Mpenz aomba nimgombeze....

Mpenz aomba nimgombeze....

Nimependa michango ya PLL, ZeMarcopolo na Kongosho kuhusu topic hii. Mwanamke anapenda mwanaume anayedhihirisha uanaume wake kwa kuwa mkali kidogo anapokosewa na pia mwenye uwezo wa kuweka kanuni na kuzisimamia na pia kumlinda iinapobidi. Hapo mwanamke anahisi anapendwa na yuko kwenye mikono salama.
Kuwa mpole mno na kushindwa kufanya maamuzi kuna mfanya mwanamke ahisi kama unapwaya na hufai kuwa mwanaume.Hii ni nature na haitegemei kabila wala taifa.
Kinachosemwa hapa sio kupigana makofi ngumi au kuwekana ngeu. Kinachozungumziwa ni kulaumu,kufoka au kuhoji maswali ya kipolisi kwa lugha ya ukali kidogo na ya msisitizo.
Mwanamke anapokukosea ukajifanya kana kwamba hakuna lililotokea anahisi humjali, humpendi na anafedheheka sana.
Kwa mfano fikiria labda ameenda kazini akasahau simu nyumbani na kurudi hadi jioni baada ya kazi. Sasa anamwambia shosti wake "sijui Ben atanifanya nini leo nimesahau simu atachukiaje akipiga simu bila kupokelewa". Labda shosti ataitikia "ama kazi unayo shoga yangu".
Vipi sasa jioni amerudi amakuta missed calls za Ben 8. Kwa kuogopa kumkwaza Ben anampigia jioni na kumpa pole na kazi na kumwambia kuwa anapenda sana amemmiss!. Lakini hamuulizi chochote kwa nini hakupokea simu je bibie atajisikiaje? Kumbuka shosti yake anangoja kwa hamu kesho kazini amwambie jinsi shemeji yake alivyowaka na jinsi bibie alivyompoza hasira. Lakini anaishia kumwambia hakusema lolote hana ishu kabisa! Si shosti atauliza kama shem ni mzima kweli?
Nadhani mfano huu unatosha kueleza ni kwa nini wanawake wanapenda tuwe wakali kiasi na kudhihirisha uamaume wetu. Kuwa mkali na kumfanya aombe msamaha kisha akasamehewa kunamfanya akupende zaidi na zaidi. Mahusiano yaliyopoa bila kulaumiana na kukaripiana mara mojamoja yanakosa msisiko na yanaweza kudidimia na kuisha.Vipi niambie jinsi mnavyopendana zaidi baada ya ugomvi mdogo!!! Pale bibie anavyokukumbusha akivyochanganyikiwa alivyoona jinsi ulivyomkunjia uso! Kisha unampa pole nakumwambia asirudie alichokifanya. Inaleta raha kama nini. Ugomvi unaozungumziwa hapa ni ule wa makosa madogo kama kutopokea/kuchelewa kupokea simu,kutojibu/kuchelewa kujibu sms, kuchelewa/kutotekeleza appointment, kuwa karibu na mtu fulani wa jinsiatofauti kwa nia njema bila kucheat,n.k. Na adhabu sio viboko,ngumi,mkong'oto n.k bali kufoka,kuhoji maswali kwa mkazo,kukunja uso, kitopokea simu,nk.
 
Mkuu comment yako inaonesha una akili timamu kabisa, lakini umeamua kujifanya zezeta kung'ang'ana na CCM! Unataka kuniaminisha kwamba kuna mtu ameiba pwd yako kakomenti au?

Tehe tehe yehe tukutane kule kwenye jukwaa letu.
 
hahaaaaaa naikumbuka hii lol!!!!!!wengine sim ikishikwa tu

unaanza kuwaza na kuwazua..........JF raha aisee........

btw mbona ulisahau kuchange font na size ya maneno lol!!!maana nikionaga tu najua huyu BAK

hahaha bas dear niwe nakugombeza?
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu ipo imewahi kunikumba,lakini inahitaji uangalifu wa juu na iwe very rare,much of which or very little of which is issue,its like women(bado nafanyia utafiti eneo hili) like calculated uncertainities!ujando na unyago ilikuwa na shule muhimu sana basi tu utandawazi na usasa umetutetesa,nafikiria kuandaa mitaala kwa ajili ya hizi kitu!
 
labda anataka kukuona katika sura ya ukali/hasira inakuwaje ....wengine wanagombeza kila wakati hadi kero sio kila kitu unakuwa mpole au unakubaliana naye ili usimwumize akifanya ndivyo sivyo ongea kwa ukali aelewi hapa baba amenena lol
 
mshushie na kisago kabisa akiuliza kwann unampiga mwambie nakupa na nyongeza
 
Yaani!!!! We acha tu!! Juzi kuna mwingine alianzisha uzi mpenziwe hapekui simu yake!!! Pamoja na kuiacha simu yake chumbani makusudi ili aipekue na kutumia namba tofauti kujipigia wakati simu iko chumbani na mupenzi jamaa hakuigusa. Hivyo binti akaja hapa kulalama na eti kuomba ushauri!!!!
Huyo hakuwa bint alikuwa ni mkaka
 
wanawake wanapenda ma bad boys sanaa.......bad boys from streat,bed yani wanaenyoe sana si mwanaume hata kumchenchia gal wako huwezi.
 
Wasalaam wanaJf.

Npo kwenye mahusiano na msichana kwa takriban mwaka mzima.
Kiukwel mimi napenda sana polite language and kindness sio kwa mpenz wangu tu hata kwa watu wengine.

Napenda sana kufanya kitu ambacho nikifanyiwa sitaumia na huwa nachukia sana lugha ya ukari na sipend kuitumia hasa kwa mpenz wangu.

Tumekuwa tukikwazana na mpenz wangu lakin mara zote huwa naongea nae kwa upole na upendo na mambo uisha vzri.

Ni kama mara mbili au tatu mpenz wangu amekuwa akiniomba seriously kuwa angalau nimgombeze siku moja akinikosea na atajìsikia raha na kuona nampenda sana.

Kiukwel mimi sipend na siwez. je, nifanyeje

kula sana kichuri na nyama ya ng'ombe!

kula hii dozi kwa miezi miwili mfululizo...

niamini, siku akikukosea tu...

atakukumbuka maisha yake yote!
 
Kaka watoto wa kke somtymz wanaona raha ukiwagombeza coz thru dat utakua unaonesha hw strong u r...na una mcmamo
Utaachwaa....
 
na sio kuwa ukal/ugomvi siwez ila naamin haujengi.
Nadate na mtu mzima so mazungumzo na kukosoana ki upole ndo njia nzur

Ni kweli mkuu ila hawa watu sometime hawatabiriki na haijulikani huwa wanataka nini hasa kama hivyo wewe huyo mrembo anavyotaka uwe unamgombeza. (na ndio maana utakuta mwanaume ni mbabe lakini ikifika kwa warembo anakuwa nao tu pamoja na ubabe wake anaowafanyia, nadhani huwa wanapenda kuwa na mtu ambae anaamini atamsemea incase yupo kwenye trouble). kinachoshangaza ni yeye kuomba kugombezwa wakati warembo wengine wakiwa na mwanamume mpole huwa wanajisahau kiaina alafu akionyeshwa kwamba na huyo mwanaume kwamba siku moja moja anakuwa mkali nidhamu inarudi na kuendelea na maisha na kama itatokea wamekosana inakuwa kawaida na si kwa sababu jamaa ni mpole bali ni ubinadamu tu kwani kutofautiana kwa wawili ni kitu cha kawaida
 
sasa wewe ndio wa kuomba msamaha na sio kusubiri mpaka ukaripiwe uzabwe na vibao. khaaaa!

Hhaha sitasubiri mpaka vibao vije,nkionaa kanuna sana nawahi kupiga goti
 
haaaa
chukua ile waliyotaka kufunga kiwanda chake piga kama vipaketi vitatu au vinne,
mngojee hapo kibarazani au sebuleni akirudi tu
anzana naye .... kabla hajajibu .......piga kelibu ....... by The Boss
uone kama kesho ataomba hiyo kitu tena.

Wasalaam wanaJf.

Npo kwenye mahusiano na msichana kwa takriban mwaka mzima.
Kiukwel mimi napenda sana polite language and kindness sio kwa mpenz wangu tu hata kwa watu wengine.

Napenda sana kufanya kitu ambacho nikifanyiwa sitaumia na huwa nachukia sana lugha ya ukari na sipend kuitumia hasa kwa mpenz wangu.

Tumekuwa tukikwazana na mpenz wangu lakin mara zote huwa naongea nae kwa upole na upendo na mambo uisha vzri.

Ni kama mara mbili au tatu mpenz wangu amekuwa akiniomba seriously kuwa angalau nimgombeze siku moja akinikosea na atajìsikia raha na kuona nampenda sana.

Kiukwel mimi sipend na siwez. je, nifanyeje
 
Last edited by a moderator:
Hhaha sitasubiri mpaka vibao vije,nkionaa kanuna sana nawahi kupiga goti
Inaonyesha unanidhamu sana wewe na hadi siku mumeo anakupiga kofi hilo kosa ni la adhabu ya kifo kwa mwingine
 
Back
Top Bottom