Mpenzi, Mume hapo baadaye anahitajika

Habari ya wakati huu!

Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.

Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu ft 5.8 na kuendelea(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu ft 5.8)

Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs,sijawahi kuolewa na sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.

Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..

Usiku mwema wote🙏
Tuambie na kabila lako kabisa
 
Watakuja wengi na wataishia kukupotezea muda....bahati iwe kwako.Amina
Duh sasa mbona ata mtaani wanakujaga wengi tuu na kumpata mkweli shida...wakishakula mbususu wanasepa. Msimkatishe tamaa mwenzenu kwanza binti kajitunza mpak 30 hana mtoto
 
Habari ya wakati huu!

Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.

Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu ft 5.8 na kuendelea(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu ft 5.8)

Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs,sijawahi kuolewa na sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.

Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..

Usiku mwema wote
Nko PM chek
 
Hello habari ya vip umeshapata au bado
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom