BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Yaani!!!! We acha tu!! Juzi kuna mwingine alianzisha uzi mpenziwe hapekui simu yake!!! Pamoja na kuiacha simu yake chumbani makusudi ili aipekue na kutumia namba tofauti kujipigia wakati simu iko chumbani na mupenzi jamaa hakuigusa. Hivyo binti akaja hapa kulalama na eti kuomba ushauri!!!!
mmmmh, wanawake sie sijui tunataka nini! akikaripiwa pia atalalamika siku hizi unanikaripia hunipendi. lol