The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,613
- 11,349
Umesema umewahi kulala naye wakati yupo kwenye siku zake bila kondomu.
Mkuu lolote linaweza tokea hapa ukisogea kwenye vipimo 50/50 unaweza ukawa huna au unao ugonjwa ila usivunjike moyo maana kifo kwa kila mtu kiko pale pale, na bado utafanya mengi ukiwa ni muathirika.
My take endeleza mahusiano naye usipanic kaka huyo mwanamke anakupenda sana amini hivo.
Mi ni negative lakini nikipata anaye nipenda naishi naye bila nongwa wanaume nasi twajua kupenda tupo baadhi tunajitoa 😅 amini mpaka tufike mbinguni wanaume tutakuwa tushachoka sana.