- Thread starter
- #41
anakuona wewe ni dhaifu nyie ni aina ya wanaume mnaokiss women ass .....be rough ....
si dhan kama uanaume unaonekana kwa ubabe!
But anyway kama unaamin hivyo hamna shida.
anakuona wewe ni dhaifu nyie ni aina ya wanaume mnaokiss women ass .....be rough ....
Huyo mkurya?
Zipo aina hiyo za personality za watu wanaopenda kuwa controlled. She may be one of them.
Huyo anaona ukiwa mpole ni kama uko weak na subconciously anahisi kuwa you lack the capacity to protect her. Katika species nyingi including homo sapiens males huwa na role ya kuprotect females. Mwenzio anahisi role hiyo itakapotokea kuifullfil hutaweza.
Ushauri: Hakuna mtu anayependa kugombezwa kila mara. Kama umeamua kuanza kuwa unamgombeza, pima kiwango kinachofaa cha kumgopmbeza. Usizidishe...
Wasalaam wanaJf.
Npo kwenye mahusiano na msichana kwa takriban mwaka mzima.
Kiukwel mimi napenda sana polite language and kindness sio kwa mpenz wangu tu hata kwa watu wengine.
Napenda sana kufanya kitu ambacho nikifanyiwa sitaumia na huwa nachukia sana lugha ya ukari na sipend kuitumia hasa kwa mpenz wangu.
Tumekuwa tukikwazana na mpenz wangu lakin mara zote huwa naongea nae kwa upole na upendo na mambo uisha vzri.
Ni kama mara mbili au tatu mpenz wangu amekuwa akiniomba seriously kuwa angalau nimgombeze siku moja akinikosea na atajìsikia raha na kuona nampenda sana.
Kiukwel mimi sipend na siwez. je, nifanyeje
umepata wap akil zote hiz? coz kwenye siasa nakuonaga kama bonge la kilaza.Huyo mkurya?
Zipo aina hiyo za personality za watu wanaopenda kuwa controlled. She may be one of them.
Huyo anaona ukiwa mpole ni kama uko weak na subconciously anahisi kuwa you lack the capacity to protect her. Katika species nyingi including homo sapiens males huwa na role ya kuprotect females. Mwenzio anahisi role hiyo itakapotokea kuifullfil hutaweza.
Ushauri: Hakuna mtu anayependa kugombezwa kila mara. Kama umeamua kuanza kuwa unamgombeza, pima kiwango kinachofaa cha kumgopmbeza. Usizidishe...
ushauri wangu si anataka kugombezwa we mpige kabisa yan mkung'ute kisawasawa hapo roho yake itatulia
Amekuona na mtu wa kuchekacheka kama mkuu wa nchi flani hivi na ndio maana anahisi kama una shida flani hivi
Umejuaje kama si umbea .......na nna kesi kubwa na wewe nadhani unajua kwa kunipata
Akalale nje siku moja aone kama hataripiwa...Mkalipie tu wanawake siye ni viumbe wagumu loh!! Kila mtu na ugumu wake loh!!
Wasalaam wanaJf.
Npo kwenye mahusiano na msichana kwa takriban mwaka mzima.
Kiukwel mimi napenda sana polite language and kindness sio kwa mpenz wangu tu hata kwa watu wengine.
Napenda sana kufanya kitu ambacho nikifanyiwa sitaumia na huwa nachukia sana lugha ya ukari na sipend kuitumia hasa kwa mpenz wangu.
Tumekuwa tukikwazana na mpenz wangu lakin mara zote huwa naongea nae kwa upole na upendo na mambo uisha vzri.
Ni kama mara mbili au tatu mpenz wangu amekuwa akiniomba seriously kuwa angalau nimgombeze siku moja akinikosea na atajìsikia raha na kuona nampenda sana.
Kiukwel mimi sipend na siwez. je, nifanyeje
Hii mada ni kali ni kweli lazma akushangae yaani mtu anakukosea ww unambembeleza its funny! Kitendo cha mtu kufanya kosa na akagundua kwamba amekosea then ww ukachukulia poa wakati alitegemea reaction lazma ajiulize maswali kibao pengine anaona humpendi! Anyway inategemea na kosa!
Kapitia jkt nini? Anataka mapenz ya kijeshi jeshi watu wanataka kubembelezwa yeye anataka kugombezwa duh
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums