumilivu umemshinda huyo binti...

Unajua hata penzi inabidi libembelezwe sasa kama wewe unaleta ukali kwenye simu unategemea mtu atakuwa anavutiwa kuongea na wewe??? (na kwenye Title yako kama umesema mpenzi anataka kukuacha..., then muache aendelee haya mambo sio ya ku-force ukifanya hivyo you are just delaying the enivitable.

Nakubaliana na wewe...Kwa kiasi kikubwa huyu kaka kachangia kumkera binti wa watu..Amesahau kwenye mapenzi hakuna kukopeshana wa kutuza shajara!! Upendo hauhesabu mabaya...Kama aliamua kuwa mkali na kudai chake...ina maana yeye mwenyewe alishajitoa kwenye mahusiano. Msaada anaouomba sasa kwa kweli hauna maana yoyote!

Huyo msichana kwa kifupi keshapata mwanaume, mie ni msichana na najua hii stage yote sometimes hadi ukiona simu unatamani uivunje, mapenzi yamehama, embu weka distance kwanza fanya mambo yako ya kutafuta kazi upate heshima mjini hapa, na hao madada sijui wa aina gani, usikute wamejua huna kazi hivo wakaona bora uachane na mdogo wao

Umenichekesha sana na kunikumbusha mbali aiseee....Kuna jamaa alinambia kuwa hakuna mwanamke anayependa mwanamume lofa....na sifa ya ulofa wa mwanamume ni kutokuwa na chanzo cha kipato kinachoaminika.

Huyu kaka akatafute kwanza kazi ili aweza kuufuta huo ulofa wa kutokuwa reliable kama husband materials!!
 
Huyo msichana kwa kifupi keshapata mwanaume, mie ni msichana na najua hii stage yote sometimes hadi ukiona simu unatamani uivunje, mapenzi yamehama, embu weka distance kwanza fanya mambo yako ya kutafuta kazi upate heshima mjini hapa, na hao madada sijui wa aina gani, usikute wamejua huna kazi hivo wakaona bora uachane na mdogo wao

Hapo umeongea kweli Shantel,halafu...........kwanini mama yake amfanyie maamuzi?kwani utaishi na mama yake au na yeye mwenyewe?Hao madada tusiwalaumu,huwezi jua kawapa stori kivipi,labda kuna mambo kawadanganya.

Ila na wewe zegeze jifunze kubembeleza umpendaye,japo mara moja moja.Halafu,ukiamua kusaidia mtu (awe mpenzio,ndugu,jamaa,rafiki au mtu tu)saidia kwa roho moja,ulishaona wazazi wake wamekwama,alafu unamdai kwa kumfokea,huku ukitangaza ni mke mtarajiwa..........nadhani haijakaa vema hapo.
 
Ila na wewe ulikosea.Hata kama huna kazi ndo nini kumkopesha na kumdai mpenzi wako?Kama walivosema wadau hapo juu na wewe umechangia kwa kiasi kikubwa kubadilika tabia kwa huyo binti.Hata ningekuwa mm ningekuacha haraka sana.mpenzi gani unadai hela?si bora usingempa kabisa.....Ukipata mpenzi mwingine usirudie hiyo tabia ya gubu.
 
sawa ZD bt tulikubaliana arudishe na sio kumpa,lakin nimekubal makosa,cha kushangaza jana baada ya kufuata ushaur wa humu jf nikampigia na kumueleza awe na aman na maamuz yake aliyoniambia ya kuniacha,nikampa go ahead,sasa analia ameanza kuniambia mm ndio namuacha,amesahau kwamba yeye ndio aliniambia tuachane huku akiwa serious
 
Hapo umeongea kweli Shantel,halafu...........kwanini mama yake amfanyie maamuzi?kwani utaishi na mama yake au na yeye mwenyewe?Hao madada tusiwalaumu,huwezi jua kawapa stori kivipi,labda kuna mambo kawadanganya.Ila na wewe zegeze jifunze kubembeleza umpendaye,japo mara moja moja.Halafu,ukiamua kusaidia mtu (awe mpenzio,ndugu,jamaa,rafiki au mtu tu)saidia kwa roho moja,ulishaona wazazi wake wamekwama,alafu unamdai kwa kumfokea,huku ukitangaza ni mke mtarajiwa..........nadhani haijakaa vema hapo.
sawa mkuu,nimekupata vizur nilitambua kosa langu ndio mana nilimuomba msamaha,sasa jana nimemwambia kuwa nimekubaliana na maamuz yak anaanza kulia
 
Demu wako yupo MUCCoBS nini? mwambie akutafutie pande pale Wazalendo Secondary, they have been looking for a maths teacher...mshahara mzuri tu!!!
sawa mkuu,bt ingekuwa vyema ukinipatia contact zao hao Wazalendo sec il nipate kuwachek,inaonekana kama wanijua flan hiv,nami nimeshakutambua mkuu,nifanyie mchakato bas mkuu kwenye hilo pand kama unawajua hao watu
 
Ndugu pole sana,nataka nikushauri ngoja nifikiri njia nzuri zaidi!
 
sawa ZD bt tulikubaliana arudishe na sio kumpa,lakin nimekubal makosa,cha kushangaza jana baada ya kufuata ushaur wa humu jf nikampigia na kumueleza awe na aman na maamuz yake aliyoniambia ya kuniacha,nikampa go ahead,sasa analia ameanza kuniambia mm ndio namuacha,amesahau kwamba yeye ndio aliniambia tuachane huku akiwa serious
dah!mapenz haya jaman?
 
Mkuu piga chini huyo,amepata kidume kinachomkamua cha msingi tafuta kazi.Achana na hizo fedha weka kama hasara.Atakuharibia maisha yako huyo
thanx domo zege ushaur wako ulifika na niliufanyia kaz,na tayar nimepata matokeo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom