Wewe ni mwanaume mwenzangu, ukweli ni kwamba kunajamaa anamla na inaonekana anampenda huyo jamaa kuliko wewe, pili inaonekana huyo jamaa anampiga mashine kisawa sawa,sasa akichanganya mashine na pombe atakusumbua sana.
Mtu aliyefundishwa pombe ukubwana tena na mwanaume, atakusumbua Sana,kwa kifupi Shetani kashaharibu..
Cha msingi muache Kwa sababu atakuja kukukwanza na imani yko, nenda mtafute Mwanamke mwingine otherwise uishi naye na uvumilie hayo.
Kwa sababu hata katika maisha yenu, mkitofautiana kidogo tu anapata sababu yakwenda kunywa pomba plus kutoa mzigo.. Na ukizingatia anafanya kazi na anapesa duh!! Kiburi na starehe zitamdanganya
T