hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,530
- 73,772
Hahaa
Sasa bro ushaona manyoya halafu unatuuliza kuku wangu kaenda wapi??
Sasa bro ushaona manyoya halafu unatuuliza kuku wangu kaenda wapi??
Tchaa stress !! Ndio akalazimishwa kunywa na boss wake .. simply tu jamaa anachapiwa demu wakeLabda ana stress,lol,yaani kunywa bia moja mbili,unaona km amekunywa sana?![]()
Hahaa ushauri wa wana jamii wa JF kama hauko strong unaweza kukupelekea kujinyonga ama kupata strokeWewe ni mwanaume mwenzangu, ukweli ni kwamba kunajamaa anamla na inaonekana anampenda huyo jamaa kuliko wewe, pili inaonekana huyo jamaa anampiga mashine kisawa sawa,sasa akichanganya mashine na pombe atakusumbua sana.
Mtu aliyefundishwa pombe ukubwana tena na mwanaume, atakusumbua Sana,kwa kifupi Shetani kashaharibu..
Cha msingi muache Kwa sababu atakuja kukukwanza na imani yko, nenda mtafute Mwanamke mwingine otherwise uishi naye na uvumilie hayo.
Kwa sababu hata katika maisha yenu, mkitofautiana kidogo tu anapata sababu yakwenda kunywa pomba plus kutoa mzigo.. Na ukizingatia anafanya kazi na anapesa duh!! Kiburi na starehe zitamdanganya
T
IndeedUkishaona hito tabia ni kwamba wanamla pia. Just jamaa hajui. Dem akishaanza kunya pombe hiyo ni red flag
Kwamba kwenye ile statement yako wewe umejitetea kuwa ukilewa ", hauliwi kirahisiNa wewe anakurudia sasa hivi.
Umeunganisha dots vyema sana mkuu... Hapo boss alikua anataka game... Akaona amlazimishe anywe pombe ili akili za mwanamke ziwe nusu nusu then amtafune.. Na kashamtafuna..Mwache shemeji anywe bia Mkuu,mbona unataka kumbania!
Wakishalewa wanakuaga siyo wasumbufu kabisa kwenye kutoa game!
Ndio maana hata bosi wake alimlazimisha!
Nadhani umenielewa!
Hivi kwani ni ruksa kwa mlokole kuwa na "mpenzi"? Mshauri aoeHuyo ni mtu mzima mwache afanye apendavyo. piga chini vuta mlokole mwenzio.
KumbeNdio ila pombe hawaruhusiwi
ha haaa swali zuri. ukute wameshakulana hlf anajidai mlokole. ninavyojua mlokole haoi mpk Mungu amuonyeshe mtu sahihi.Hivi kwani ni ruksa kwa mlokole kuwa na "mpenzi"? Mshauri aoe
Amenistahi kinoma mpka sahii hajanirudia
Kwamba kwenye ile statement yako wewe umejitetea kuwa ukilewa ", hauliwi kirahisi
Ngoja nitoe ushuhuda hapa. Mama mmoja hapa kitaani alikuwa mlevi wa pombe. Kuna siku alikunywa pombe zikamzidia akafloat hapohapo bar. Vijana wakwale wakajitwalia na kwenda kumtumia watakavyo. Walipita katika kila tundu unalojua binadamu wa kike analo katika mwili wake.
Walipomaliza shughuli yao wakamtupa mtaa wa pili karibu na nyumba yake. Asubuhi inamkutia akiwa amelala barabarani amejinyea huku shahawa zikiwa zimesambazwa mpaka kichwani.
Mumewe alimkokota mpaka nyumbani akamwogesha vizur na kumpeleka hospitali. Yule mzee hakuongea chochote, baada ya siku mbili mama akaona aibu ile hawezi kuivumilia ikabidi arudi kwao na akaiomba talaka akiwa hukohuko nyumbani.
So mkuu kama mkeo ni mnywaji haina shida sana ila kama ni mlevi jiandae kisaikolojia na lolote.