Kabla ya Kutulia na mke wangu wa sasa nilikuwa natia sana wanawake Wanadangaji, siku moja nikaambiwa huyo ulieenda nae ana ngoma, niliwaza sana cause condom ilipasuka nikabadilisha, ila kupasukiwa condom kunaleta stess. so nikajisemea SITAENDA Kupima, nikagoogle dalil za ukimwi nikaamua kuzisubiria kama zitakuja na hazikuwahi kuja nilikaa kama miezi 6 nazisikilizia na hazikuja hadi leo, na sijawahi kuugua hata kichwa.
Ushauri wangu kwa mshikaji kasababu kesi yake anajua kabisa yupo 50%/50% kupata ngoma basi asikilizie kama wiki kadhaa akiona ananza kuwa na dalili za mafua mafua, homa kichwa kuuma akapime apewe dawa. ila asipoona dalili kama hizo apige chini, kwa sababu upime usipime kama una ngoma unayo tu na HIV inachukua miaka 10 hadi 15 kuwa UKIMWI, so ni miaka mingi sana.
Ila ni imani yangu mwanamke huyo amejaribu kumuambikiza mshikaji, cause alijua amewaka,