Mpenzi wangu amebadilika na anataka kuniacha naombeni ushauri

Mentor,nashukuru kwa ushauri wako,mimi ni graduate kutoka sua,nimesoma human nutrition,najitahidi sana kutafuta kazi,ofisi zingine nikiingia kuomba kujitolea tu wananiulza kuna mtu unamjua humu,nikasema hakuna,wakaniambia huwezi kupata kiurahisi nenda kajaribu ofisi nyingine,kiukweli nimechoka kwa majibu hayo,ndio maana naomba msaada kwa wanajf wenzangu,najua umu mpo wenye nafasi za juu maofisini ambao mnaweza kunisaidia hata kwa kunipa nafasi ya kujitolea tu,nahitaji msaada ndugu zangu
hzio pesa kukweli niliziotea tu mahali flani kwa muda ndio nikaweza kumsaidia,lakini bado nina hali mbaya sana,kwa mtu anayeweza kunisaidia,my email: kunambi2003@yahoo.com
asanteni

Duh pole sana ndg yangu issue ya huyo dada nakushauri uachane nae, najua inauma sana kwa mtu uliyempenda lakini kama ameshakuomba msitishe uhusiano mbaki kuwa marafiki nakuomba uheshimu maamuzi yake, kumtoa bikira au kumtazamia kuwa aje kuwa mkeo si kigezo kama ameshakutamkia kuwa hataki kuendelea na uhusiano na wewe.

Mwache na acha kuwasiliana nae gharama ulizotumia mpk sasa samehe tu kwani utakuja kupata mchumba mzuri tu hapo baadae na kusahau yote anayokutenda huyu wa sasa. Kwa ufupi Mungu amekufungua ili ujue kuwa mchumba uliye nae si mchumba mwema hivyo shukuru na kuendelea na juhudi za kutafuta kazi.

Kuhusu kozi uliyosomea jitahidi utafute kazi kwenye mashirika ya nje ya nchi au lah jaribu kufungua biashara au duka la vyakula ambavyo vinazingatia afya ya mlaji na kutoa ushauri kwa wateja wako huku ukiendelea na kutafuta kazi itakayolipa zaidi

Vitu ulivyosomea ni sensitive sana na tatizo la chakula bora kwa mwanadamu ni global issue now ndio maana unaona kina Dr, Ndodi wanavuna tu hela bila kuwa na elimu nina uhakika kama ukiwa mbunifu na ukijituma hiyo kozi inaweza kukutoa kabisa au kama vp jaribu kuomba vyuo usome post graduate ya masomo tofauti na hilo uangalie ustaarabu ktk fani nyingine

Kila lakheri, kwa ushauri zaidi funzadume@yahoo.com

Issue yako ya kazi imenitia simanzi sana. Usikate tamaa Mungu yupo na utakuja kusahau shida zote ulizopitia na kumsahau kabisa huyo msichana anayekusumbua sasa.
 
Duh pole sana ndg yangu issue ya huyo dada nakushauri uachane nae, najua inauma sana kwa mtu uliyempenda lakini kama ameshakuomba msitishe uhusiano mbaki kuwa marafiki nakuomba uheshimu maamuzi yake, kumtoa bikira au kumtazamia kuwa aje kuwa mkeo si kigezo kama ameshakutamkia kuwa hataki kuendelea na uhusiano na wewe.Mwache na acha kuwasiliana nae gharama ulizotumia mpk sasa samehe tu kwani utakuja kupata mchumba mzuri tu hapo baadae na kusahau yote anayokutenda huyu wa sasa. Kwa ufupi Mungu amekufungua ili ujue kuwa mchumba uliye nae si mchumba mwema hivyo shukuru na kuendelea na juhudi za kutafuta kazi.Kuhusu kozi uliyosomea jitahidi utafute kazi kwenye mashirika ya nje ya nchi au lah jaribu kufungua biashara au duka la vyakula ambavyo vinazingatia afya ya mlaji na kutoa ushauri kwa wateja wako huku ukiendelea na kutafuta kazi itakayolipa zaidiVitu ulivyosomea ni sensitive sana na tatizo la chakula bora kwa mwanadamu ni global issue now ndio maana unaona kina Dr, Ndodi wanavuna tu hela bila kuwa na elimu nina uhakika kama ukiwa mbunifu na ukijituma hiyo kozi inaweza kukutoa kabisa au kama vp jaribu kuomba vyuo usome post graduate ya masomo tofauti na hilo uangalie ustaarabu ktk fani nyingineKila lakheri, kwa ushauri zaidi funzadume@yahoo.comIssue yako ya kazi imenitia simanzi sana. Usikate tamaa Mungu yupo na utakuja kusahau shida zote ulizopitia na kumsahau kabisa huyo msichana anayekusumbua sasa.
asante sana kwa ushaur wak funzadume,napata faraja sana kupata ushaur kutoka kwenu wanajf,nitakutafuta kwa ushaur zaid,thanx a lot
 
sawa mkuu,bt ingekuwa vyema ukinipatia contact zao hao Wazalendo sec il nipate kuwachek,inaonekana kama wanijua flan hiv,nami nimeshakutambua mkuu,nifanyie mchakato bas mkuu kwenye hilo pand kama unawajua hao watu

Trust me, I'm nt who u think I am!!!!!!! I love JF:israel:
kuhusu contacts....nipe muda nitafute sipo Moshi now...bt nikumbushe!!!
 
Trust me, I'm nt who u think I am!!!!!!! I love JF:israel:
kuhusu contacts....nipe muda nitafute sipo Moshi now...bt nikumbushe!!!

sawa mkuu,nitakukumbusha bt waweza nipa contact zako au ni PM unipatie contact zako ili niweze kukukumbusha
au email me your contacts kwenye email yangu hapo juu
 
Shida yangu ni uandishi wako. Kama kweli wewe ni graduate unaandika hivi , basi huyo binti ana sababu eh eh eh. Just joking .
 
sawa tukutuku,nimepata ushauri wako na uko kwenye kufanyiwa kazi
 
1.MWANAMME TAFUTA PESA/KAZI.....WATU KAMA YEYE WATAJILENGESHA HADI UTASHINDWA KUCHAGUA UKIWA NAZO MFUKONI.
2.SIJAKUELEWA,UNASEMA ULIKUWA UNAENDELEA KUMSAIDIA NA WEWE HUNA KAZI???ULIPATA WAPI PESA MKUUU???
3.UMEFANYA MAKOSA YA KIUFUNDI USIRUDIE TENA SIKU NYINGINE:
1.HATA SIKU MOJA WANAUME HALISI HUWA HATUDAI CHOCHOTE ULICHOMPA MWANAKE HATA KAMA NI NYUMBA/GARI...UKITOA SAHAU.
2.WANAOBEMBELEZWA NI WAO SISI WANAUME.......USISUBIRI AKUPIGIE....WEWE NDIE UPIGE.Heeeeeh unamringia???
4.KUTOKANA NA MAKOSA HAYO YAKIUFUNDI MWENZIO HAKUTAKI TENA...............NI PM NIKUELEKEZE KAZI ZINATAFUTWAJE NAONA WEWE UNATAFUTA KIZAMANI.
 
1.MWANAMME TAFUTA PESA/KAZI.....WATU KAMA YEYE WATAJILENGESHA HADI UTASHINDWA KUCHAGUA UKIWA NAZO MFUKONI.
2.SIJAKUELEWA,UNASEMA ULIKUWA UNAENDELEA KUMSAIDIA NA WEWE HUNA KAZI???ULIPATA WAPI PESA MKUUU???
3.UMEFANYA MAKOSA YA KIUFUNDI USIRUDIE TENA SIKU NYINGINE:
1.HATA SIKU MOJA WANAUME HALISI HUWA HATUDAI CHOCHOTE ULICHOMPA MWANAKE HATA KAMA NI NYUMBA/GARI...UKITOA SAHAU.
2.WANAOBEMBELEZWA NI WAO SISI WANAUME.......USISUBIRI AKUPIGIE....WEWE NDIE UPIGE.Heeeeeh unamringia???
4.KUTOKANA NA MAKOSA HAYO YAKIUFUNDI MWENZIO HAKUTAKI TENA...............NI PM NIKUELEKEZE KAZI ZINATAFUTWAJE NAONA WEWE UNATAFUTA KIZAMANI.


nimekupata mkuu Tall,nipe maelekezo ya namna ya ku PM,ili niweze kufanya hivyo,
 
Kwamza ndugu faham kuwa huwezi kulazimishwa kupendwa wala katika makosa tunayofanya ni kuomba kupendwa,ndugu fahamu kuwa kama umefanya yote hayo bado anaona kama ni ujinga kwake mpe muda asipoeleweka angalia mambo yako uking'ang'ania utakuja kujilaumu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom