Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

Hapinec

Member
Jun 11, 2022
14
58
Mwanaume nnayemuhitaji awe na sifa hizi;

~ Miaka 28 mpaka 35
~ Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa
~ Awe mkristo, RC itapendeza zaidi
~ Mkoa wowote, akiwa DSM itapendeza zaidi
~ Mrefu wa kawaida
~ Asiwe na mtoto
~Awe serious na si mume wa mtu

Kindly you are welcome PM.
 
Uja sema kama we una kazi .si una jua wanaume wa JF hatupendi kugeuzwa charity.
710945024.jpg
 
What do you have to offer in return? Apart from sex (maana mbususu isn't a big deal, naweza ipewa from other women napotaka).

I insist: Nikikuoa, what do you have to offer in return?

Life abides to reciprocality.

-Kaveli-
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom