Umeupata ukiwa na umri gani mkuu?Ukimwi umeondoka na wapendwa wangu wengi [emoji22][emoji22][emoji22] ukweli nimeupata nikiwa mtu mzima hivi na wengine wamenilea nilifichwa tuu usiombe hii kitu.
Sikuwahi mpaka namaliza na hata sasa, kitaa wapo watoto wazuri mkuu kuliko wa chuo ndio nlkua nakomaa nao.Kwa hiyo maisha yako yote ya chuo hukuwahi hata kutembea na mwanachuo? Mbona umekosa vingi sana?! Hujutii kupitwa na vingi?
Naomba nitoe specifications za huyu mwanamke japo kwa uchache.
She's White ila sio sana, mrefu kwa kiasi chake, ana shape isio ya kukinai, dimpoz, shingo ya kukatikakatika (sijui kama nimepatia), macho yake nashindwa kuyaspecify, and the like but in short she's very very cute. Huchoki ukiwa unamtazama.
Huyu mwanamke ni moja ya wanawake ambao wana sifa zote za kuitwa pisi kali tena grade one [ ila kwa sababu ana umeme inabidi nimweke kwenye Grade Z[emoji174][emoji706][emoji706]] , ni mwanamke ambae aliumbwa akaumbika kila idara. Ni mwanamke ambae kama asingetokea kunielewa mwenyewe nisingeweza kuthubutu hata kumbwambia kuwa nampenda na nahitaji kuwa nae.
Ni mwanamke ambae akipita popote lazima wanaume waweweseke kwa kugeuza shingo na kuomba namba au kutafuta connection ya kumpata, nilipata sana tabu mwanzoni kipindi nipo nae maana nlihis ataanza kunicheat ila badae nlizoea ile hali na nikaona kama ina advantage maana tulikua tukiishiwa hela hizo contacts ndo alizokua anatumia kupata hela. Ni mwanamke ambae huez jutia kutuma hela huku ukijipa matumaini kuwa ipo siku utafanikisha lengo lako la kumpata ila mwisho wa siku isingewezekana kwa kipindi hicho nipo nae.
Ni mdada ambae nashangaa ni kwanini sio superstar sababu anawazidi masuperstars wengi wa kike apa bongo kwa uzuri kwenye kila idara, nais sijui ni kwa sababu sio mtu wa socal networks sana maana hata IG account yake ina picha moja tu.
Nakumbuka enzi hizo nipo nae nliwah kukumbana na wakati mgumu baada ya kutoka nae club usiku tukawa tumekaa karibu na meza ya Waziri fulani [sahv sio Waziri maana alitumbuliwa], alituma chawa wake kuja kumwomba huyu mwanadada kwa lengo la kujumuika nae meza moja wapate kinywaji na nikamruhusu badae yule Waziri akamwomba amsindikize Hotelini alipofikia halafu arudi ila nikamkataza na akakubali (alikua anantumia text kuniupdate kipindi yupo meza moja na huyo Waziri)
Nakumbuka Pia Aliekua RC wa huu mkoa (kashatumbuliwa pia) alivonipatia wakati mgumu enzi hizo na huyu mwanadada, ila sitoelezea maana ni stori ndefu kidogo
sifikiri kama kuna mwanaume yeyote ambae laiti angevaa viatu vyangu angeshindwa kufanya kama nlivofanya na kupelekea kunikuta haya yalonikuta. Ni basi tu kila mtu anachukulia kwa mtazamo wake, but at general perspective ni vigumu sana kwa mwanaume rijali kushindwa kufall kwa huyu mwanadada tena paspo kuwa na mawazo ya kutumia kinga kwenye sita kwa sita.
I pray nisijekuta kaniambukiza huo ugonjwa, i still do believe so[emoji120]🧎[emoji3603]🧎[emoji3603]
Niwashauri tu wanaume wenzangu tusiwaamini hawa wanawake, ni watu ambao itoshe tu kusema kwamba ni wasiri mno[emoji174][emoji26]
It's unfortunate siwezi kutuma picha yake apa[emoji2955]
Samahani, siwezi kukwambia jina la chuo ila kipo Mbeya[emoji120][emoji120]
Pole sana mkuuUkimwi umeondoka na wapendwa wangu wengi [emoji22][emoji22][emoji22] ukweli nimeupata nikiwa mtu mzima hivi na wengine wamenilea nilifichwa tuu usiombe hii kitu.
Upo mkoa gani comrade?Sikuwahi mpaka namaliza na hata sasa, kitaa wapo watoto wazuri mkuu kuliko wa chuo ndio nlkua nakomaa nao.
Sio warahisi, sema unaliwa tu hela zako, na ndio wanazozifuata.
Upo chuo au upo tu na mishe? Na huyo wa kishua yupo chuo?[emoji23][emoji23][emoji23]nan amekuambia km mm napigwa mizinga!!!kuna mmoja huyo mtoto wa ki’sure alishoboka sana kunipa 30k 20k 70k na mm sikatai napokea nikaona atazid ikabid tupeane break
Apana siwezi[emoji120]Mzee baba pole sana... ume mueleza kua umekuta izo documents zake?
Apana Boss[emoji120]Sio mzumbe kweli? Na mimi nasoma apo apo
Me niko ok ila hao wapendwa wangu ndio uliwachukua na mimi ukweli wa kilicho waondoa mapema nilikuja jua baada ya kua mtu mzima.Umeupata ukiwa na umri gani mkuu?
Kwa hiyo huna.Me niko ok ila hao wapendwa wangu ndio uliwachukua na mimi ukweli wa kilicho waondoa mapema nilikuja jua baada ya kua mtu mzima.
Stress zakuwa HIV+ suspect alafu uandike yote haya?....hii ni chaiNaomba nitoe specifications za huyu mwanamke japo kwa uchache.
She's White ila sio sana, mrefu kwa kiasi chake, ana shape isio ya kukinai, dimpoz, shingo ya kukatikakatika (sijui kama nimepatia), macho yake nashindwa kuyaspecify, and the like but in short she's very very cute. Huchoki ukiwa unamtazama.
Huyu mwanamke ni moja ya wanawake ambao wana sifa zote za kuitwa pisi kali tena grade one [ ila kwa sababu ana umeme inabidi nimweke kwenye Grade Z[emoji174][emoji706][emoji706]] , ni mwanamke ambae aliumbwa akaumbika kila idara. Ni mwanamke ambae kama asingetokea kunielewa mwenyewe nisingeweza kuthubutu hata kumbwambia kuwa nampenda na nahitaji kuwa nae.
Ni mwanamke ambae akipita popote lazima wanaume waweweseke kwa kugeuza shingo na kuomba namba au kutafuta connection ya kumpata, nilipata sana tabu mwanzoni kipindi nipo nae maana nlihis ataanza kunicheat ila badae nlizoea ile hali na nikaona kama ina advantage maana tulikua tukiishiwa hela hizo contacts ndo alizokua anatumia kupata hela. Ni mwanamke ambae huez jutia kutuma hela huku ukijipa matumaini kuwa ipo siku utafanikisha lengo lako la kumpata ila mwisho wa siku isingewezekana kwa kipindi hicho nipo nae.
Ni mdada ambae nashangaa ni kwanini sio superstar sababu anawazidi masuperstars wengi wa kike apa bongo kwa uzuri kwenye kila idara, nais sijui ni kwa sababu sio mtu wa socal networks sana maana hata IG account yake ina picha moja tu.
Nakumbuka enzi hizo nipo nae nliwah kukumbana na wakati mgumu baada ya kutoka nae club usiku tukawa tumekaa karibu na meza ya Waziri fulani [sahv sio Waziri maana alitumbuliwa], alituma chawa wake kuja kumwomba huyu mwanadada kwa lengo la kujumuika nae meza moja wapate kinywaji na nikamruhusu badae yule Waziri akamwomba amsindikize Hotelini alipofikia halafu arudi ila nikamkataza na akakubali (alikua anantumia text kuniupdate kipindi yupo meza moja na huyo Waziri)
Nakumbuka Pia Aliekua RC wa huu mkoa (kashatumbuliwa pia) alivonipatia wakati mgumu enzi hizo na huyu mwanadada, ila sitoelezea maana ni stori ndefu kidogo
sifikiri kama kuna mwanaume yeyote ambae laiti angevaa viatu vyangu angeshindwa kufanya kama nlivofanya na kupelekea kunikuta haya yalonikuta. Ni basi tu kila mtu anachukulia kwa mtazamo wake, but at general perspective ni vigumu sana kwa mwanaume rijali kushindwa kufall kwa huyu mwanadada tena paspo kuwa na mawazo ya kutumia kinga kwenye sita kwa sita.
I pray nisijekuta kaniambukiza huo ugonjwa, i still do believe so[emoji120]🧎[emoji3603]🧎[emoji3603]
Niwashauri tu wanaume wenzangu tusiwaamini hawa wanawake, ni watu ambao itoshe tu kusema kwamba ni wasiri mno[emoji174][emoji26]
It's unfortunate siwezi kutuma picha yake apa[emoji2955]
Kunywa chai ulale [emoji120]Stress zakuwa HIV+ suspect alafu uandike yote haya?....hii ni chai
HahahahaPole sana. Usisahau kula mboga mboga na matunda
Mazoezi pia muhimu
Hiyo nayo ina-matter, sasa jidanganye ukapime upate unachokitafuta.[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Mkuu usinitishe ujue, na wala hata siuwazii nikapime ili iweje akati na jua sina(imani ni bora kuliko dini). Kuna kijana aliniambia ukimwi unaupata siku ya kwenda kupima sio wakati wa kula tunda