Mpenzi wangu ameathirika, je nimeambukizwa?

Mpenzi wangu ameathirika, je nimeambukizwa?

[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Mkuu usinitishe ujue, na wala hata siuwazii nikapime ili iweje akati na jua sina(imani ni bora kuliko dini). Kuna kijana aliniambia ukimwi unaupata siku ya kwenda kupima sio wakati wa kula tunda
Aisee[emoji848]
 
Angalia afya ya mama na mlindeni mtoto wa tumboni.

Hiyo kadi alikuachia tu wala siyo aliisahau.

Ukimwi siyo korona kwamba utakufa sasa, ukijitunza unaishi nao tu.

Maisha lazima yaendelee mwanangu.
 
Mkuu pole sana. Natumai uko salama. Hiv haiambukizwi kizembe.

Binafsi nimepata funzo. Kuna mwanamke saiv mke wa mtu ana mimba hivohivo analazimisha nilale nae namkwepa, isije ikawa kama hivi. Dah duniani watu wana roho mbaya
Ukute hata ni wife wangu 😂😂😂😂
 
NIKO TOFAUTI SANA NA WENGI.

Ushauri bora ni huu.

POTEZEA NA USIENDE KUPIMA, ISHI AS IF HAKUNA LILILOTOKEA, RELAX TO THE MAXIMUM.

HIV/AIDS is a mental disease!!!

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Kabla ya Kutulia na mke wangu wa sasa nilikuwa natia sana wanawake Wanadangaji, siku moja nikaambiwa huyo ulieenda nae ana ngoma, niliwaza sana cause condom ilipasuka nikabadilisha, ila kupasukiwa condom kunaleta stess. so nikajisemea SITAENDA Kupima, nikagoogle dalil za ukimwi nikaamua kuzisubiria kama zitakuja na hazikuwahi kuja nilikaa kama miezi 6 nazisikilizia na hazikuja hadi leo, na sijawahi kuugua hata kichwa.

Ushauri wangu kwa mshikaji kasababu kesi yake anajua kabisa yupo 50%/50% kupata ngoma basi asikilizie kama wiki kadhaa akiona ananza kuwa na dalili za mafua mafua, homa kichwa kuuma akapime apewe dawa. ila asipoona dalili kama hizo apige chini, kwa sababu upime usipime kama una ngoma unayo tu na HIV inachukua miaka 10 hadi 15 kuwa UKIMWI, so ni miaka mingi sana.

Ila ni imani yangu mwanamke huyo amejaribu kumuambikiza mshikaji, cause alijua amewaka,
 
Daah, amekufanyia setup Mkuu na alikuwa ana level aggregate ili wote mpate HIV/AIDS

Na hiyo card ya kliniki amefanya makusudi kuiacha ili upate taarifa kamili

Kila kitu kinachokutokea umepangiwa na kwa siku ulizokaa nae hapo kwako mkuu Umeishaaaaa
 
Kwa inayoonekana anazingatia mahudhurio ya clinic vizuri na kama mlikuwa mnaandana vyema kabla ya tendo basi usiogope sana

Ila kapime ili usiwe unaishi chini ya kivuli cha kuathirika wakati kiuhalisia hujaathirika.

NENDA KAPIME.
 
Kwa inayoonekana anazingatia mahudhurio ya clinic vizuri na kama mlikuwa mnaandana vyema kabla ya tendo basi usiogope sana

Ila kapime ili usiwe unaishi chini ya kivuli cha kuathirika wakati kiuhalisia hujaathirika.

NENDA KAPIME.
Nyie nyie, Hahaha ngoja nicheke... Mimi naamini kama kuja kupata hii kitu itatokea ndani ya family
 
Back
Top Bottom