moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,007
Habari wakuu
kuna watu huwa hawathamini mahusiano pindi wanapokua kwenye mahusiano, anafanya ubaya kwa makusudi au ata kama sio makusudi basi ni kitu ambacho kilikua na uwezo wa kuzuilika afu badae anasema tuachane , baada ya kuachana siku kadhaa anakuja anasema MPENZI NAOMBA NAFASI NYINGINE na wew kwakukurupuka unarudi bila kujua amekuja na silaha gani za maangamizi afu unaanza kujuta huo ni upumbavu
Onyo: usiseme tuachane wakati hujaforesee kipi kitatokea yani nivipi utaharibika kisaikolojia na kuanza kumfata tena na wew mpokeaji usipomkee tu wakati hujui amebeba silaha au laa