Mpenzi naomba nafasi nyingine

Mpenzi naomba nafasi nyingine

Hayo ni mambo ya kijinga kabisa, mpaka aseme muachane means hajaona umuhimu wako kwake, ni kumuacha aende kwa amani kabisa atakapojua kuwa ulikuwa wa muhimu atarudi ila nafasi yake itakuwa haipo. Na huwa siamini kama kuna second chance, huo ni udhaifu wa kushindwa kuhimili maumivu ya kutendwa
umenena mkuu
 
Huja kosea nme achana na mtu juz Kati tu tunapotezeana kwa 6days den tukaombana msamaha.,imepita wiki na siku kadhaa juz ananambia Ana pregnant hapa ndo nipo njiapanda
Mkuu
Kama ulipiga peku kwanini ukae njia panda rudi nyumbani subiri majukumu
 
Only miss the sun when it starts to snow

Only know you love her when you let her go

Only know you've been high when you're feeling
low

Only hate the road when you're missing home
Only know you love her when you let her go

And you let her go
And you let her go
Well you let her go
Cause you only need the light when it's burning
low

Only miss the sun when it starts to snow
Only know you love her when you let her go
Only know you've been high when you're feeling
low

Passenger: let her go .....
Dah nikiwaga na vistress vyangu lazma nisikilze haka kasong aisee
 
Hayo ni mambo ya kijinga kabisa, mpaka aseme muachane means hajaona umuhimu wako kwake, ni kumuacha aende kwa amani kabisa atakapojua kuwa ulikuwa wa muhimu atarudi ila nafasi yake itakuwa haipo. Na huwa siamini kama kuna second chance, huo ni udhaifu wa kushindwa kuhimili maumivu ya kutendwa

wewe ushakosea mangapi na ukapewa nafasi tena?

kwanini kila siku ukitaka kusali lazima uombe toba kwanza?

mbona Mungu hajasema hakuna second chance?
 
Hapo tayari umeshamuweka Mungu, kwenye masuala ya mapenzi Mungu anabariki endapo mna lengo moja, ndio nshamkosea sana Mungu na ndo maana huwa natubu na kama ni mpenzi amenikosea huwa nasamehe maisha yanaendelea ila sio kuwa wapenzi tena.
 
unaweza kuchagua Mungu akapitisha, kama huwezi kumsamehe mpenzi utawezaje kumsamehe Mume?

Nyumba Imara ni Maandalizi ya msingi Imara

unajuaje kama ndio ulisababisha hilo tatizo?

anaweza kukwambia mimi na wewe basi lakn akathimini makosa yake akarudi kwako akakwambia sorry mpenzi nimetambua kosa langu naomba unipe nafasi tena

kwanini usimpe nafasi ili umprove wrong?

lazima tujifunze kusamehe kwa upole na unyeyekevu
 
Pale unapojigundua huwezi kuacha nyeto Ata kama upo na demu ndani.Pole Sana ndugu yangu
 
Tabia za binadamu huwa hazifanani asilani kila mtu ana yake! ukifananisha yalomtokea mtu fulani ukajumuisha hakika unapotea! wapo wanaofanya maamuzi wakiwa na hasira wakitulia hutafakari nakuona ilikuwa ni makosa. Japo yataka umakini mkubwa n.k

Na ndio maana walotutangulia wamedumu kwenye ndoa kwani wanasuluhisha matatizo pindi yakitokea na kuanza upya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom