Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,041
Si wanasema inapunguza hatari ya kumwambukiza mwenza au huwa nasikia vibaya matangazo ya ARV?
Ule msitari alioimba roma wa "kuna watoto wa mama salma vyuoni msicheze peku" nadhani ukinisaidia kutopenda penda mademu kwa chuo. Yote tunaomba uwe salama baharia mwenzetu na liwe somo kwako.Naomba nitoe specifications za huyu mwanamke japo kwa uchache.
She's White ila sio sana, mrefu kwa kiasi chake, ana shape isio ya kukinai, dimpoz, shingo ya kukatikakatika (sijui kama nimepatia), macho yake nashindwa kuyaspecify, and the like but in short she's very very cute. Huchoki ukiwa unamtazama.
Huyu mwanamke ni moja ya wanawake ambao wana sifa zote za kuitwa pisi kali tena grade one [ ila kwa sababu ana umeme inabidi nimweke kwenye Grade Z[emoji174][emoji706][emoji706]] , ni mwanamke ambae aliumbwa akaumbika kila idara. Ni mwanamke ambae kama asingetokea kunielewa mwenyewe nisingeweza kuthubutu hata kumbwambia kuwa nampenda na nahitaji kuwa nae.
Ni mwanamke ambae akipita popote lazima wanaume waweweseke kwa kugeuza shingo na kuomba namba au kutafuta connection ya kumpata, nilipata sana tabu mwanzoni kipindi nipo nae maana nlihis ataanza kunicheat ila badae nlizoea ile hali na nikaona kama ina advantage maana tulikua tukiishiwa hela hizo contacts ndo alizokua anatumia kupata hela. Ni mwanamke ambae huez jutia kutuma hela huku ukijipa matumaini kuwa ipo siku utafanikisha lengo lako la kumpata ila mwisho wa siku isingewezekana kwa kipindi hicho nipo nae.
Ni mdada ambae nashangaa ni kwanini sio superstar sababu anawazidi masuperstars wengi wa kike apa bongo kwa uzuri kwenye kila idara, nais sijui ni kwa sababu sio mtu wa socal networks sana maana hata IG account yake ina picha moja tu.
Nakumbuka enzi hizo nipo nae nliwah kukumbana na wakati mgumu baada ya kutoka nae club usiku tukawa tumekaa karibu na meza ya Waziri fulani [sahv sio Waziri maana alitumbuliwa], alituma chawa wake kuja kumwomba huyu mwanadada kwa lengo la kujumuika nae meza moja wapate kinywaji na nikamruhusu badae yule Waziri akamwomba amsindikize Hotelini alipofikia halafu arudi ila nikamkataza na akakubali (alikua anantumia text kuniupdate kipindi yupo meza moja na huyo Waziri)
Nakumbuka Pia Aliekua RC wa huu mkoa (kashatumbuliwa pia) alivonipatia wakati mgumu enzi hizo na huyu mwanadada, ila sitoelezea maana ni stori ndefu kidogo
sifikiri kama kuna mwanaume yeyote ambae laiti angevaa viatu vyangu angeshindwa kufanya kama nlivofanya na kupelekea kunikuta haya yalonikuta. Ni basi tu kila mtu anachukulia kwa mtazamo wake, but at general perspective ni vigumu sana kwa mwanaume rijali kushindwa kufall kwa huyu mwanadada tena paspo kuwa na mawazo ya kutumia kinga kwenye sita kwa sita.
I pray nisijekuta kaniambukiza huo ugonjwa, i still do believe so[emoji120]🧎[emoji3603]🧎[emoji3603]
Niwashauri tu wanaume wenzangu tusiwaamini hawa wanawake, ni watu ambao itoshe tu kusema kwamba ni wasiri mno[emoji174][emoji26]
It's unfortunate siwezi kutuma picha yake apa[emoji2955]
Daah hiyo kitu sikia kwingine! Nimechomoka kwenye mitego acha kabis..huyo jamaa mtoa uzi ana afadhali...nina miezi 5 sasa..namshukuru Mungu afya yangu inaenda vizur..Dah! Inaonyesha huyo ni mhudhuriaji mzuri wa kliniki.
Pole sana kaka.
Ila huwezi kusema ni tayari na wewe umewaka mpaka ukapime.
Inawezekana ukawa umechomoka vile vile.
Fanya ukapime mkuu.
Mkuu acha ukorofi, hilo jina la Funzamume na hilo lako funzadume ukweli hayafanani. Pia katumia avatar tofauti inayomtofautisha kabisa na ID yako.
Sikuwah kuwa na mpango wa kupima hii kitu ila kwa hili itabidi nikapime[emoji2955] mimi bado mdogo sana, sijafikia hata nusu ya ndoto zangu[emoji3166][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu mwenzio 2016 ioo niko first year niliuza mechi mara kadhaa kwa manzi flani hivi alikua mhudumu wa baa jirani na nilipokua nakaa. Baada kama ya wiki hivii wahuni si wakaja kunipa taarifa kwamba mtoto kawaka
Na nikikumbuka mara zote nilikua namchukua midaa ya saa 6/7 usiku namkaza mpaka mornie bila kinga, nilivurugwa balaa ngwengwe isikie tu mwili ulipungua kwa kasi ya 5G nazani ndani ya wiki kadhaa tu nilikua nime drop kilo toka 68 mpaka 50
Sema baada ya muda nikaona kuteseka kwa nini kama kufa kupo tu sijawahi enda kupima na siji kupima na sijawahi uza tena mechi mwaka wa 5 huu na wala siwazi
[emoji849]Insta anatumia jina gani
Way back kipindi naanza chuo Udom, kwenye orientation tukaambiwa kabisa tuwe makini hapo chuoni kuna kontena za Mama Salma huwa zinashushwa kila mwaka na Udom ni wengi sana sabu kulikua na nafasi kubwa ya kukaa maelfu ya wanachuo! Aisee mpaka sasa sijawahigi tembea na mtoto wa kusoma chuo, siwaamini kabisa..Ule msitari alioimba roma wa "kuna watoto wa mama salma vyuoni msicheze peku" nadhani ukinisaidia kutopenda penda mademu kwa chuo. Yote tunaomba uwe salama baharia mwenzetu na liwe somo kwako.
Noma saana sema tulikosa watoto wazuri waliotuelewa kisa hii stories ya watoto wa mama salmaWay back kipindi naanza chuo Udom, kwenye orientation tukaambiwa kabisa tuwe makini hapo chuoni kuna kontena za Mama Salma huwa zinashushwa kila mwaka na Udom ni wengi sana sabu of course kulikua na nafasi kubwa ya kukaa maelfu ya wanachuo! Aisee mpaka sasa sijawahigi tembea na mtoto wa kusoma chuo, siwaamini kabisa..