Mpenzi wangu ameathirika, je nimeambukizwa?

Mpenzi wangu ameathirika, je nimeambukizwa?

Labda kwenye kumtoa bikra, ila kwingine chance ya kupata ngoma ni almost0
 
My guess;
Uyo bibie wakat una mbikiri hakua na ngoma,ngoma alikuja kuipata baada ya nyinyi kuachana kpnd mnaingia mwaka wa pili akaenda kutembea na Husband to be wake "meneja wa hoteli". Alivyojigundua ameukwaa naww kumtenga akaona hasife pekeake,akawa anakulazimisha aje na miss you nyingi nyingi. Ukanasa kwny mtego wake na malengo yake mawili yakatimia (umpe mimba na akupe ngoma)
Pole sana mdg wng, imeandikwa wanawake tuishi nao kwa akili. Ulimuacha kiukatili ndomana naye kakufanyia ukatili (it's my guess).
"Am out"
 
Two weeks mnabinjuka pasipo wewe kujua hali yake...most likely hata kulamba sehemu za siri umefanya...

Muhimu ukipita muda fulani pima afya yako
Kulamba tena[emoji15] cha msingi nitafanyia kazi ushauri wako[emoji120]
 
Labda kwenye kumtoa bikra, ila kwingine chance ya kupata ngoma ni almost0
Mi sikupata mchubuko by the time namtoa Bikra maana huwa naepuka sana friction [emoji120]
 
My guess;
Uyo bibie wakat una mbikiri hakua na ngoma,ngoma alikuja kuipata baada ya nyinyi kuachana kpnd mnaingia mwaka wa pili akaenda kutembea na Husband to be wake "meneja wa hoteli". Alivyojigundua ameukwaa naww kumtenga akaona hasife pekeake,akawa anakulazimisha aje na miss you nyingi nyingi. Ukanasa kwny mtego wake na malengo yake mawili yakatimia (umpe mimba na akupe ngoma)
Pole sana mdg wng, imeandikwa wanawake tuishi nao kwa akili. Ulimuacha kiukatili ndomana naye kakufanyia ukatili (it's my guess).
"Am out"
I also guess the same brow, maana juz alvokuja nimekuta nyeti zake zimebadilika sana[emoji42][emoji42] ila wadada wa chuo Mungu awasaidie tu maana nyeti zao zinatumika sana[emoji855]
 
mkuu kama huna corona we endelea na mishe zako acha kujipa stress
 
Rejea kusoma apo juu, nilimkuta na bikra mkuu na kipindi nipo nae sikuwah mhisi anachepuka maana nlikua nakaa nae 24 hrs na hata mchana tulikua tunafuatana kama kumbikumbi
Sasa hayo maloroso akapata saa ngapi ktk hiyo masaa 24
 
Back
Top Bottom